SIRIKALI IMEUZA KIGAMBONI BORA NIHAME KABLA SIJAHAMISHWA KWA NGUVu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
1480776_645942962156130_1168777306843662762_n.jpg
 
zipo sehemu nyingi zimepimwa mkuu na ziko sawa huko....

tatizo kuna sintofahamu nyingi sana,kama leo nimemsikia waziri anasema kuna vijiji vitatu vimeongezwa kwenye mradi mkuu,pale kama unafamilia kujenga nyumba pale unaitafutia familia yako matatizo makubwa!labda kama hela umeshinda bahati nasibu.
 
Kigamboni sioni kama itafanikiwa..nguvu yote tutahamishia Bagamoyo new City..kuendeleza kigamboni garama yake ni sawa na kujenga Bagamoyo City nne..
 
KWA HIYO MziziMkavu UTAENDA WAPI??? AU ZANZIBAR
Ninangojea

hizo Serikali 3 wanazozitaka hao akina Ukawa nitajuwa niende wapi? Unguja au kisiwa cha

chumbe aliposema Marehemu Rais wa Serikali ya Zanzibar Marehemu Mzee Karume kuhusu

Azimio la Arusha mwisho wake ni kisiwa cha chumbe. Kukiwa na Sirikali 3 nchini Tanzania bora

nikahamie kisiwa cha chumbe niunde na mimi Sirikali yangu hapo unasemaje?
 

Attachments

  • chumbe.jpg
    chumbe.jpg
    17 KB · Views: 190
  • Chumbe-Island-Coral-Park-7287.jpg
    Chumbe-Island-Coral-Park-7287.jpg
    78.8 KB · Views: 129
  • chumbe1.jpg
    chumbe1.jpg
    40.7 KB · Views: 234
  • fd84902ed3.jpg
    fd84902ed3.jpg
    30.8 KB · Views: 156
  • fea84184-9724-4927-b8db-4835b7c156d0.jpg
    fea84184-9724-4927-b8db-4835b7c156d0.jpg
    19 KB · Views: 116
  • images.jpg
    images.jpg
    126.2 KB · Views: 120
Kumbe chumbe pazuri namna hii.... mkuu MziziMkavu tutahamia wote yakhee mi ntaambulia hata u-sheha!!
Kisiwa cha maraha hicho wa Unguja wamekisahau hakuan huko mambo ya vyama vyingi wala upinzani Raha tupu huko unakula raha zako na upepo wa baharini karibu sana nitakupa Usheha wewe inshallah...............
 
Ooyooo jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiiza na mwenye nchi yake kishatangaza anaetaka tatu basi na ahame na sasa mnataka kuhamea huko kwake tena ni mkali sana huyu Raisi wao Bakari sheni
 
Hahahahaha!!!! Huko utafuatwa na panya road...wakuonyeshe sehemu nzuri ya kwenda


ninangojea

hizo serikali 3 wanazozitaka hao akina ukawa nitajuwa niende wapi? Unguja au kisiwa cha

chumbe aliposema marehemu rais wa serikali ya zanzibar marehemu mzee karume kuhusu

azimio la arusha mwisho wake ni kisiwa cha chumbe. Kukiwa na sirikali 3 nchini tanzania bora

nikahamie kisiwa cha chumbe niunde na mimi sirikali yangu hapo unasemaje?
 
Back
Top Bottom