Siri ya sheria ya mfuko wa hifadhi za jamii"hazina hela zimeisha""uliza waliopo wamekwangua zote

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Ndugu zangu inawezekana unashukuru mungu kwa kuwa amekupa uhai
uhai uliopo ni kwamba hii sehria inayoendelea kupigwa kelele na hawa wahuni
waitwao wabunge kuipitisha na leo hii nimesikia ati wameanza kupiga kelele
hivi unaweza kupiga kelele kwa sheria ulioipitisha mwenyewe??

J.mhagama mama na wenzio nahisi wanapoleta bajeti humo ndani mmekaa kishabiki zaidi kuwabana
wabunge wa upinzani na kushindwa kujua majukumu yenu mwisho kuishia kushtuka
mmepitisha pumba wakati is too late

ukweli uliopo nduugu zangu hazina kumekwisha...na mambaya zaidi na zaidi ni kwamba
serikali hii imekopa mikopo mingi kutoka pesa za hifadhi za jamii sasa kinachoendelea
ni kwamba wanataka kuendelea kukopa tena kwenye hizo hifadhi za jamii ndiipo wakurugenzi
wao wakawa kimoja na kusema wananchi walioweka pesa zao tutawalipaje

na hapo ndipo punguani wachache wakatoa wazo la sheria yenu ya kishenzi kutumika ili
zile pesa wanazochukua kuendea usa.,uk,malawi na singida maramoja kwa mwaka na kila wiki
magamoyo wale hifadhi za jamii wasipate shida ya kudaiwa.....

Ni kitu cha kusikitisha kusikia mtu wa hazina anaongea hivi ila naamini ipo siku
watanzania wataaamka na kujua haki zao na kuamini pesa wanazoweka hifadhi za jamii sio
za wakubwa bali ni mali yao na wajukuu zao
 
Mhhh, yaani kwa kweli mi nashindwa kuimagne kabisa haya mambo yanakuwaje jamani?

Kila mahali ni dhuruma tu, hakuna penye nafuu.
 
Mdau unaesema Serikali imeishiwa, nakubaliana na wewe kabisa 100%. Nina mfano wa taasisi moja kubwa ya elimu, mfanyakazi ninakatwa 10% ya mshahara, na 10% mwajiri anilipie. Lakini cha kushangaza hiyo ya mwajiri naambiwa eti inapelekwa nssf moja kwa moja na serikali. Unapoenda kuulizia huko nssf unaambiwa michango yako haijafika!!
Wanachofanya ni kuwa kila mwaka mwajiri anapeleka list ya watu watakaostaafu huko hazina ili waanze kuandaa malipo kuyapeleka Nssf. Sasa shughuli inakuja kama mfanyakazi akifariki, mpk warithi wako waje wapate hayo mafao, tayari wanakuwa washasumbuliwa na kukata tamaa c'se michango ilikuwa haipelekwi direct to nssf.
 
Kitu ninachokiona sasa ni kuwa:-

Watu wengi watakapotoka kazini, watatangaza kufa na kuwatuma warithi wao wakakate cheti cha kifo na kuwatolea mafao yao ili wayatumie.

Wafanyakazi wengi katika sekta binafsi kuzidisha miaka e.g mtu anaeajiriwa na 30 yrs ataongea na bosi wake amwandike 40 yrs kufupisha muda wa madai

Wafanyakazi kupokea mishahara katika sura mbili, kwenye makaratasi utasomeka mshahara mdogo na mwingine watapokea CASH ili kukwepa kuibiwa pesa zao na haya mashirika (katika sekta binafsi hichi ni kitu cha kawaida ilas asa kitaongezeka).

SIJAWAHI CHUKIA KAMA AMBAPO NIMECHUKIA TOKA NILIPOISIKIA HII SHERIA YA KIPUUZI NA KINYONYAJI.

2015 FAINALI I CALL UPON YOU WABUNGE KWENDA KUANDAA MASHAMBA YENU HUKO MKALIME
 
Naona kufa kufaaana nakuunga mkono kaka binafsi nimetayarisha mtu kabisa wa rita kunipatia cheti cha kufa ikiwezekana hata kabla sijaondoka
 
Back
Top Bottom