Siri ya Nape kutogombea yaanza kufichuka, angebwagwa...hatma yake katika hatihati!

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,037
22,728
Yawezekana Nape alisoma alama za nyakati, ushindi wa kishindo wa mahasimu wake kwenye uchaguzi ni fundisho na onyo tosha kwa huyu vuvuzela. Sasa inabidi aache kupayuka, awaangukie na kuwaomba msamaha wale wote aliowachafua kwa kudai ni magamba na kuahidi CCM ingewavua ndani ya siku 90 kuanzia mwaka jana.

Bila hivyo kuna wasi wasi kuwa hata huruma ya mkazi wa Ikulu haitaweza kumhakikishia usalama wake ndani ya CCM...tetesi ndizo hizo!
 
Kama assumption yako ni kweli then hio alifanya ni good move.. After all kuna quote moja inasema "He will win who knows when to fight and when not to fight" - Sun Wu.
 
Yawezekana Nape alisoma alama za nyakati, ushindi wa kishindo wa mahasimu wake kwenye uchaguzi ni fundisho na onyo tosha kwa huyu vuvuzela. Sasa inabidi aache kupayuka, awaangukie na kuwaomba msamaha wale wote aliowachafua kwa kudai ni magamba na kuahidi CCM ingewavua ndani ya siku 90 kuanzia mwaka jana.

Bila hivyo kuna wasi wasi kuwa hata huruma ya mkazi wa Ikulu haitaweza kumhakikishia usalama wake ndani ya CCM...tetesi ndizo hizo!

Sijaona JINA lake kwenye kuomba nafasi NEC
 
siasa ni mchezo mchafu sana leo maadui kesho marafiki.
hivi ile skendo ya jengo CCM fire kati ya lowassa na bwana mdogo imeishiaje?
 
Nampongezaz kwa kusoma alama za nyakati, siyo kama wengine wanaenda kichwa nyuma na kuanguka vibaya. Big up, Nape endelea na kazi kama kawaida.
 
Nilishawahi kusema kuna siku Nape atampigia debe Lowasa na sasa yanakaribia kutimia.
 
Yawezekana Nape alisoma alama za nyakati, ushindi wa kishindo wa mahasimu wake kwenye uchaguzi ni fundisho na onyo tosha kwa huyu vuvuzela. Sasa inabidi aache kupayuka, awaangukie na kuwaomba msamaha wale wote aliowachafua kwa kudai ni magamba na kuahidi CCM ingewavua ndani ya siku 90 kuanzia mwaka jana.

Bila hivyo kuna wasi wasi kuwa hata huruma ya mkazi wa Ikulu haitaweza kumhakikishia usalama wake ndani ya CCM...tetesi ndizo hizo!

Mkuu, mwenyekiti wa magamba ana nafasi ya kuteuwa wajumbe watano wa NEC kwa mujibu wa katiba yao so Nape atapata upendeleo maaluum kutoka kwa mwenyekiti wake, issue ipo hivyo kamanda.
 
Nape Ni active member humu hata kama ana ID nyingi anweza kudhibitisha hili!Plz Nape do the needful.:nerd:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom