Siri ya Vita ya Warioba na Professor Shivji Hii Hapa!!

- BAHAHAHAHAHAAAAHHHAAAA YAANI WEWE UNANIVUNJA MBAVU U KNOW!!BAHAHAHAHAHA!!, KAKIMBIA BEN SAANANE WEWE HUWEZI THIS GAME KAA PEMBENI HALAFU NAWASUBIRI TU MJICHUUZE NIWAPE FULL MASINONDO, SI UNANIJUA

eS

we njaa inakusumbua nenda kachukue buku saba lumumba, we siyo saizi yangu mi nabishana na "kinana jangiri wa meno ya tembo"
 
we njaa inakusumbua nenda kachukue buku saba lumumba, we siyo saizi yangu mi nabishana na "kinana jangiri wa meno ya tembo"

- bahahahahahahhhhhh sawa sawa mimi ninabishana na kiongozi wa ukombozi ambaye kwa kufanya kazi bot tu ana nyumba kila kona ya dunia, Dubai, south Africa, USA, huyu ni sawa na kina MAndela, Mugabe na Ghandhi, bahahahahahaha

ES
 
ngoja tujiandae tu kuandika katiba mpya nyingine kwani kwa mwendo huu itatoka mbovu tu kwa dalili hizi.
 
- Hoja ya mada ni siri ya ugomvi wake na Shivji sio anything else!!

ES

Butiku alipotaka kubadilika na kutaka Serikali 2, kidogo zipigwe ngumi huku kila mmoja wao akijigamba kuteuliwa na Rais, wakapanishwa, kumbe vurugu zote hizi Warioba ana hasira sana za Dr. Salim kukosa Urais kwa hiyo anataka kumpa Urais kwa Shirikisho la Serikali ya Muungano 3.

Hapo juu ni maneno yako mwenyewe. Kwa hiyo na hili ulilo litaja hapo juu nalo lina husiana na ugomvi wa Warioba na Shivji?
 
Hapo juu ni maneno yako mwenyewe. Kwa hiyo na hili ulilo litaja hapo juu nalo lina husiana na ugomvi wa Warioba na Shivji?

- Sijakuelewa unasema nini? badala ya kujibu mapigo wewe unauliza unauliza nini hapa? ebo!! hapa ni fimbo kwa fimbo jibu niongeze dose!!

Es
 
- Sijakuelewa unasema nini? badala ya kujibu mapigo wewe unauliza unauliza nini hapa? ebo!! hapa ni fimbo kwa fimbo jibu niongeze dose!!

Es

Kumbe ni fimbo kwa fimbo. Mimi nilidhania ni mjadala. Kumbe umeanzisha thread sio kwa kujadili bali kwa "fimbo kwa fimbo"? Haya endelea mkuu. Uzuri maneno yako si sheria na hayana effect yoyote nje ya servers za JF. Zingekua na influence where it matters ninge ogopa.
 
- Warioba alikuwa mshikaji na Shivji walishirkiana sana kwa siri kuimaliza CCM kwenye muafaka, na kwa kawaida Chadema huwa wanapata ushauri kwa siri kutoka kwa WArioba na hata kwenye hili la kuvunja Muungano wapo pamoja that is the ishu hapa hayo yako tafuta mtu wa kujadili naye sio mimi!!

ES

Umejibu ambacho hujaulizwa, ulichoulizwa hujajibu.

Unajua maana ya "baada ya appointment"?
 
- According to the Dataz Mheshimiwa Warioba pamoja na Lipumba, walikuwa wakishirikiana kwa siri sana na Professor Shivji, wakati wa Muafaka wa CCM na CUF Zanzibar wakiwasaidia sana CUF against CCM lakini hivi karibuni Professor Shivji amewashangaza sana wenzake kwa kuanza kuitetea hoja ya Serikali 2,

- Inasemekana kwamba wakati wote wa Muafaka CCM walijua wazi kila kitu alichokuwa anakifanya Warioba kwa siri kwa kushirkiana na CUF, na kwamba siku zote Warioba amekuwa mshauri wa siri sana wa Chadema kwa hiyo kwa wakuu wengi wa CCM hakuna la ajabu sana na behavior ya Warioba sasa hivi hasa kwenye Tume yake ya Rasimu.

- Butiku alipotaka kubadilika na kutaka Serikali 2, kidogo zipigwe ngumi huku kila mmoja wao akijigamba kuteuliwa na Rais, wakapanishwa, kumbe vurugu zote hizi Warioba ana hasira sana za Dr. Salim kukosa Urais kwa hiyo anataka kumpa Urais kwa Shirikisho la Serikali ya Muungano 3.

FMES - Wazee Wa Sauti Ya Umeme!!

Asante kwa taarifa.
Je unaweza kutudadavulia yaliyompata Dr Mvungi? (RIP)
 
- Majungu really? Warioba kushirikiana na wale wote wanaoichukia CCM unasema ni majungu? Warioba kutoa ushauri kwa siri kwa Chadema unasema ni majungu, WArioba kugombana na shivji unasema ni majungu? ok lete ukweli basi

ES

Tumia logic walu kidogo tu,umesema kwenye uzi wako mwanzoni kabisa kuwa "according to dataz",
Sasa hizo data zi wapi zaidi ya kueneza majungu yasiyo na ushaidi.

