Utashangaa kesho watu wataandamana sehemu mbalimbali kuunga mkono "hotuba ya kihistoria ya rais aliyoitoa kwenye kumbi wa Diamond Jubilee Mei 04, 2010"
Tabora tayari wametangaza kuandamana kumuunga mkono JK kwa hotuba yake "nzuri" kwa wazee wa Dar! Hii Tanzania bwana. Zaidi ya tunavyoifahamu.