Kidigitali! Hacheleweshi.(Mungu)Nchimbi kwa hili nalo ni uchochezi????? Siku hizi Mungu huhtenda mchana kweupe.
Kidigitali! Hacheleweshi.(Mungu)Nchimbi kwa hili nalo ni uchochezi????? Siku hizi Mungu huhtenda mchana kweupe.
Huu ni udaku ambao umevunja rekodi ya udaku uliowahi kutokea duniani,Hii ni habari mbovo ya uongo ya kijinga na yakizandiki na nafikiri mtoa taarifa na mwandishi wakapimwe ubongo
aiseeh ! Hiyo conclution yako ndo imenikera kweli !
Hawa jamaa kama wamedhulumiana magunia ya bange ccm hapo ina husika vipi ?
...yaani umenitia kichefu chefu !
Kaka hapa unaharibu. Aliyewateua maaskofu waliolawiti watoto kule Marekani na kwingine kwenye shida kama hizo ni Pope. Kumbe naye alaumiwe? Hao ni wahalifu tu, wamefanya kwa utashi wao na adhabu inawahusu wao. Tushughulike uhalifu tuache siasa. Siasa zina mahali pake si hapa. Ahukumiwe aliyetenda kosa, hiyo ndiyo haki.
Gazeti nimelisoma zaidi ya mara mbili sijaamini macho yangu. Hata hivyo, kilichoandikwa hapo kimefupishwa sana. Kwa kuwa kina wahariri wazoefu sina haja ya kuhofia taarifa yake. Ukweli nchi yetu iko pabaya. Wakituhumiwa kuwa wanaua waandishi wanalalamika.
Hii balaaa zaidi ya balaaa mala bangi, kuua waandishi, kubakiza watu kesi na kuuwana wenyewe Mungu kaamuwa kuwaumbua polisi ka zambi zao.HayaNchimbi awasifie tena polisi. Kila kukicha madudu ya polisi
Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Tsh 10,000/=
Gazeti nimelisoma
zaidi ya mara mbili sijaamini macho yangu. Hata hivyo, kilichoandikwa
hapo kimefupishwa sana. Kwa kuwa kina wahariri wazoefu sina haja ya
kuhofia taarifa yake. Ukweli nchi yetu iko pabaya. Wakituhumiwa kuwa
wanaua waandishi wanalalamika.
Soma gazeti la mawio alhamisi halafu uniambie kama kiu yako itakuwa imekatika au la. Kifupi gazeti la mwanahalisi liko mtaani kwa jina la mawio. Waandishi wote wa mwanahalisi wako Mawio.
Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Tsh 10,000/=
Kuna conspiracy theory moja ilikuwa inaendelea kichinichini kwamba, Marehemu Barlow ndio alikuwa next in line to be IGP. Na wakubwa hawakuwa wanamtaka hivyo ilikuwa inatafuta njia yakumpotezea e.g. kumpa nafasi nyingine, au kumuondoa kabisa uhai wake, au kumkaukia tu pasipo kumpa kifuta machozi. Whether this is true or not, I do not know. Lakini naanza kupata picha halisi kwamba marehemu alikuwa na maadui wengi ndani ya jeshi la polisi, usalama wa taifa, na obsviously nje ya mzunguko huo. I hope it is just a matter of time kila kitu kitakuwa clear.
Mmmmh!! 10,000/= aende bungeni???? Kutoka Mwanza???
According to Majimoto, nchi hii ilikuwa inaongozwa kwa nguvu za giza hadi sept. 2009. Wakati huo mambo yalifichika, lakini hivi sasa kila uovu unajianika hadharani kweupe. Nguvu za giuza zimeshindwa.
Mmmmh!! 10,000/= aende bungeni???? Kutoka Mwanza???[/QUOTE]Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Tsh 10,000/=
Mwenye Jamhuri ni nani Mkuu?