Unajuwa duniani hakuna kiongozi asiependa kupata suluisho la kudumu na lenye kuleta amani kwa wana nchi wote.
Tukirudi kwenye swala ka Znz kwakweli tukubaliane sote swala la Zenj ni swala zito lililo na siri ambayo hakuna hata mtu mmoja aliekwisha kuapa kwa katiba anaweza kulizungumza.
Kwanini hawalazungumzi na kwa nini wote wakigika ikulu wanasimamia katiba na muungano.
Kwangu mimi huu ndio ukweli...
Taifa hili la Tanzania lina siri nzito ambazo hakuna mtu au mwanadam anazijuwa isipokuwa amefika pale magogoni.
m
Muungano wetu ni zaidi ya maneno ya wanasiasa wetu na waganga njaa kiukweli ukiujuwa Muungano huu kamwe huwezi ongelea kuuvunja maana ukiweza kuuvunja Muungano ni sawa na wewe umeweza kuitoa roho yako mwenyewe kwa mkono.
Zanzibar nje ya Muungano haipo salama hizi sio propaganda za viongozi wa juu wa kitaifa ila niukweli mchungu ambao kama kungekuwa na nafasi tukafanyia experment japo kwa mwezi mmoja. Tungeshuhudia ukweli.
Historia ya taifa letu imebeba mambo mazito kuhusu zanzibar kuziba masikio nakuwapotosha wananchi juu ya taifa linaitwa Tanganyika na taifa linaitwa Zanzibar nikujifanya hatujuwi hawa wote ni taifa moja tangu Mungu kuumba ulimwengu. Sisi ni taifa moja either tunataka au hatutaki na kusema ukweli hatuwezi tenda dhambi ya ubaguzi tukawa salama.
Upo ukweli makosa yalitokea ktk utawala ila marekebisho yakifanyika tutakuwa sawa.
Upo ujinga unafanywa na viongozi kuwabaguwa wa Tz. Kwa mfano wazanzibari wakienda bara wanamiliki ardhi kwa asilimia mia ila kwao wanawabaguwa wabara wakisahau bara hawabaguliwi.
Wametenga visiwa na baharieti yao. Mbona bara wanavuna madini na mbao na hakuna anaye wauliza.
Mimi nadhani waambiwe ukweli na huo ndio mwisho wa fitina