Siri ya mvutano baina ya chadema na cuf

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Wana JF nimeamua nivunje ukimya wa kuzungumzia sakata la mvutano baina ya CUF na Chadema.
Katika kutafakari mambo ikiwa ni pamoja kuangalia ni wapi vyama hivi viwili vilikotika, vilipo sasa na wapi vinataka kuelekea nikagundua mambo yafuatayo.

Fukuto linaloendelea la kuunda kambi ya Upinzani yenye kushirikisha vyama vyote:

Ni sahihi kabisa kwa CUF kutokubaliana na CHADEMA kujiunga kwenye Kambi ambayo viongozi wake wa juu wote wanatoka chama kimoja; yaani Freeman Mbowe, Zitto Kabwe na Tundu Lisu Wote Chadema. Kama kafu wangefanya makosa hayo kwa kujiunga na kambi hiyo na kukubaliana na structure ya uongozi wa juu wangekuwa wamesaidia kuipa CHADEMA points zingine za kuwa ni chama pekee ndani ya bunge chenye upinzania mkali dhidi ya CCM.
CUF pamoja na vyama vingine wangekuwa wamejimaliza wao wenyewe kwa upande wa Tanzania Bara, kitu ambacho viongozi wa CUF wameshakiona.

Kwa upande mwingine uamuzi wa CHADEMA wa kuchukua nafasi zote tatu za juu katika kambi ya upinzani uliona mbali. Nasema uliona mbali kwa sababu kama ni makosa yasio sahaulika ambayo CHADEMA ingeyafanya mwaka huu ni kuruhusu ushirikiano kwenye nafasi hizo tatu, na kosa lingekuwa tete zaidi endapo CUF ingepewa nafasi ya kuweka mtu wao na hasa kwenye nafasi ya uenyekiti. Nasema hivi kutokana na kilichotokea Zanzibar ambako CUF ina nguvu na UHAI zaidi, kwa kitendo cha CUF kuunda serikali ya shirikisho ni dhahiri watendaji wake watasaidia kwa asilimia kubwa kutekeleza ilani pamoja na matakwa ya CCM. Kitu ambacho ni kinyume na itikadi za CHADEMA ambayo inataka mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji na uwajibikaji wa serikali.

Hiyo ndo siri wana JF, kama inaingia akilini mwako asante nashukuru. Na labda nimalizie kwa kusema CHADEMA inaendelea kuongeza idadi ya wapinzani ndani na nje ya Bunge.
 
CUF aka CCM B sioni haja ya kuungana nao bse wameyakubali matokeo yaliyochakachuliwa kule zenji ili waambulie umakamu raisi na mawazili
 
Labda niwaulize? kwenye bunge lilopita katika hao viongozi watatu kulikuwa na mtu toka nje ya CUF?
 
Tofautisha BUNGE la wakati huu na lililopita, wakati ule CUF hawakuwa taasisi iliyoko ndani ya CCM
 
Wana JF nimeamua nivunje ukimya wa kuzungumzia sakata la mvutano baina ya CUF na Chadema.
Katika kutafakari mambo ikiwa ni pamoja kuangalia ni wapi vyama hivi viwili vilikotika, vilipo sasa na wapi vinataka kuelekea nikagundua mambo yafuatayo.

Fukuto linaloendelea la kuunda kambi ya Upinzani yenye kushirikisha vyama vyote:

Ni sahihi kabisa kwa CUF kutokubaliana na CHADEMA kujiunga kwenye Kambi ambayo viongozi wake wa juu wote wanatoka chama kimoja; yaani Freeman Mbowe, Zitto Kabwe na Tundu Lisu Wote Chadema. Kama kafu wangefanya makosa hayo kwa kujiunga na kambi hiyo na kukubaliana na structure ya uongozi wa juu wangekuwa wamesaidia kuipa CHADEMA points zingine za kuwa ni chama pekee ndani ya bunge chenye upinzania mkali dhidi ya CCM.
CUF pamoja na vyama vingine wangekuwa wamejimaliza wao wenyewe kwa upande wa Tanzania Bara, kitu ambacho viongozi wa CUF wameshakiona.

Kwa upande mwingine uamuzi wa CHADEMA wa kuchukua nafasi zote tatu za juu katika kambi ya upinzani uliona mbali. Nasema uliona mbali kwa sababu kama ni makosa yasio sahaulika ambayo CHADEMA ingeyafanya mwaka huu ni kuruhusu ushirikiano kwenye nafasi hizo tatu, na kosa lingekuwa tete zaidi endapo CUF ingepewa nafasi ya kuweka mtu wao na hasa kwenye nafasi ya uenyekiti. Nasema hivi kutokana na kilichotokea Zanzibar ambako CUF ina nguvu na UHAI zaidi, kwa kitendo cha CUF kuunda serikali ya shirikisho ni dhahiri watendaji wake watasaidia kwa asilimia kubwa kutekeleza ilani pamoja na matakwa ya CCM. Kitu ambacho ni kinyume na itikadi za CHADEMA ambayo inataka mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji na uwajibikaji wa serikali.

Hiyo ndo siri wana JF, kama inaingia akilini mwako asante nashukuru. Na labda nimalizie kwa kusema CHADEMA inaendelea kuongeza idadi ya wapinzani ndani na nje ya Bunge.

Shallow analysis

CUF imeunda serikali ya Zanzibar pamoja na CCM ni vipi wabunge hao hao wenye muungano wa kiserikali na CCM waungane na CHADEMA??

Hii ni sawa na Mwanamke mmoja kutaka kufunga ndoa na wanaume wawili na kuwaweka nyumba moja.

CUF wana ndoa yao na CCM wabaki huko huko mpaka talaka itoke.
 
Naruhusu critics, asante kwa mchango wako!
 
Sioni CUF ingeongeza nguvu gani. Hakuna wakati wapinzani hata wakiungana wanaweza kuizidi CCM kura. Pili, CUF = CCM! So muungano wa nini?
 
Hivi aliyekuambia CUF ni chama cha upinzani ni nani? Na ingekuwa kosa la jinai kama Chadema wangekubali kuungana na CUF kwani tayari CUF imeshaungana CCM.
 
mh,naunga mkono hoja,lakini kwa vyovyote vile sitaki cuf,tlp washilikishwa kambi ya upinzani bora nccr na udp
 
Sioni CUF ingeongeza nguvu gani. Hakuna wakati wapinzani hata wakiungana wanaweza kuizidi CCM kura. Pili, CUF = CCM! So muungano wa nini?

Nazungumzia kuunda kambi ya upinzani ndani ya Bunge La JMT.
 
Lakini CHADEMA nao wanatakiwa kulipa fadhila kwani kama siyo CUF kuwajumuisha kwenye serikali yake kivuli kina Zitto, Dr Slaa wasingesikika na kukuza chama kama matokeo ya uchaguzi yalivyo
 
Literally speaking uko right, lakini sio kipindi muafaka kufanya hivyo!
 
Wana JF nimeamua nivunje ukimya wa kuzungumzia sakata la mvutano baina ya CUF na Chadema.
Katika kutafakari mambo ikiwa ni pamoja kuangalia ni wapi vyama hivi viwili vilikotika, vilipo sasa na wapi vinataka kuelekea nikagundua mambo yafuatayo.

Fukuto linaloendelea la kuunda kambi ya Upinzani yenye kushirikisha vyama vyote:

Ni sahihi kabisa kwa CUF kutokubaliana na CHADEMA kujiunga kwenye Kambi ambayo viongozi wake wa juu wote wanatoka chama kimoja; yaani Freeman Mbowe, Zitto Kabwe na Tundu Lisu Wote Chadema. Kama kafu wangefanya makosa hayo kwa kujiunga na kambi hiyo na kukubaliana na structure ya uongozi wa juu wangekuwa wamesaidia kuipa CHADEMA points zingine za kuwa ni chama pekee ndani ya bunge chenye upinzania mkali dhidi ya CCM.
CUF pamoja na vyama vingine wangekuwa wamejimaliza wao wenyewe kwa upande wa Tanzania Bara, kitu ambacho viongozi wa CUF wameshakiona.

Kwa upande mwingine uamuzi wa CHADEMA wa kuchukua nafasi zote tatu za juu katika kambi ya upinzani uliona mbali. Nasema uliona mbali kwa sababu kama ni makosa yasio sahaulika ambayo CHADEMA ingeyafanya mwaka huu ni kuruhusu ushirikiano kwenye nafasi hizo tatu, na kosa lingekuwa tete zaidi endapo CUF ingepewa nafasi ya kuweka mtu wao na hasa kwenye nafasi ya uenyekiti. Nasema hivi kutokana na kilichotokea Zanzibar ambako CUF ina nguvu na UHAI zaidi, kwa kitendo cha CUF kuunda serikali ya shirikisho ni dhahiri watendaji wake watasaidia kwa asilimia kubwa kutekeleza ilani pamoja na matakwa ya CCM. Kitu ambacho ni kinyume na itikadi za CHADEMA ambayo inataka mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji na uwajibikaji wa serikali.

Hiyo ndo siri wana JF, kama inaingia akilini mwako asante nashukuru. Na labda nimalizie kwa kusema CHADEMA inaendelea kuongeza idadi ya wapinzani ndani na nje ya Bunge.

Swali langu hapo kwenye red ni kwamba, Je wakati Kiongozi wa Upinzani bunge la 9 alipopkuwa wa CUF, je ni chama kipi ambacho kilipata point nyingi kwa kukipeleka puti CCM kati ya CUF kilichokuwa na Mkuu wa Kambi ya Upinzani na CHDEMA kilichokuwa na Makamu wa Kambi?

Kama ni CUF basi sina hoja, ila kama ni CHADEMA basi naweza kusema uwezo wa CUF uliprove kuwa chini zaidi ya CHADEMA na hivyo kuwapa wananchi fursa ya kukipa CHADEMA ridhaa hiyo juu ya CUF

Jamani narudia tena, CCM na CUF ni kama jogoo na mtetea, haya ni majina tu lakini wote kuku........
 
Wana JF nimeamua nivunje ukimya wa kuzungumzia sakata la mvutano baina ya CUF na Chadema.
Katika kutafakari mambo ikiwa ni pamoja kuangalia ni wapi vyama hivi viwili vilikotika, vilipo sasa na wapi vinataka kuelekea nikagundua mambo yafuatayo.

Fukuto linaloendelea la kuunda kambi ya Upinzani yenye kushirikisha vyama vyote:

Ni sahihi kabisa kwa CUF kutokubaliana na CHADEMA kujiunga kwenye Kambi ambayo viongozi wake wa juu wote wanatoka chama kimoja; yaani Freeman Mbowe, Zitto Kabwe na Tundu Lisu Wote Chadema. Kama kafu wangefanya makosa hayo kwa kujiunga na kambi hiyo na kukubaliana na structure ya uongozi wa juu wangekuwa wamesaidia kuipa CHADEMA points zingine za kuwa ni chama pekee ndani ya bunge chenye upinzania mkali dhidi ya CCM.
CUF pamoja na vyama vingine wangekuwa wamejimaliza wao wenyewe kwa upande wa Tanzania Bara, kitu ambacho viongozi wa CUF wameshakiona.

Kwa upande mwingine uamuzi wa CHADEMA wa kuchukua nafasi zote tatu za juu katika kambi ya upinzani uliona mbali. Nasema uliona mbali kwa sababu kama ni makosa yasio sahaulika ambayo CHADEMA ingeyafanya mwaka huu ni kuruhusu ushirikiano kwenye nafasi hizo tatu, na kosa lingekuwa tete zaidi endapo CUF ingepewa nafasi ya kuweka mtu wao na hasa kwenye nafasi ya uenyekiti. Nasema hivi kutokana na kilichotokea Zanzibar ambako CUF ina nguvu na UHAI zaidi, kwa kitendo cha CUF kuunda serikali ya shirikisho ni dhahiri watendaji wake watasaidia kwa asilimia kubwa kutekeleza ilani pamoja na matakwa ya CCM. Kitu ambacho ni kinyume na itikadi za CHADEMA ambayo inataka mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji na uwajibikaji wa serikali.

Hiyo ndo siri wana JF, kama inaingia akilini mwako asante nashukuru. Na labda nimalizie kwa kusema CHADEMA inaendelea kuongeza idadi ya wapinzani ndani na nje ya Bunge.

Aya ya Kwanza
Chadema hakihitaji kuungana na CUF kwa sababu CUF kimejaa viongozi walafi na wanafiki. Mfano wao ni Prof. Lipumba na Maalim Seif.

Aya ya Pili:
Ni kweli CUF wangepewa nafasi yoyote ya juu wangegeuka kuwa 'ewe njiwa peleka salamu kwa yule wangu muhimu'. CUF wangegeuka kuwa mashushushu wa CCM. Kungekuwa na 'wikileaks' kibao kuhusu Chadema na hiyo ni hatari kwa chama chetu.

Aya ya mwisho
Kama wapinzani wenyewe ni mafisadi, hakuna cha kuhofia maana ni rahisi sana ku-deal nao maana wanajulikana hata na watoto wadogo kwa uchafu wao.
 
CUF wameridhika na ukatibu muhtasi aliopewa Bi. Sharifa Hamadi kule kwa Meneja wa Shamba la Karafuu( Dk Shein), shamba mnaloliita nyinyi Zanzibar.

CUF ni vimada wa CCM, sasa kwa nini chama makini cha siasa duniani CHADEMA kiungane na kikundi cha vimada wa CCM???????

Vimada kazi yao sio siasa, kazi yao mnaijua wenyewe.
 
Wana JF nimeamua nivunje ukimya wa kuzungumzia sakata la mvutano baina ya CUF na Chadema.
Katika kutafakari mambo ikiwa ni pamoja kuangalia ni wapi vyama hivi viwili vilikotika, vilipo sasa na wapi vinataka kuelekea nikagundua mambo yafuatayo.

Fukuto linaloendelea la kuunda kambi ya Upinzani yenye kushirikisha vyama vyote:

Ni sahihi kabisa kwa CUF kutokubaliana na CHADEMA kujiunga kwenye Kambi ambayo viongozi wake wa juu wote wanatoka chama kimoja; yaani Freeman Mbowe, Zitto Kabwe na Tundu Lisu Wote Chadema. Kama kafu wangefanya makosa hayo kwa kujiunga na kambi hiyo na kukubaliana na structure ya uongozi wa juu wangekuwa wamesaidia kuipa CHADEMA points zingine za kuwa ni chama pekee ndani ya bunge chenye upinzania mkali dhidi ya CCM.
CUF pamoja na vyama vingine wangekuwa wamejimaliza wao wenyewe kwa upande wa Tanzania Bara, kitu ambacho viongozi wa CUF wameshakiona.

Kwa upande mwingine uamuzi wa CHADEMA wa kuchukua nafasi zote tatu za juu katika kambi ya upinzani uliona mbali. Nasema uliona mbali kwa sababu kama ni makosa yasio sahaulika ambayo CHADEMA ingeyafanya mwaka huu ni kuruhusu ushirikiano kwenye nafasi hizo tatu, na kosa lingekuwa tete zaidi endapo CUF ingepewa nafasi ya kuweka mtu wao na hasa kwenye nafasi ya uenyekiti. Nasema hivi kutokana na kilichotokea Zanzibar ambako CUF ina nguvu na UHAI zaidi, kwa kitendo cha CUF kuunda serikali ya shirikisho ni dhahiri watendaji wake watasaidia kwa asilimia kubwa kutekeleza ilani pamoja na matakwa ya CCM. Kitu ambacho ni kinyume na itikadi za CHADEMA ambayo inataka mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji na uwajibikaji wa serikali.

Hiyo ndo siri wana JF, kama inaingia akilini mwako asante nashukuru. Na labda nimalizie kwa kusema CHADEMA inaendelea kuongeza idadi ya wapinzani ndani na nje ya Bunge.

Tathimnin yako ni nzuri lakini ningependa kusahihisha kidogo. Kama sijakosea sana kutokana na kauli ya Mbowe, waliwaendea CUF kabla ya kuchagua hao viongozi wakawaomba kuunda upinzani pamoja, CUF wakakataa wakitoa sharti kuwa lazima vyama vya TLP, UDP na NCCR navyo vihusishwe. Chadema wakaona kuwa hawawezi kuwekewa masharti, wakajichagua wenyewe.

Mara baada ya muafaka wa Zanzibar CUF ilikoma kuwa chama cha upinzani tena dhidi ya CCM, na mimi nawashauri Chadema wasimame wenyewe tu, wananchi wameshawakubali na CUF imeshajichimbia kaburi, 2015 wataendelea kufaidi wabunge kutoka Pemba kwani hata hicho kimoja walichokipata huku bara 2015 hawatakipata tena. Chadema mkakati wa sasa ni kuchukua 70% ya majimbo yote.

Mapambano bado yanaendelea
 
Aya ya Kwanza
Chadema hakihitaji kuungana na CUF kwa sababu CUF kimejaa viongozi walafi na wanafiki. Mfano wao ni Prof. Lipumba na Maalim Seif.

Aya ya Pili:
Ni kweli CUF wangepewa nafasi yoyote ya juu wangegeuka kuwa 'ewe njiwa peleka salamu kwa yule wangu muhimu'. CUF wangegeuka kuwa mashushushu wa CCM. Kungekuwa na 'wikileaks' kibao kuhusu Chadema na hiyo ni hatari kwa chama chetu.

Aya ya mwisho
Kama wapinzani wenyewe ni mafisadi, hakuna cha kuhofia maana ni rahisi sana ku-deal nao maana wanajulikana hata na watoto wadogo kwa uchafu wao.

Asante Mkuu....nimefurahi umeuelewa mchezo mzima!
 
Back
Top Bottom