Siri ya SHEIN

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
Matukio Katika Picha...

_DSC0612.JPG

Shein-michuzi%20blog%2029-9-07.jpg

Makamu wa rais Dr. Ali Mohamed Shein akikata riboni kama alama ya kuzindua rasmi mfuko wa uadilifu, uwajibikaji na uwazi katika bustani ya Mnazi Mmoja. (29 September 2007). Picha, hisani ya: issamichuzi.blogspot.com

Shein_BeiNyama_.jpg

Makamu wa Rais, Dr Mohamed Shein akiangalia nyama katika moja ya mabucha jijini baada ya kushtukia watu wanapandisha bei kiholela katika mida ya sikukuu ya Idd.(11 October 2007). Picha, hisani ya: mpoki.blogspot.com

Shein_KuzuiaRushwa_Michuzi.jpg

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akizindua awamu ya pili ya programu ya
kupambana na rushwa nchini kwenye sherehe ya siku ya maadili ya kitaifa. (10 December 2006). Picha, hisani ya: issamichuzi.blogspot.com

Shein_SeaCliff_Hakingowi.jpg

MAKAMU wa Rais, Dk. Ali Mohamed Sheni akikagua mabaki ya hoteli ya Sea Cliff, Dar es Salaam, ambayo iliteketezwa na moto. Kushoto ni Meneja Mkuu wa hoteli hiyo. Keven Stander. (24 September 2007). Picha, hisani ya: haki-hakingowi.blogspot.com

SteveD.
 
Last edited by a moderator:
Waheshimiwa, samahani kwa hitilafu zilikuwa nje ya uwezo wangu wa picha kutoonekana.
-----------------------------
Matukio katika picha yanaendelea:

Makamu wa Rais Dr. Ali Mohamed Shein akisalimiana Ikulu, DSM na KIONGOZI wa kidini wa Jumuiya ya Ismailia duniani Imam Aga Khan (L). (16 August 2007). Picha, hisani ya: haki-hakingowi.blogspot.com

-----------------------------
Shein_Buguruni_Hakingowi.jpg

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia nyama ya ng'ombe katika moja ya duka lililopo katika soko la Buguruni jijini Dar es Salaam . Makamu wa Rais Dk Ali Shein alikuwa katika ziara ya siku tatu kukagua hali ya vyakula na bei katika masoko jijini Dar es Salaam. (17 September 2007). Picha, hisani ya: haki-hakingowi.blogspot.com

SteveD.
 
Eeeh bwana e uhondo uko wapi? Picha zi wapi? Ugali bila mboga inakwenda vipi?

Boney E.M. Samahani kama hizo picha hazikusisimui sana, hata hivyo nimeweka kwa malengo ya kisiasa. Nadhani picha za 'mbogamboga' utazipata baadae pale brazameni atakapomaliza kula piau!! :) Maana kesha ahidi Hapa !!

SteveD.
 
Hivi huyo anayekagua nyama kwa ajili ya daku na mapagani nao anawapaga considerations?

Mfungo umeisha tunamsubiri Baruti
 
Mnatafuta kifaa cha kazi cha MAKAMO WA RAIS WETU ni hichi hapa

800px-Kitchenscissors.jpg

Shein-michuzi&

Makamu wa rais Dr. Ali Mohamed Shein akikata riboni kama alama ya kuzindua rasmi mfuko wa uadilifu, uwajibikaji na uwazi katika bustani ya Mnazi Mmoja. (29 September 2007).
 
Wewe Brazameni acha utundu wako, huyu ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, acha kumdhalilisha kwa kumfanya ni mtu wa kufungua majengo na kuzindua miradi ya maendeleo.
 
Ndio Hivyo Tena

Shein_KuzuiaRushwa_Michuzi.jpg

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akizindua awamu ya pili ya programu ya
kupambana na rushwa nchini kwenye sherehe ya siku ya maadili ya kitaifa. (10 December 2006). Picha, hisani ya: issamichuzi.blogspot.com

Shein_SeaCliff_Hakingowi.jpg

MAKAMU wa Rais, Dk. Ali Mohamed Sheni akikagua mabaki ya hoteli ya Sea Cliff, Dar es Salaam, ambayo iliteketezwa na moto. Kushoto ni Meneja Mkuu wa hoteli hiyo. Keven Stander. (24 September 2007). Picha, hisani ya: haki-hakingowi.blogspot.com
 
Shein_BeiNyama_.jpg

Makamu wa Rais, Dr Mohamed Shein akiangalia nyama katika moja ya mabucha jijini baada ya kushtukia watu wanapandisha bei kiholela katika mida ya sikukuu ya Idd.(11 October 2007). Picha, hisani ya: mpoki.blogspot.com
 
Wewe Brazameni acha utundu wako, huyu ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, acha kumdhalilisha kwa kumfanya ni mtu wa kufungua majengo na kuzindua miradi ya maendeleo.

kwi kwi kwi,

kwani so far si ndio kazi yake hiyo au sio mkuu masatu!
 
Shein_BeiNyama_.jpg

Makamu wa Rais, Dr Mohamed Shein akiangalia nyama katika moja ya mabucha jijini baada ya kushtukia watu wanapandisha bei kiholela katika mida ya sikukuu ya Idd.(11 October 2007). Picha, hisani ya: mpoki.blogspot.com

teh teh teh teh...

Hii picha yaani nitaiweka kwenye desktop leo kwa muda.
Huyu baba kwa kweli kina Kikwete wanamuaibisha sana...

kwi kwi kwi .... hii kali sana na imenikumbusha siku ile kwenye ile topic ya safari za Kikwete!
 
normal_DSC_1279.JPG

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akiangalia Bidhaa za aina mbali mbali za futari wakati alipotembelea katika soko la Tandale Dar es salaam kufuatia ziara yake ya kuangalia bei za bidhaa hizo katika masoko yaliyomo ndani ya Wilaya ya kinondoni ambapo bei za bidhaa hizi zimepanda kwa kiwango kikubwa kulinganisha na bei za awali.

Kwi kwi kwi Brazamen akili yako inahitaji uchunguzi...
 
normal_DSC_1241.JPG

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akianagalia nazi wakati alipotembelea katika soko la Tandale kuangalia bei za biadhaa mbali mbali katika, mfululizo wa ziara yake Wilaya ya Kinondoni , ambapo nazi hizo zimeapanda bei kutoka Shilingi 300 hadi 450 na 500.
 
Back
Top Bottom