Tunaomba utupe utetezi wako kwa kujibu maswali yako (blue line above).

Alafu eti unajifanya kunihoji kana kwamba tulikuwa wote.

Ushauri: Unapokuwa muongo jitahidi sana usisahau ulichosema mwanzo.
 
- Ok umseoma umeona hakuna dataz ukaja kujibu duh huoni wewe ndio mzushi, nimesema hivi Warioba na Shivji wamegombana kwa sababu walikuwa wamoja kwenye kuishauri CUF kwa siri wakati wa muafaka, sasa lipi hapo huelewi mkuu sana nikusaidie?

ES
 
Kumbe ni fimbo kwa fimbo. Mimi nilidhania ni mjadala. Kumbe umeanzisha thread sio kwa kujadili bali kwa "fimbo kwa fimbo"? Haya endelea mkuu. Uzuri maneno yako si sheria na hayana effect yoyote nje ya servers za JF. Zingekua na influence where it matters ninge ogopa.

- bahahahahahaha so lets say maneno yako yana influence sana so whta that has anything to do na mada kwamba Warioba ana matatizo mengi tu sasa ni wakati wa kuanza kuyatoa live!!

ES
 
- bahahahahahaha so lets say maneno yako yana influence sana so whta that has anything to do na mada kwamba Warioba ana matatizo mengi tu sasa ni wakati wa kuanza kuyatoa live!!

ES

Bwahahahahahahahahahahahaha endelea kaka. Hukatazwi kuongea na wala hulipii maneno. Maneno yako mazito sana nina uhakika wengi wangependa kujua zaidi kuhusu your "inside info". Why end at JF? Mimi naamini kabisa ukiita waandishi wa habari watapenda kusikia what you have to say. Hebu waite bwana uhondo huu usibaki JF to. People need to know siri ya ugomvi wa Warioba na Shivji bwahahahahahahahahaha.
 
- Kaka mwendo ni ule ule wewe umeita waandishi mara ngapi mkuu, bahahahahahaha!! hapa muziki kama unakushinda sepa tu hamna sababu ya kubadili topic, lets stay at the topic!! huko unakotaka knipeleka siendi bahahahahahahahhhh!!

Bwahaahahahahahahahaha niite waandishi wa habari wa nini? Wewe ndio mwenye "inside info" bwana maana kweli hii ni "siri". Nina uhakika ni wachache sana waliokuwa wakidhani Shivji na Warioba wana ugomvi. Serious mkuu this is big stuff usiishie tu JF. Many people need to know this bwahahahahahahahahahahahahahahahahaha!!! Au hautaki watu wasio soma JF wapate this big news? Ni ushauri tu.
 
Majungu at work!... hivi viwanda vya uongo mnazilipia kodi? Binafsi sifagilii serikali 3 maana najua Payee yangu itatumika kugharamia serikali 3 badala ya maendeleo! Lakini Namtetea Mzee wetu Warioba! yeye amewasilisha maoni ya tume kama walivyoagizwa! Ndani ya tume husika kulikuwa na wajumbe wengi muhimu kama Jaji Augustine Ramadhan, Butiku, Salim Ahmed Salim, Palamagamba, Mvungi et al...Kwanini mawe mnaelekeza kwa Warioba pekee? ... Something is wrong somewhere... Character Assassination mnazozifanya kwa faida ya nani? kwanini?... RIP Mvungi...
 
Kwa wale wanaojua mchakato wote wa muafaka ulivyokuwa, wakisoma haya madai dhidi ya Jaji Warioba watashangaa sana! Itoshe tu kusema kuwa Muafaka ulianzishwa na Wanzanzibari wenyewe.

Lakini pili, naona Dr Salim Ahmed Salim anawindwa tena! Single ya Hizbu haikukolea, ama?
 
Majungu at work!... hivi viwanda vya uongo mnazilipia kodi? Binafsi sifagilii serikali 3 maana najua Payee yangu itatumika kugharamia serikali 3 badala ya maendeleo! Lakini Namtetea Mzee wetu Warioba! yeye amewasilisha maoni ya tume kama walivyoagizwa! Ndani ya tume husika kulikuwa na wajumbe wengi muhimu kama Jaji Augustine Ramadhan, Butiku, Salim Ahmed Salim, Palamagamba, Mvungi et al...Kwanini mawe mnaelekeza kwa Warioba pekee? ... Something is wrong somewhere... Character Assassination mnazozifanya kwa faida ya nani? kwanini?... RIP Mvungi...

- kAKA KAMA HAYA NI MAJUNGU UNALETA UKWELI TU SIO MANENO MENGI YA KULIA LIA BILA MAPIGO, NIMETOA MAPIGO JIBU MAPIGO

eS
 
Back
Top Bottom