‘Siruhusiwi Kutumia Simu Aina ya iPhone’ – Rais Obama

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,266
33,039
[h=3]‘Siruhusiwi Kutumia Simu Aina ya iPhone’ – Rais Obama[/h]

Rais wa Marekani Barack Obama mnamo siku ya Jumatano alikiri kuwa alikatazwa kutotumia simu aina ya iPhone kwa sababu za kiusalama, hii ilikuja kipindi ambacho alikuwa akifafanua ni kwa nini wakati mwengine huonekana akitumia simu kubwa aina ya Blackberry.

“Siruhusiwi kwa sababu za kiusalama kuwa na iPhone,” Obama alilieleza kundi la vijana ndani ya White House kwenye tukio la kuhamasisha sheria ya kujali afya.
 
Hata siamini. Huo ni uzushi tu kwa sababu kwa mara ya kwanza mtu mmoja alinambia kuwa Obama alikatazwa kutumia BB
 
HIYO inawezekana hao iPhone wachujio la kusoma simu za watu ..
 
‘Siruhusiwi Kutumia Simu Aina ya iPhone' – Rais Obama

Rais wa Marekani Barack Obama mnamo siku ya Jumatano alikiri kuwa alikatazwa kutotumia simu aina ya iPhone kwa sababu za kiusalama, hii ilikuja kipindi ambacho alikuwa akifafanua ni kwa nini wakati mwengine huonekana akitumia simu kubwa aina ya Blackberry.

"Siruhusiwi kwa sababu za kiusalama kuwa na iPhone," Obama alilieleza kundi la vijana ndani ya White House kwenye tukio la kuhamasisha sheria ya kujali afya.

Mkuu MziziMkavu , no disrespect lakini hii siyo habari ya tech, ni habari ya udaku!
 
Last edited by a moderator:
Hata siamini. Huo ni uzushi tu kwa sababu kwa mara ya kwanza mtu mmoja alinambia kuwa Obama alikatazwa kutumia BB
Mkuu yaani kutokuamini kwako kunatokana na mtu mmoja kukwambia "Obama alikatazwa kutumia BB"? Mhhhhh!
 
ndiyo maana mimi nina nokia torch mpaka leo na sina mpango kabisa wa kuiacha, watu wananiulizaga huna whatsapp? nawambia natumia nokia torch.
 
Hivyo wamarekani na ujanja wao wameshindwa kumtengenezea simu yake tu..mbona wachina wanatengeneza aina nyingi..kama Techno, BlueBerry, YellowBerry, Hphone, Kphone, Sumsang etc..
 
tatizo sio ufahari tatizo ni usalama. simu special ya obama ujue watakaoitengeneza kutakua na snowden mwingine hivyo itakua rahisi kumtrack raisi huyu
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom