GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,546
- 108,875
- Thread starter
- #121
Nilikuwa nakuona Kama mtu ambae unafanya research kabla ya kuongea lakini Leo umenisikitisha Sana,unajua raisi wa China na viongozi wa juu wanatumia ndege gani?jibu ni kuwa raisi and Co wanatumia Air China ni ndege mbili zimeteuliwa kutoka air china,raisi wa china anapotaka kusafiri ndege anaitumia Kama hasafiri basi ndege zinabeba abiria,ni BOEING 747,sasa wewe Fokker tu hizi unapiga mayowe du? Mimi kwa maamuzi haya Nampa magufuli heko 100% na ikiwezekana zote tatu za raisi ziwe za biashara,siku wakiwa na safari yy na makamu wake basi wazitumie na Kama hawasafiri basi biashara as usual,amenikosha Sana Leo mh raisi japo ni mpinzani wa ccm na watu wake,viva Mr.prezdaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo Wachina wakiwa wanakunya katika Mlango wa Kupandia Ndege ndipo wanaingia ndani na Wewe utatushauri Watanzania tufanye hivyo hivyo kwakuwa tunawaiga? Kama tunapenda sana Kuwaiga hao Wachina mbona sasa Utendaji wao nasi hatuuigi? Wachina wanapenda Rushwa / Ufisadi? Wachina ni Wavivu? Wachina wanapenda Anasa? Wachina ni Watu wa Majungu na Fitna? Wachina ni Wanafiki?