Siri yafichuka Kumbe marekani inamiliki Hypersonic bomb miaka kibao iliyopita bila Dunia kujua:Kremlin wasema

Marekani na NATO hawaiwezi Russia. Joe Biden ni senile na msahaulifu otherwise he would not be provoking Russia at all. Sijui kwa nini Putin anasumbuka kubishana na Joe Biden badala ya kuimaliza Vita ya Ukraine kesho kwa kutumia nuclear bombs.
Please note,jeshi la anga la Urusi haliitwi,"Russian Air Force". Wanayo fancy name for their air defence. Kwa sababu Warusi wanazo cosmopheres,silaha ambazo zipo katika anga za juu.
 
Kwa Akili yako unadhani akishusha nuclear bomb watu watamtazama tu?

Muwe mnatumia Akili kuchangia mada Mkuu.
 
Marekani haiwezi kuufikia uwezo wa Kijeshi wa Russia for the simple reason kwamba Putin will killed( by the Russians) if he allows that to happen. Kama ambavyo Kruschev aliondolewa madarakani alivyoiboronga Cuban Missile Crisis. Na yule Brezhnev aliyempokea Kruschev alikuwa ni rocket scientist.
 
Back
Top Bottom