Hivi kushinda mahakamani ndio kutatua kero za wananchi au Dk slaa kushinda mahakamani ndio kueneza chadema acheni siasa za majitaka unamsifia slaa kwenda mahakamani wakati kazi za chama zinadoda
Magwanda kila mtu ana maamuzi yake...kila siku huwa nawafananisha na gari bovu.
Leo Zitto atasema hiki, Kesho Lissu naye atakuja na lake, Slaa naye tena ataleta lake, Regia naye hatakosekana.
Kwa kifupi chadema bado ni organization amabayo individualism imetawala!
Ni chama ambacho hakiwezi kupose threat yoyote kwa serikali.