maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,424
- 957
Amini usiamini siri ya mafanikio ya le akili kubwazz imejulikana leo baada ya kupost picha kiwa ze dodomaz katika harakati za kumkabidhiz chamaz Mr Pombe.
Ni kidoti kilichopo unyayoni ambacho wataalamu wa elimu nyota wanakuambia ni alama ya magenius yaani akili kubwaaz.
Hali hiyo iliwafanya ma fans wa ze king of sosho midia kuuliza miguu vepeeee??yaani walikuwa wa me decode siri flani amazing.
Cheeers..