Siri ya Uchawi

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,505
2,900
Maisha ya bindamu yamebakia kuwa siri na kama ilivyo matendo ya kibinadamu mengine hufanywa kwenye ulimwengu ambao sisi binadamu wengine hatuuwezi kuona kwa macho ya kawaida ila wapo baadhi ambao wanaidiwa na majini pamoja na wengine nguvu zao za asili walizobarikiwa.

UCHAWI ni imani ya kulifanya jambo kwa njia ya kimazingara au tofauti na uhalisia mfano kupita kwenye viwambaza au kupaa kwenye ungo.msaada huu wa kupaa na kupenya viwambazani ni msaada wa majini al baqara1; 102.

KWANINI WACHAWI NI NGUMU KUACHA UCHAWI
MUHURI, sababu zipo nyingi ambazo zinafanya wanachama kutoacha mila na desturi zao,ujue kwamba uchawi ni mfano wa kikundi chama ambacho kinakuunganisha wewe nkupitia agano ambalo utaingia na agano la uchawi linajumuisha damu na kivuli chako hivyo ni kama vile umepeleka passport size yako na details zako kwa wanachama wenzako basi uchawi ni vigumu mno kutoka kwani mara nyingi wanakuwa na muhuri ambao utakao kujulisha kila sehemu utakayokwenda.

UTAJIRI,ukiingia katika ulimwengu wa uchawi kuna mambo mengi ambayo sisi hatujui na tunaona na kushangaa kwamba kuna faida gani kuroga kumbe wachawi wanaishi kwa madaraja na kadri unavyopanda daraja basi mali na utajiri huongezeka kupitia ulimwengu huo wa kichawi mfano unakuta mchawi anamiliki meli,magari na watumwa n.k

CHEO, ulimwengu wa kiza nao unatoa nafasi ya wanadamu kupata vyeo na cheo hupan da ikiwa utaendana na misingi na maamrisho ya majini na viongozi wa uchawi.

JE, KWELI TUNAROGWA?
Yes, binadamu maisha yetu yamenausiri mkubwa sana na usiri huu unatuchagiza kuwa na machaguzi mengi ya kuamua muda mwengine unaweza ukaletewa nadharia ya dini.nieleweke sijasema dini haipo ila unaweza ukaletewa nadharia ya dini lakin hapo hapo kutazushwa dini nyingi ambazo hutaelewa ipi ni sahihi na ndiyo kawaida kwa uwepo waneno kurogwa.

Familia nyingi za kimasikini wanalalamika kuwa wanarogwa ila ukilinganisha na familia waliokuwa na wadhifa hutosikia masikitiko haya hivyo naweza kusema kama utaamini ulimwengu huu upo basi kurogwa kupo lakini je kila mtu alikuwa na ugumu wa maisha amerogwa?

UGUMU WA MAISHA
Niliuliza kwa mganga mmoja kwanini wengi hurogwa kimaisha? unajua binadamu wengi wanapitia kwenye changamoto ya ugumu wa maisha na hichi kitu kinawafanya wengi kudhani kuwa wamerogwa,lakini si kweli ila kupuuzia mila na desturi za makabila yenu ndiko kunaafanya ugumu wa kupata kipato utakuta mtu katoka kijijini kwao miaka 10 iliyopita na hajarudi mpaka kesho huna baraka za wazazi na walezi n.k hivyo imebaki kuwa laana kwa watu.

SULUHISHO
Nimeleta mada hii kwa lengo kuonyesha baadhi ya siri za uchawi pamoja na kujua matatizo yanayotukumba kama jamii ila nipende kutoa suluhisho la pamoja kuwa si shauri mtu yeyote kujiingiza katika kuamini imani hizi potofu na unachotakiwa ni kuomba kwa imani yako kama umeamini ubudha basi omba,uislamu,ukristo na hindu kote omba kwani mungu huumpa anaehitaji ila bila kusahau tafuta ukweli kuhusu dini.machaguo mengi halikosi jibu sahihi.

Walamsiki
 
Kumbe wachawi wanamiliki hadi meli na mimalu yote hii. Sasa mbona wanaishi Vibanda Umiza?
 
kumbe na weye ni walewale!!! ulienda kwa mganga kufanya nini kama wewe na uchawi si kama CLEI2S CHAMA na yuel mmakonde aliyesajiliwa uarabuni walipotengeneza juise la soka???
 
siri za uchawi pamoja na kujua matatizo yanayotukumba kama jamii ila nipende kutoa suluhisho la pamoja kuwa si shauri mtu yeyote kujiingiza
Haya mambo ya uchawi ni meeengi km Dunia ilivyo cha msingu nitatafuta kazi, nitasoma navo weza lkn kushindana kiuchawi asee ni ngum mnoo!! utakufa hujaumaliza uchawi lkn nimeamua kuchukua masters ya mabo ya uchawi tuu!
 
Back
Top Bottom