Yooote haya yanahitaji pesa kweli kweli, ukisikia uwekezaji kwenye elimu ndio mambo kama hayo, main goal ni kufaulu, at all costs.., maarifa utajua mwenyewe, ufaulu tu ndio unaangaliwaUmesahau bahasha za kaki kwa wasimamiz
Haiwezekani wanafunzi wote kupata one za single digit, mbona special school matokeo yana tofautiana, 1,2,3 na hata 4 na 0Umesahau bahasha za kaki kwa wasimamiz
Sisi kuna paper za practical ya chemistry tulifundishwa leo, halafu wiki 1 baadae kwenye NECTA ikaja vile vile, ila walibadilisha namba chache sana, yaani walitwist kidogo tu, watu tulipasua vibaya mno, ila ilikuwa hatuambiwi kama hii ndio NECTA tunawafundisha ili msije mkaenda kutanganaza, nyie mnashtukia tu paper mliyofundishwa imekuja ile ile!!Shule nyingi za private, zinavujisha mitihani OVER
Wakati nipo form five nilikuwa nawasikia form six kipindi cha NECTA wanafurahi pepa wamesolve na imekuja mulemule
Ilivyokuja zamu yangu, (NECTA) nilibahatika kupata paper ya somo moja, tena 1 na 2
Haya mapepa yalitoka kwa washkaji wa private
Sasa kama tulipata paper na kusolve masaa 24 kabla na tupo government school,, je private?
Haiwezekani wanafunzi darasa zima wapate div za 7,
Ukitaka kuprove, Advance huwa wanazingua hàtar pamoja na kutoka one O level
Pamoja na hayo, wapo serious kwenye mikakati ilo halipingiki
Uchunguzi wa kina ufanyike, na watagundua ninachosema, hasa hilo la kuwafanyisha mitihani wanafunzi dhaifu kwenye ‘private exam centres’ , yaani unafanya mtihani chini ya mwamvuli wa kituo , sio shule.Haiwezekani wanafunzi wote kupata one za single digit, mbona special school matokeo yana tofautiana, 1,2,3 na hata 4 na 0
Uchunguzi wa kina ufanyike, na watagundua ninachosema, hasa hilo la kuwafanyisha mitihani wanafunzi dhaifu kwenye ‘private exam centres’ , yaani unafanya mtihani chini ya mwamvuli wa kituo , sio shule.
Aiseee, kwahiyo hapo kila shule inaweka alama juu zaidi ya alizopata, kwakuwa cha msingi ni ufaulu, potelea mbali...MBINU NYINGINE.
KARIBU SHULE ZOTE ZA GOVERNMENT NA PRIVATE
HUONGEZEA WANAFUNZI ALAMA ZA CONTINUOUS ASSESSMENT (CA) ambayo huongeza asilimia 15 ya alama za Somo NECTA.
IPO HIVI mtihan wa mwisho mwanafunzi hutafta alama 75.
Alama 10 hutokana na mtihan wa Taifa form II.
Alama 15 hutokana na alama za mitihan ya form 3 na 4 yote.
Sasa uhuni hufanyika kwa mwanafunzi kuongezewa alama mitihan ya ndan Terminal na Annual, hata kama alikuw anapata alam 10, walimu humuwekea alama 98-100.
(Kuna ukokotoaji wa kitaaluma hufanywa na necta kwa hizo alama hadi kuleta alama 15 baadae)
Mbinu hii imesaidia kupunguza zero nyingi, na hizo division four mnazozion nyingi ni zero bila hii MBINU.
Walimu hasa wakuu wa shule hufurahishwa sana na huu mchezo unaowasaidia kufuta madudu.
Zile ni mitaala ya huko huko...Naombeni msaada kuna jambo najiuliza sina majibu, content ilikuja humu Jf siku chache sana ndip matokeo ya necta yakatoka, ilikuwa ikitaja shule kumi za gharama nchini, ziltajwa ada zake ni makumi mamilion na mitaala yake, swali, mbona necta imetangaza shule kumi bora zenyew hata moja sijaiona? Au zenyew mitihan yake inatungwa na kusahihishwa huko dunian ambako sisi dunia ya tatu hayatuhusu?
Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
Hii hata chuo ipo watu hawataki tena kuelewa bali wanatumia nguvu kupitia “past papers”Nimeufanya wakati nasoma Sekondari (Personal experience)
Acha uongoKuna shule moja ipo Bukoba yenyewe ni kuanzia primary ni private basi watoto wanateleza tu mpaka form four unakuta wote wana one wawili au watatu ndio wana two! Wakitoka pale kwenda A level tofaut na pale wanatengeneza zero za kutosha ktk mitihani yao ya mwisho(form six) last week nimeenda kule mkuu wa shule ananambia ameamua aweke na A level palepale nafikiri mmeelewa kwanini! Najiuliza sijui atafungua na chuo kikuu kabisa
Waliotoka kwenye hizo shule ndio wamesoma
Hawa wengine wamemaliza tu shule
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mnaopinga wengi form 4 au std 7 failures ila tuliopitia hizo system hatuez kumpuinga huyo jamaa
Mnaopinga wengi form 4 au std 7 failures ila tuliopitia hizo system hatuez kumpuinga huyo jamaa
NECTA hawana utaratibu huu, wa CAMBINU NYINGINE.
KARIBU SHULE ZOTE ZA GOVERNMENT NA PRIVATE
HUONGEZEA WANAFUNZI ALAMA ZA CONTINUOUS ASSESSMENT (CA) ambayo huongeza asilimia 15 ya alama za Somo NECTA.
IPO HIVI mtihan wa mwisho mwanafunzi hutafta alama 75.
Alama 10 hutokana na mtihan wa Taifa form II.
Alama 15 hutokana na alama za mitihan ya form 3 na 4 yote.
Sasa uhuni hufanyika kwa mwanafunzi kuongezewa alama mitihan ya ndan Terminal na Annual,
Hata kama alikuw anapata alam 10, walimu humuwekea alama 98-100.
(Kuna ukokotoaji wa kitaaluma hufanywa na necta kwa hizo alama hadi kuleta alama 15 baadae)
Mbinu hii imesaidia kupunguza zero nyingi,
Na hizo division four mnazozion nyingi ni zero bila hii MBINU.
Walimu hasa wakuu wa shule hufurahishwa sana na huu mchezo unaowasaidia kufuta madudu.