TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,700
- 11,034
Wadau,
Mara nyingi watu wanaosafiri sana (hasa watumishi wa taasisi za umma) hupenda kufikia hoteli fulani na kuzoeleka vizuri tu na wenyeji; nimejiuliza sana kuhusu tabia zetu tunapokuwa wasafiri kama kunywa pombe, kujichanganya na hata sometime kufanya mambo adimu.. mara nyingine unakuta wake za watu au waume za watu wakinywa au kukaa pamoja mda mrefu sana mpaka inatia wasiwasi
sasa je;

- hivi hizi hoteli huwa tunaweza kwenda na familia zetu au wapenzi wetu?
- Je haiwezekani baadhi ya siri kuvuja kutoka mahotelini hadi kwa malavi davi wetu?
- kuhusu ule utundu, hivi wafanyakazi wa mahoteli wanaweza kweli kuamini wapenzi wao wakiwa safari?