Siri ya Ulaya kupendekeza mamiss kuwa potable kumbe ni ile tabii yao ya bwana harusi kumbeba... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri ya Ulaya kupendekeza mamiss kuwa potable kumbe ni ile tabii yao ya bwana harusi kumbeba...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by harakat, Nov 11, 2011.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Kumbe enzi za nyuma inasadikika mfalme alioa binti kibonge wakati wa picha
  kumbeba ikawa kazi kubwa ya kuchosha na ya nguvu sasa hawa jamaa
  wakaanzisha mfumo maalum kwamba wadada wawe vipotable na ndio hapo
  ilipoanzia suala la mamisi

  Sisi huku ingetakiwa tuwe na miss bantu sasa tumejipotosha na tukaanza
  tukawaiga wao sijui itakuaje hapo...nakosa binti aliyejaza kama Mnyakyusa hivi
  yaani aliyeshiba umbo nane ya ukweli sio mchina.......ohhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.
   
 2. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hivi Harakat, uko usingizini? mbona unaleta issues za chit chat kwenye siasa bana, angalia uko kwenye jukwaa gani before you post your thread
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  kidumu chama cha mapinduzi
   
Loading...