siri za maofisini

AZIMIO

Senior Member
Jun 15, 2011
188
52
Napenda kujua kitendo cha wafanyakazi hasa wa serikarini kutoa siri au baadhi ya nyaraka muhimu za siri hii inaashiria nini hasa?
1.Huwa wanapata pesa nzuri wakitoa hizo siri.?
2.Wanapenda zitoke nje ili ukweli ujulikane kwa kuwa na wao wamechoshwa na uzembe.?
3.Au kuharibiana kwa sababu yeye labda ni mlango wa kulia?
Nawakilisha mwenye majibu tafadhari.
 
Intelijensia wameshindwa kuwabaini wavujisha siri, wooote wame-opt kuzuia maandamano ya chadema.!
 
Napenda kujua kitendo cha wafanyakazi hasa wa serikarini kutoa siri au baadhi ya nyaraka muhimu za siri hii inaashiria nini hasa?
1.Huwa wanapata pesa nzuri wakitoa hizo siri.?
2.Wanapenda zitoke nje ili ukweli ujulikane kwa kuwa na wao wamechoshwa na uzembe.?
3.Au kuharibiana kwa sababu yeye labda ni mlango wa kulia?
Nawakilisha mwenye majibu tafadhari.
hauna jibu hapo; tatizo hawajui au wanakiuka kwa makusudi sheria, kanuni, taratibu, maadili na miiko ya utumishi wa umma unaowataka kutunza siri za office
 
Siri zenyewe kama ni za kifisadi, rushwa na wizi na zinaangamiza nchi hata mimi nitazivujisha tuu, unless iwe ni classified information that has to do with national security
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom