Siri ya Wanawake wanao Tafuta wanaume Jf yagundulika

nimekosea siyo numbisa nilitaka niandike jina lako Sumbai nikachanganya nikijua wewe ni numbisa, huwa sisomagi majina but wakati na qoute
Dah roho ilishaanza kwenda mbiyo saaana. Ngoja itulie.

Hivi huu mwezi mtukufu unaisha lini? Tuanze na faili lako
 
Wote mnaoanzisha mada za hivi mnatafuta wapenzi pia!
Acheni uchokonoko!!! Tusipangiane maisha bana... Kama wewe huwataki kuna wenzako wanasubiri kila siku bandiko liwekwe wakajimwage PM!

mnajifanya kuponda hapa lakini PM mnawafuata!
dada Nimekupenda
 
Afu umesahau na hilii... Wana sura mbovu sijapata wahi ona...

=Pia they are natural
Si wa kung'arishwa na jotro la Darisalama
Ukikutana na mrembo ni mrembo haswaaaaaa.

= si wavivu hata chembe they are hard workers. Hawachagui kazi. Hawana mideko deko ukikaa vibaya sijui unarembuarembua mwanaume wa dar unakula zauso. hawarembii hahahaah.


Cc Smart911
 
Wote mnaoanzisha mada za hivi mnatafuta wapenzi pia!
Acheni uchokonoko!!! Tusipangiane maisha bana... Kama wewe huwataki kuna wenzako wanasubiri kila siku bandiko liwekwe wakajimwage PM!

mnajifanya kuponda hapa lakini PM mnawafuata!
Nasubiria upost nikutwae
 
Asante sana,mm Askari Muoga baada ya kufanya Deep and Hard inveatigations nimekuja kugundua siri zifuatazo kuhusu wanawake wanao tafuta wanaume jf
1:Wa mikoani ivyo wana watafuta wanaume wa Dar ili waje Dar es salaam,mwendokasi
2:Wanafikiri kuwa JF imejaa wasomi wengi maana mtandao wa jf unatumiwa sana na Wasomi kumbe hata sisi tupo
3:Matapeli ni maajabu mtu anayetumia fake name,no picture kutafuta mtu asiye mjua hapa tuwe makini mungipanga appointment bora mkakutane Central polisi au karibu na kituo cha polisi
4;Wavivu na wenye malingo hawa wanawake wanakuwa na malingo mtaani kwao hawana ushirikiano na jamii ivyo wanakosa wachumba
5:Wasongo list au ma Complicator wao ni kukesha wakisoma tu
haijarishi mkuu ,katika mahusiano watu wanakutana mazingira tofauti tofauti sana wengine misibani,safarini ,mitaani na sasa hata kwenye mitandao.
 
Utafiti wako una mashaka kwanza ww askari muoga unewezaje kufanya deep and hard investigation
 
Mimi nlkutana na hyu ila jna lke ngoja nkaushe


133d47020c47604f0a286979b996bd72.jpg
 
Back
Top Bottom