Siri ya waraka wa Mwakyembe yafichuka; Kisa ni kifo cha ghafla cha mhudumu ofisini kwake

Ndio maana tunatakiwa tuwe wazalendo.. Mafisadi yanatumia kila mbinu kutimiza lengo lao ikiwamo kutoa roho za watu ili malengo yao yatimie.. Ajali ya Mwakyembe si ya bahati mbaya ilipangwa lakini Mungu akamnusuru.... Leo tunaonea huruma U.F.I.S.A.D.I.. Give me a break!

Mtaibua mpaka habari za uzushi zilizopitwa na wakati, BVR fake ndio hivyo tena zinabuma. Kila tawi mnaloshika linateleza. Sasa ni kwamba ccm mwaka huu lazima.mtembelee tumbo. Mark my words.

HATUDANGANYIKI!
 
Hio ya BVR fake mie siielewi.... hv nani alete BVR feki bure.... kwa faida gani hasa? Au siku hizi uandikishaji watu imekuwa biashara?

Hakuna BVR feki zipo BVR halisi.... zilizoletwa na kutolewa na serikali ambazo zimetolewa ki 'feki' ili kufanya kazi maalumu ya ku'feki' matokeo ya uchaguzi.... full stop.
Tume itoe maelezo ya kina
 
Mtaibua mpaka habari za uzushi zilizopitwa na wakati, BVR fake ndio hivyo tena zinabuma. Kila tawi mnaloshika linateleza. Sasa ni kwamba ccm mwaka huu lazima.mtembelee tumbo. Mark my words.

HATUDANGANYIKI!
Mambo ya CCM na BVR fake yanaingiaje kwenye mada hii? Are you ok?
 
ni nini basi mambo haya?? maana yake nini??

Mwakyembe amekufa?? au kun mtu kawekewa sumu??
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom