Siri ya Serikali kushusha kodi kwenye Pombe, sasa ipo wazi

Biblia, kuhusiana na unywaji pombe inasema:

Mit 31: 6 - 7
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.

7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.

Serikali ilijua jinsi ilivyojiandaa kuwaletea watanzania kodi na tozo za mateso. Ilijua haiwezi ikafanye vile kwa watu wenye akili timamu, nao wakakubali, hivyo ikaamua kwanza kufanya jitihada za kuhakikisha Watanzania wengi wataweza kunywa pombe ili au wasifuatilie chochote au baada ya mateso waliyosababishiwa, wakinywa pombe hawatayakumbuka, watabakia wanaimba siasa za kusifia watawala, kusifia bunge najisi na chama dhulumati.

CCM imewalevya watanzania kwa pombe za kienyeji zisizo na kodi:

1) gongo
2) ulanzi
3) kimpumu
4) kamgara
5) sute
6) kidugugu
7) wanzuki
8) komoni
9) mbege
10) lubisi
11) dengerua
12) serena
13) mnazi
14) pingu

Pombe hizi zimewapumbaza sana wananchi wa vijiji. Na kila mwanakiji ana uwezo wa kuzipata. Ndiyo maana hata wafanyiwe ubaya gani, wanavijiji walio wengi hawaelewi, hawajitambui, wanaendelea kuwashangilia watesi wao. Mwigulu leo akienda kule Ulemo, Nakapanya, Mwandiga, Muze, lazima atashangiliwa.

Ambao wamebakia wanapiga piga kelele kidogo ni watu wa mijini. Hawa yawezekana wanashindwa kuvumilia mateso wanayopata kwa sababu hawapati pombe kiasi kinachowawezesha wazisahau taabu zao.

Pombe zimewapumbaza Watanzania. Ndiyo maana:

1) wabunge na viongozi wakuu hawalipi kodi ila wanalazimisha wananchi walipe kodi - Watanzania kimya!

2) marehemu anajichagulia watu anaotaka wawe wabunge - watanzania kimya!

3) marehemu anaamuru wagombea wa vyama vya upinzani, majina yao yakatwe ili wasigombee - watanzania kimya

4) marehemu anaamuru wagombea wachache wa upinzani waliachwa wagombee, hata wakishinda, wasitangazwe - watanzania kimya!

5) spika anaamua kuwapa ubunge Covid 19 - watanzania kimya!

6) wakulima wa mazao, mara wanazuiwa wasiuze nje ya nchi - watanzania kimya!

7) marehemu anajichukulia trilion 1.5 na kupeleka kusikojulikana - watanzania kimya!

8) marehemu anaweka ndugu zake kwenye maeneo nyeti ya Serikali - watanzania kimya!

9) ccm inatengeneza makundi ya watu wasiojulikana, na kazi yake ni kuteka, kuua na kupoteza watu - watanzania kimya!

10) marehemu anawapa ukurugenzi wa halmashauri makada wa CCM badala ya kuteua miongoni mwa watumishi wa umma - watanzania kimya

11) Samia anazuia mikutano ya vya vya siasa, kinyume na katiba aliyoapa kulinda - Watanzania kimya!

12) RPC Mwanza anazuia mikutano ya kongamano la katiba wakati hakuna sheria iliyokiukwa - watanzania kimya!

Hakika nimeamini, kuna wakati pombe inaweza kukufanya ukawa zaidi ya maiti.

Walijua pombe itawafanya watanzania washangilie hata baada ya kuweka tozo kwenye miamala la zaidi ya 100% ya kile anachopata mtoa huduma, lakini wananchi wamegoma, japo wamegomea kiulevi ulevi, ndiyo maana tozo litashushwa, na hawana uwezo wa kuwaondoa walioamua kuwachezea akili.

CCM isiishie tu kupunguza kodi kwenye pombe, igawe pombe bure, halafu kunywa iwe lazima. Kupunguza tu, unaona sasa, wale ambao hawakuweza kununua au wameamua kutokuwa walevi, wamesababisha ule mpango wenu wa kuwaibia wananchi kupitia tozo, umeshindikana.
Furahini tena nasema furahini upole wenu ujulikane na watu wote usijisumbue kwa neno lolote bali ktk kila neno kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru HAJA ZENU ZIJULIKANE NA MUNGU.Aliyesema hivyo siyo bwege hata kidogo.
 
Biblia, kuhusiana na unywaji pombe inasema:

Mit 31: 6 - 7
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.

7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.

Serikali ilijua jinsi ilivyojiandaa kuwaletea watanzania kodi na tozo za mateso. Ilijua haiwezi ikafanye vile kwa watu wenye akili timamu, nao wakakubali, hivyo ikaamua kwanza kufanya jitihada za kuhakikisha Watanzania wengi wataweza kunywa pombe ili au wasifuatilie chochote au baada ya mateso waliyosababishiwa, wakinywa pombe hawatayakumbuka, watabakia wanaimba siasa za kusifia watawala, kusifia bunge najisi na chama dhulumati.

CCM imewalevya watanzania kwa pombe za kienyeji zisizo na kodi:

1) gongo
2) ulanzi
3) kimpumu
4) kamgara
5) sute
6) kidugugu
7) wanzuki
8) komoni
9) mbege
10) lubisi
11) dengerua
12) serena
13) mnazi
14) pingu
15) msabe
16) ulaka

Pombe hizi zimewapumbaza sana wananchi wa vijiji. Na kila mwanakiji ana uwezo wa kuzipata. Ndiyo maana hata wafanyiwe ubaya gani, wanavijiji walio wengi hawaelewi, hawajitambui, wanaendelea kuwashangilia watesi wao. Mwigulu leo akienda kule Ulemo, Nakapanya, Mwandiga, Muze, lazima atashangiliwa.

Ambao wamebakia wanapiga piga kelele kidogo ni watu wa mijini. Hawa yawezekana wanashindwa kuvumilia mateso wanayopata kwa sababu hawapati pombe kiasi kinachowawezesha wazisahau taabu zao.

Pombe zimewapumbaza Watanzania. Ndiyo maana:

1) wabunge na viongozi wakuu hawalipi kodi ila wanalazimisha wananchi walipe kodi - Watanzania kimya!

2) marehemu anajichagulia watu anaotaka wawe wabunge - watanzania kimya!

3) marehemu anaamuru wagombea wa vyama vya upinzani, majina yao yakatwe ili wasigombee - watanzania kimya

4) marehemu anaamuru wagombea wachache wa upinzani waliachwa wagombee, hata wakishinda, wasitangazwe - watanzania kimya!

5) spika anaamua kuwapa ubunge Covid 19 - watanzania kimya!

6) wakulima wa mazao, mara wanazuiwa wasiuze nje ya nchi - watanzania kimya!

7) marehemu anajichukulia trilion 1.5 na kupeleka kusikojulikana - watanzania kimya!

8) marehemu anaweka ndugu zake kwenye maeneo nyeti ya Serikali - watanzania kimya!

9) ccm inatengeneza makundi ya watu wasiojulikana, na kazi yake ni kuteka, kuua na kupoteza watu - watanzania kimya!

10) marehemu anawapa ukurugenzi wa halmashauri makada wa CCM badala ya kuteua miongoni mwa watumishi wa umma - watanzania kimya

11) Samia anazuia mikutano ya vya vya siasa, kinyume na katiba aliyoapa kulinda - Watanzania kimya!

12) RPC Mwanza anazuia mikutano ya kongamano la katiba wakati hakuna sheria iliyokiukwa - watanzania kimya!

Hakika nimeamini, kuna wakati pombe inaweza kukufanya ukawa zaidi ya maiti.

Walijua pombe itawafanya watanzania washangilie hata baada ya kuweka tozo kwenye miamala la zaidi ya 100% ya kile anachopata mtoa huduma, lakini wananchi wamegoma, japo wamegomea kiulevi ulevi, ndiyo maana tozo litashushwa, na hawana uwezo wa kuwaondoa walioamua kuwachezea akili.

CCM isiishie tu kupunguza kodi kwenye pombe, igawe pombe bure, halafu kunywa iwe lazima. Kupunguza tu, unaona sasa, wale ambao hawakuweza kununua au wameamua kutokuwa walevi, wamesababisha ule mpango wenu wa kuwaibia wananchi kupitia tozo, umeshindikana.
Hivi huko kwenu zimepungua bei??
 
Biblia, kuhusiana na unywaji pombe inasema:

Mit 31: 6 - 7
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.

7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.

Serikali ilijua jinsi ilivyojiandaa kuwaletea watanzania kodi na tozo za mateso. Ilijua haiwezi ikafanye vile kwa watu wenye akili timamu, nao wakakubali, hivyo ikaamua kwanza kufanya jitihada za kuhakikisha Watanzania wengi wataweza kunywa pombe ili ama wasifuatilie chochote au baada ya mateso waliyosababishiwa, wakinywa pombe hawatayakumbuka, watabakia wanaimba siasa za kusifia watawala, kusifia bunge najisi na chama dhulumati.

CCM imewalevya watanzania kwa pombe za kienyeji zisizo na kodi:

1) gongo
2) ulanzi
3) kimpumu
4) kangara
5) sute
6) kidugugu
7) wanzuki
8) komoni
9) mbege
10) lubisi
11) dengerua
12) serena
13) mnazi
14) pingu
15) msabe
16) ulaka

Pombe hizi zimewapumbaza sana wananchi wa vijijini. Na kutokana na bei zake kuwa chini kwa sababu hazina tozo wala kodi, kila mwanakijiji ana uwezo wa kuzipata. Ndiyo maana hata wafanyiwe ubaya gani, wanavijiji walio wengi hawaelewi, hawajitambui, wanaendelea kuwashangilia watesi wao. Mwigulu leo akienda kule Ulemo, Nakapanya, Mwandiga, Muze, lazima atashangiliwa.

Ambao wamebakia wanapiga piga kelele kidogo ni watu wa mijini. Hawa yawezekana wanashindwa kuvumilia mateso wanayopata kwa sababu hawapati pombe kiasi kinachowawezesha wazisahau taabu zao.

Pombe zimewapumbaza Watanzania. Ndiyo maana:

1) wabunge na viongozi wakuu hawalipi kodi ila wanalazimisha wananchi walipe kodi - Watanzania kimya!

2) marehemu anajichagulia watu anaotaka wawe wabunge - watanzania kimya!

3) marehemu anaamuru wagombea wa vyama vya upinzani, majina yao yakatwe ili wasigombee - watanzania kimya!

4) marehemu anaamuru wagombea wachache wa upinzani waliaochwa wagombee, hata wakishinda, wasitangazwe - watanzania kimya!

5) spika anaamua kuwapa ubunge Covid 19 - watanzania kimya!

6) wakulima wa mazao, mara wanazuiwa wasiuze nje ya nchi - watanzania kimya!

7) marehemu anajichukulia trilion 1.5 na kupeleka kusikojulikana - watanzania kimya!

8) marehemu anaweka ndugu zake kwenye maeneo nyeti ya Serikali - watanzania kimya!

9) ccm inatengeneza makundi ya watu wasiojulikana, na kazi yake ni kuteka, kuua na kupoteza watu - watanzania kimya!

10) marehemu anawapa ukurugenzi wa halmashauri makada wa CCM badala ya kuteua miongoni mwa watumishi wa umma - watanzania kimya!

11) Samia anazuia mikutano ya vyama vya siasa, kinyume na katiba aliyoapa kuilinda - Watanzania kimya!

12) RPC Mwanza anazuia mikutano ya kongamano la katiba wakati hakuna sheria iliyokiukwa - watanzania kimya!

13) watanania wenzao wanashambuliwa kwa risasi, na wengine miili yao kutupwa kwenye viroba - watanzania kimya!

14) Sabaya anatesa watu, anawapora pesa - watanzania kimya

15) bunge la ibilisi linapitisha sheria ya spika kutoshtakiwa - watanzania kimya!

Hakika nimeamini, kuna wakati pombe inaweza kukufanya ukawa zaidi ya maiti.

Walijua pombe itawafanya watanzania washangilie hata baada ya kuweka tozo kwenye miamala la zaidi ya 100% ya kile anachopata mtoa huduma, lakini wananchi wamegoma, japo wamegomea kiulevi ulevi, ndiyo maana tozo litashushwa, lakini hawana uwezo wa kuwaondoa walioamua kuwachezea akili.

CCM isiishie tu kupunguza kodi kwenye pombe, igawe pombe bure, halafu itumie lile bunge haramu kupitisha sheria itakayotamka kuwa kunywa pombe ni uzalendo na ni lazima kwa kila mwananchi. Kupunguza tu, unaona sasa, wale ambao hawakuweza kununua au wameamua kutokuwa walevi, wamesababisha ule mpango wenu wa kuwaibia wananchi kupitia tozo, umeshindikana.
Acha wakuwasingizia wanywaji wa pombe, hii nchi tatizo letu hata wewe ni UPIMBI TU, hao maaskofu, mashehe, wasabato, walokole makanisani huko ni wanywaji?!!kujitambua ni zaidi ya ulevi wa pombe!!hadi leo ni pombe gani imeteremka bei?kwa sasa wanataka kila mtanzania alipe kodi ili makusanyo yawe makubwa, kwani kwenye pombe huko hakuna wengi
 
Back
Top Bottom