Sirudi nyuma

Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
5,149
4,674
Sina fedha,sina Godfather wala hati ya nyumba/shamba ila nina kitu kimoja tu kinachonitia moyo,yaani ki-saikolojia ninaamini kuwa nitakuwa settler hata kama si wa kiwango cha kutisha.Kuna members humu wana michango ya maarifa please nipeni na mimi nitawarudishia feedback hapahapa jamvini.
 
Hongera sana Malila.
 
Hongera sana Malila.

Asante kwa kunitia moyo,

Mwezi uliopita nilifika kijiji fulani huko mkoani,nikakuta mgeni mmoja kajikamatia nchi bure,kibaya zaidi anatumia kila kitu cha palepale kijiji kuendeleza eneo lile.

Nikajiuliza mimi ninashindwa nini,hapa sihitaji hata mkopo.
 
Sina fedha,sina Godfather wala hati ya nyumba/shamba ila nina kitu kimoja tu kinachonitia moyo,yaani ki-saikolojia ninaamini kuwa nitakuwa settler hata kama si wa kiwango cha kutisha.Kuna members humu wana michango ya maarifa please nipeni na mimi nitawarudishia feedback hapahapa jamvini.

Settler=COLONIZER.

Settler - Wikipedia, the free encyclopedia

A settler is a person who has migrated to an area and established permanent residence there, often to colonize the area.
 
Have faith in JESUS and Yourself, offcourse, nothing is impossible under the SUN.
 
tafsiri ya settler umeikatisha,chukua ile ya pili yake. Sina mpango wa kutawala watu wala kuwahujumu.
 
Namwamini Mungu sana na naamini kupitia kwake nitafanikiwa tu. Asante kwa kunikumbusha imani ktk Kristo maana vyote vyatoka kwake.
 
tafsiri ya settler umeikatisha,chukua ile ya pili yake. Sina mpango wa kutawala watu wala kuwahujumu.

Settlers are generally people who take up residence on land and cultivate it, as opposed to nomads. Settlers are sometimes termed "colonists" or "colonials" and -- in the United States -- "pioneers".

Please be of the last category....
 
Tafsiri ya settler ninayoipenda mimi ni hiyo niliyo highlight kwa red ink.
 
...and become pioneers.....who are any of the people in American history who migrated west to join in settling and developing new areas. This especially refers to those who were going to settle any territory which had previously not been settled or developed

The pioneer concept and ethos greatly predate the migration to parts of the United States now called Western, as many places now considered as East were also settled by pioneers from the coast. For example, Daniel Boone, a key figure in American pioneer history, settled in Kentucky, when that "Dark and Bloody Ground" was still undeveloped.
 
Sina fedha,sina Godfather wala hati ya nyumba/shamba ila nina kitu kimoja tu kinachonitia moyo,yaani ki-saikolojia ninaamini kuwa nitakuwa settler hata kama si wa kiwango cha kutisha.Kuna members humu wana michango ya maarifa please nipeni na mimi nitawarudishia feedback hapahapa jamvini.

Malila hongera!
:D:D:D
naomba uni PM tupeane taarifa zaidi;

Mimi tangu nilipotembelea maonyesho ya kilimo kwa mara kwanza miaka miwili iliyopita nimegundua ni kwa kiasi gani tumekuwa na mtazamo hasi wa kudharau kilimo na wakati mwingine tukikimbilia kazi za ofisini kwa woga wetu wa maisha!

Tuko pamoja naomba tushirikiane kwa hilo.
 
Poa mkuu nitakugongea pm yangu sasa hivi mkuu. Ila inabidi uwe na moyo mkuu ukizingatia inabidi tupambane kikamilifu.
 
Nimerudi toka safari ya Moro vijijini, huko nimeona naweza kutimiza ndoto za kuja kuwa settler fulani hivi hasa ktk kilimo, kama uko nasi njoo tuunganishe miguvu tukafanye mambo huko.

Malila please nipm na mm ukiwa na muda. Niko more than serious na hii issue ya kilimo tena nataka kulima huko huko Morogoro please nasubiri hiyo pm yako ili tuone ni vp we can move forward together. ThanX!
 
Nimeku-pm tayari
 
Am with you camarade.......
TUPO wengi ktk hii safari ya Malila.
imagine kijiji kina wakulima wenye upeo wa kutumia internet,research on market and prices via intaneti :)
Malila haya lete feedbak ya mradi wa kilimo,tayari nimeshatenga vijisenti vyangu for kilimo project,nimeskia kuwa Tracktors in Malawi bei iko poa around mil3- 4 hivi
 
pamoja sana mkuu malila!
nikisoma kati kati ya mistari ninagundua kwamba YOU HAVE SOMETHING REALLY GOOD IN YOUR HEAD!lakini mtizamo wako ''wa kujilimbikizia mali'' utakukwamisha
 
Muone huyu naye! Anatamani kuwa setla!! Yaani unatamani ubwana ili uwe na watwana chini yako. Mtu yeyote aliyejikomboa kifikra hatamani kuwa setla bali anatamani kuwa mshiriki wa maendeleo na si bwana wa kuabudiwa. Achana na usetla. Chagua kilicho bora katika maisha. Jichanganye na raia wenzako, toa mchango wako wa maendeleo, chapa kazi kwa bidii, utayabadili mazingira yako na kuwa mahali pema pa kuishi si wewe tu bali jamii nzima. Huo nidyo utu na heshima. Usetla hauna tija kwani ni ukandamizaji, unyanyasaji, ubaguzi wa kimadaraja (kimapato), ulimbukeni uliojaa majivuno na kujiona.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom