Siri ya Misukule ya bishop Gwajima

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Naombeni munipe siri za misukule inayotolewa na bishop Gwajina je Misukule inakuwa na tabia gani na Muonekano gani pia je kuna Mtu humu amewai kushuhudi au kuuona Msukule
 
Naombeni munipe siri za misukule inayotolewa na bishop Gwajina je Misukule inakuwa na tabia gani na Muonekano gani pia je kuna Mtu humu amewai kushuhudi au kuuona Msukule
Ukijibu swali hili nitakuonyesha msukule ulivyo, unajua roho ya mtu na mwili wa mtu nibidhaa kabisaa kama sabauni ilivyo dukani na unaweza kuuzwa sokoni na watu wananunua na kutumia kama unavyotumia sabuni baada ya kununua?
 
hapana wewe umenunua wapi roho yako
 
hapana wewe umenunua wapi roho yako
Kama unania ya kujifunza na huna nia mbaya kwanini unaniuliza nilinunua wapi roho yangu?, hapana ilitosha tu ilinikufundishe na kama unania ya kujifunza upate kitu cha kukusaidia.

Mimi sikununua popote roho yangu ila ni MUNGU kwa rehema na upendowake alinikilimia, sawasawa na wewe pia, ila sasa roho hizo ambazo watu walipewa na MUNGU ni biashara kuna watu wanaweza kununua na kuziuza kwa watu wengine na wakizitumia wependavyo, ndiyo maana nikakuuliza unalifahamu jambo hilo?

Nyongeza kidogo, je unaamini katika MUNGU aliyeziumba mbingu na nchi?
 
Nilivyoona heading nikajua ndo unatuletea hiyo siri, sasa kumbe umekuja kuuliza!
 
Gwajima hatofautiani na uongozi wa pumba maharagwe
Huyu jamaa ni msanii
 
Mkuu, ngoja nikugeuze msukule kwa mda wa wiki moja urudi na majibu ya kuwahadithia wenzako...
Hahahahahahahahahahanahahaja
Hahahahahahahahahahahanaja
Hahahahahanahahahahahh

Mtafuteni MSHANA JR atawasaidia.
 
Back
Top Bottom