commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
Wewe na wenzio, mlioumia na system ya uongozi wa JPM, tunajua mko wengi sana,na kwa ujumla mmebanwa na kushikwa pabaya sana.
Ingawa unaongea kwa kuzidi kujaa sumu, mimi nitaendelea kukueleza ukweli.
Kwanza kauli zako ni ushahidi wazi tukuelewe, ya kwamba wewe unaweza kabisa kuwa wale wafanya matukio, halafu yakatupiwa lawama upande usiohusika.
Lakini pia usijipe" brand" kwamba wewe humu ni think tank.nasema wazi kila member humu ana haki sawa na mwingine yeyote ambaye amekidhi vigezo vya kumridhisha moderator kumuachia kuchangia bila kuvunja masharti na vigezo vya JF. (Ingawa siku zinavyosonga, kejeli na matusi yanazidi kuongezeka kwa baadhi ya wachangiaji).
Nashangaa unajiita mahiri, lakini unalipuka kwa vipande vidogo tu vya ukweli.
Je ungefanikiwa kuukwaa ukubwa wewe na unayemkosoa mna tofauti gani???.
Ungekuwa msomi lazima ungekuwa mstaarabu pia, na usingetoa vitisho vya maisha humu JF.hili ni jukwaa huru
na hupaswi kuligeuza kama jamvi la watu wa mlengo fulani na kujigeuza VIP wa JF ambaye ni untouchable.
Lakini pia ungekuwa smart usingetiririka humu hadi kufikia kutishia member maisha. Hii inaweza kuja kutumika kama• water tight evidence •
Jaribu kuacha mihemuko isiyo ya lazima na ukubali kuambiwa ukweli. Hata kama huupendi.
Nchi hii kabla ya JPM kushika madaraka ya urais, tayari tulikuwa tunaelekea kwenye mgawanyiko mkubwa kitabaka. Na enzi hizo kauli na vitisho kama hivi ulivyovitoa leo humu ndiyo ilikuwa lugha ya mtaani.
Kila aliyewahi kubahatika kuwa aidha na rafiki au ndugu mwenye madaraka,
itokeapo aidha katika hali ya kawaida iwe bar,kijiweni au hata mmepata ajali ya magari yenu kukwaruzana kidogo na hata bila kujali nani mkosefu.
Ilikuwa anapiga simu na dakika mbili kufumba na kufumbua zitatokea zitakako tokea iwe defender au whatever ,na kukusomba bila kutaka kujua nani mkosefu.
Na utasindikizwa na kauli kali kama NITAKUPOTEZA MIMI au NITAKUFICHA! nk.
Sasa hayo matabaka niliyoyatolea mfano hayapo tena. .
Acha JPM atujengee nchi na acha hizi zipakwe rangi. VIVA MAGUFULI.
.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba usubili hizi zipakwe rangi

View attachment 992205Kwani Siasa ni nini Kwanza? Labda tuanzie hapo ili nithibitishe rasmi ' Upumbavu ' wako. Kuhusu Mimi kuwepo hapa wala hujakosea na huwa nipo hapa kwa Masaa Saba ( 7 ) ndani ya Masaa yote 24 ya Siku ambapo Saa 1 Kamili hadi Saa 2 Kamili asubuhi huwa nakuwepo. Kisha Saa 4 Kamili asubuhi hadi Saa 6 Kamili mchana huwa nakuwepo. Halafu tena Saa 1 Kamili usiku hadi Saa 3 Kamili usiku huwa nakuwepo na Saa 4 Kamili usiku hadi Saa 6 Kamili usiku huwa nakuwepo nimejaa tele hapa JamiiForums.
Kuhusu Laptop yangu ukisema nimepewa kwa Mgongo wa Kijobi Simba utakuwa unakosea ila ukweli ni kwamba hii Laptop niliiokota tena ni ya Mtumba kabisa halafu ni Mbovu kiasi kwamba kila Siku huwa inanisumbua hivyo kama labda utakuwa na nyingine unaweza ukaniazima ili niwe natiririka na kuserereka nayo hapa Jamvini.
Kuhusu sijui Kujificha na hii ' ID ' yangu huku ukionyesha dhahiri kuwa unanitishia labda nijue Wewe ni Mtu wa ' System ' nadhani Vitisho vyako hivi vielekeze kwa mwingine kwani Kwangu Mimi unaweza ukayapata yale ambayo hukuyatarajia kabisa na ukashangaa kuwa pamoja na kwenda Kwako Kote Kozi lakini nimekuweza na nimekumaliza vile vile. Wengine ' Umafia ' hatujaunza leo hivyo usitafute makubwa kisha ukawapa bure ' Majonzi ' ya Milele wana Familia wako na hasa hasa Mkeo na ukajuta na wakajuta pia.
Unposema kuwa kuna Watu wapo ' Smart ' na wanafanya Maisha yao unataka kumaanisha nini? Nani aliyekuambia kuwa kuwepo hapa Jamvini kunamzuia Mtu kufanya Mambo yake ya Kimaendeleo? Aliyekuambia ukiwa huonekani hapa JF ndiyo Mfanyakazi bora ni nani? Hivi ni lazima kila Mtu afanye Kazi unayoifanya ' Fungulu Ngenge ' Wewe uliyetukuka? Halafu ulivyo ' CERTIFIED FOOL ' hujui pia kuwa Mtandao huu huu wa JamiiForums kwa wengine kutokana na ' nature ' za Fani zao tayari ni sehemu ya Ajira tosha Kwao? Halafu nikiwa ' nawadharau ' kuwa hamna ' Akili ' huwa mnanilaumu na kukasirika wakati kumbe huwa nipo sahihi kwa 100%.
Mwisho kabisa sikusoma ili nije nitafute ' short cut ' maishani bali nimesoma ili Elimu yangu iweze kunisaidia Kupambanua Changamoto za Kijamii, niwasaidie ambao hawakupata fursa hii ya Elimiu ili kwa pamoja tuweze kufikia Kilele cha Maendeleo kama siyo Mafanikio. Sina haja ya Kutambia Elimu yangu au Vyeti vyangu bali ninachojua tu ni kwamba hata hii Mimi kuwepio hapa mara kwa mara pia ni sehemu ya Kuchangia na Kuigawa Elimu yangu kwa wengine na ndiyo maana unaona GENTAMYCINE ni ' brand ID ' na ' talk of the forum / platform ' hapa tena pengine hata kuliko Wewe.
Halafu unanipangia Mimi kuwepo hapa Wewe kama nani labda? Umeshanichangia hata Siku moja Hela ya ' Bando ' langu? Je nimeshawahi kuja na Kukupigia hodi kukuomba Hela ya ' Bando ' hapa? Kama unajua humpendi au unachukizwa na Mimi GENTAMYCINE hivi ninapoanzisha ' threads ' mbalimbali hapa Jamvini huwa nakuita au nawaiteni? Ni Nyege Nyege zenu na Kuwashwawashwa Kwenu nami huku Mioyoni mwenu mkiwa mnanikubali kabisa ndiyo huwa vinawafanya mnifuatilie. Mnafiki mkubwa Wewe.
Nimemaliza na usisahau ' Kuwafowadia ' ujumbe na wale ' Mafulu Ngenge ' wenzio tafadhali.
This is GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba usubili hizi zipakwe rangi