Siri ya u-genius wa Le Mutuz

Status
Not open for further replies.

maatope

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,424
957
Amini usiamini siri ya mafanikio ya le akili kubwazz imejulikana leo baada ya kupost picha kiwa ze dodomaz katika harakati za kumkabidhiz chamaz Mr Pombe.

Ni kidoti kilichopo unyayoni ambacho wataalamu wa elimu nyota wanakuambia ni alama ya magenius yaani akili kubwaaz.

Hali hiyo iliwafanya ma fans wa ze king of sosho midia kuuliza miguu vepeeee??yaani walikuwa wa me decode siri flani amazing.

Cheeers..

Screen Shot 2016-07-20 at 8.10.07 PM.png
 
sorry Baba yake na mama na mama wa kufikia walikuwa CCM na wakuu so jamaa he take advantage from there.
IMG_20160702_173157.jpg
 
Amini usiamini siri ya mafanikio ya le akili kubwazz imejulikana leo baada ya kupost picha kiwa ze dodomaz katika harakati za kumkabidhiz chamaz mr pombe
Ni kidoti kilichopo unyayoni ambacho wataalamu wa elimu nyota wanakuambia ni alama ya magenius yaani akili kubwaaz
Hali hiyo iliwafanya ma fans wa ze king of sosho midia kuuliza miguu vepeeee??yaani walikuwa wa me decode siri flani amazing.
Cheeers

View attachment 368296
mambo haya yanachanganya sana. kuna daktari mmoja aliwahi kuniambia ukitaka kujua kuwa una maradhi ya presha au sukari tazama kiganja au unyayo wako utaona madoti doti mengi.. we unasema le mutuzi ana akili sana:confused::confused::confused::confused::confused::confused:!!!!
 
Himu ndani nadhani lemubebezz ana share na admin maana ukimsema vibaya huyu babu lazima post yako ufutwe au utakuta inapigwa locki
 
Himu ndani nadhani lemubebezz ana share na admin maana ukimsema vibaya huyu babu lazima post yako ufutwe au utakuta inapigwa locki
Ni kweli, nakumbuka siku ya mazishi ya mama ilitumwa thread ambayo ilikuwa inaonyesha pale nyumbani kwa marehemu mama yake, Mods waliifuta haraka sana kwa kuwa kahouse kalikuwa ka kawaida mnoooo
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom