Siri ya Matajiri Wengi Kupenda Kusoma Vitabu.

Kitabuflix

Member
Sep 26, 2020
11
5
Salute Bosses!!!

Habari mkuu , Leo nipo kwenye moody kabisa wa kukuletea uzi ambao hujawahi kufundishwa shule, chuo ama nyumbani!!!

Yaani nataka TUJIFUNZE madini muhimu sana ambayo ni kama hazina itayokufaa kwenye maisha mwako.

Hivi ushawahi kujiuliza kwanini maCeo ama Matajiri ama watu waliofanikiwa hupenda sana husoma vitabu?? 🤔

Ushawahi kumsikia mtu anasema watanzania wengi hawapendi kujifunza..
..
ujuwe kamanisha nini?
..

Kamaanisha VITABU!! Mmmh

Vitabu tena...

Yess Vitabu

Twende taratibu...

Wengi mabillionaire kama vile Bill Gates, Mark Zuckerberg, Elon Musk, Mo Dewji, Warren Buffet na wengine wengi wanatabia ya kusoma vitabu.

Je vitabu hufanya wafanikiwe??

= Bill Gates amesema "Kila kitabu kinanifundisha jambo jipya na kunisaidia kuona vitu kwa utofauti".
= Elon Musk amejifunza mwenyewe kutengeneza rocket kwa kusoma vitabu. Heh bac wabongo watanibishia.. 😄
= Warren Buffet husoma pages zaidi ya 500 kwa siku.
= Mark Cuban Husoma maasa 3 kwa siku na vitabu 50 kwa mwaka.

Vitabu vina faida nyingi lukuki.. Kama vile

- Kuongeza uwezo wa ubongo : Kwamba kama kazi ama mazoezi huongeza uwezo wa misuli, basi ndivyo hivyo kitabu huongeza uwezo wa ubongo katika kufanya kazi.

- Kuongeza Maarifa : Kila jambo unalolisoma hukupa taarifa mpya. Huwezi fahamu ni wakati gani maarifa yatakusaidia katika kutatua changamoto katika maisha yako. Kua na utajiri wa maarifa ni nyenzo muhimu sana katika kakabiliana na changamoto pindi zinapojitokeza maishani mwako, kumbuka kwamba katika maisha, unaweza kupoteza vitu vingi, kazi, cheo, pesa, marafiki hata afya lakini huwezi kupoteza Maarifa.

- Kupunguza msongo wa mawazo: Haijalishi unapitia magumu kiasi gani katika maisha yako, hayo yote hupungua kadri unavyozama katika kusoma simulizi kandanda zinazosisimua hasa riwaya iliyoandikwa kiustadi, huweza kukusafirisha Katika ulimwengu mwengine na kukuondoa katika hali ya sasa uliyonayo hivyo hukupa nafasi ya kuburudika kiakili.

- Huleta Burudani: pia vitabu ni burudani bwana, kusoma kitabu huleta raha, unaposoma kitabu kizuri huleta hisia za amani na utulivu moyoni mwako.

Watu wengi wanatamani sana kupata muda wa kusoma kitabu walau kimoja kwa siku ila tatizo muda, mudaa bosi mudaaaa watu hukosa, hivyo wazungu wakaja na solutions ya ebook au (Electronic book).,
Ebook ni mfumo wa kitabu ambao unaweza kusoma kwa kutumia kifaa cha kielektroniki, kama vile Simu, Tablet ama compyuta.

Mpaka apo Tumeelewana!!!

but ebook ni gharama sana ukinunua kwenye Amazon Kindle ni ghali sana ( kitabu kimoja (ebook) kwenye Amazon.com start at
$8 na kuendelea) duh!! hivyo kwa gharama ni ghali sana hasa kwa sisi wenye kipato kidogo! Changamoto hii nikaja na wazo la

Kitabuflix 🎉

Kitabuflix ni huduma ambayo mimi kama mtanzania mzalendo nakuletea vitabu (ebook) vitabu 5 unavyopenda kuvisoma for just Tsh 10,000 yaani Kitabuflix inakupa wewe rafiki yangu vitabu(Ebook) vi 5 vyoyote vile uvitakavyo KUJIFUNZA kwa elfu 10 tu . I do this 4 just watanzania TUJIFUNZE.

Amazon Kindle min price ya kitabu kimoja ni Tsh 21,000 × 5 = Tsh 105,000

Kitabuflix; ebook 5 JUST kwa elfu 10 tu!!
What's an Offer!.
I AM BLESSED to BLESSED YOU.

Jinsi ya Kupata ebook yako kupitia WhatsApp.

- Ingia kwenye WhatsApp

- Nitumie title ya kitabu unachotaka kukisoma KWENDA
Namba +255678200315
"mfano. Nitumie kitabu cha I CAN, I MUST, I WILL."

Lipia kupitia Tigo Pesa KWENDA namba 0678200315
(Kiasi efu 10 tu)
JINA: SALUM SALUM

- Then rudi kwenye WhatsApp nitumie screenshot au ujumbe ili kuhakikisha kama wewe umelipia.

Baada ya hapo,,,

Mimi Nitakutumia Vitabu unavyopenda kwa mfumo wa pdf within 5 minutes baada ya kuiyona msg yako.

Link ya WhatsApp yangu moja kwa moja

Bonyeza 👇👇

WhatsApp Me

KARIBU SANA

Tunavitabu vingi mnooooo baadhi ya samples nitazipost kupitia uzi huu.

Asante.
 
Attachments

  • 20200927_154324.jpg
    20200927_154324.jpg
    58.4 KB · Views: 14
  • 20200927_154312.jpg
    20200927_154312.jpg
    47.4 KB · Views: 11
  • 20200927_154218.jpg
    20200927_154218.jpg
    56.2 KB · Views: 13
  • 20200927_154237.jpg
    20200927_154237.jpg
    67.8 KB · Views: 10
  • Screenshot_20200927-153141_Adobe%20Acrobat.jpg
    Screenshot_20200927-153141_Adobe%20Acrobat.jpg
    32.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_20200927-153141_Adobe%20Acrobat.jpg
    Screenshot_20200927-153141_Adobe%20Acrobat.jpg
    32.9 KB · Views: 9
  • Screenshot_20200927-153127_Adobe%20Acrobat.jpg
    Screenshot_20200927-153127_Adobe%20Acrobat.jpg
    16.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_20200927-153101_Adobe%20Acrobat.jpg
    Screenshot_20200927-153101_Adobe%20Acrobat.jpg
    16.1 KB · Views: 7
  • Screenshot_20200926-184808_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184808_Instagram.jpg
    24.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20200926-184801_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184801_Instagram.jpg
    24.2 KB · Views: 9
  • Screenshot_20200926-184751_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184751_Instagram.jpg
    32.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20200926-184745_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184745_Instagram.jpg
    24.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_20200926-184723_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184723_Instagram.jpg
    25 KB · Views: 7
  • Screenshot_20200926-184740_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184740_Instagram.jpg
    18.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20200926-184714_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184714_Instagram.jpg
    24.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20200926-184659_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184659_Instagram.jpg
    20.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20200926-184702_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184702_Instagram.jpg
    36.2 KB · Views: 7
  • Screenshot_20200926-184646_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184646_Instagram.jpg
    19.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20200926-184642_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184642_Instagram.jpg
    22.3 KB · Views: 7
  • Screenshot_20200926-184639_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184639_Instagram.jpg
    21.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20200926-184551_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184551_Instagram.jpg
    22.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20200926-184613_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184613_Instagram.jpg
    20.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_20200926-184609_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184609_Instagram.jpg
    17.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20200926-184623_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184623_Instagram.jpg
    28 KB · Views: 5
  • Screenshot_20200926-184628_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184628_Instagram.jpg
    25.3 KB · Views: 5
  • Screenshot_20200926-184541_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184541_Instagram.jpg
    14.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20200926-184534_Instagram.jpg
    Screenshot_20200926-184534_Instagram.jpg
    22 KB · Views: 5
  • penguinukbooks-___CFPj4Wdnyqu___-.jpg
    penguinukbooks-___CFPj4Wdnyqu___-.jpg
    60.9 KB · Views: 6
  • applebooks_5-___CFiKscxpgpN___-.jpg
    applebooks_5-___CFiKscxpgpN___-.jpg
    45.1 KB · Views: 7
  • applebooks_2-___CFiKscxpgpN___-.jpg
    applebooks_2-___CFiKscxpgpN___-.jpg
    52.3 KB · Views: 8
Binafsi najenga mazoea ya kusoma vitabu.

Changamoto nazokutana nazo.

1.Gharama ya vitabu. Kuna wauzaji wa vitabu hivi huviuza kwa bei ghali kuliko kawaida/uhalisia.

2. Lugha. Vitabu vingi ni vya kimombo, japo kimombo hakinipi tabu sana, Lkn ninapendelea vitabu vya kiswahili, au vilivyotafsiliwa kwa kiswahili. Binafsi nikisoma vitabu vya kiswahili huwa naelewa na kutunza maarifa yake kwa ubora. KWA HIYO, KAMA UNAJUA VITABU VILIVYOTAFSILIWA KWA KISWAHILI MIONGONI MWA ULIVYOPOST NAOMBA MSAADA WAKO.

3. Kuna jambo linanishangaza, kuna vitabu vingi vimeandikwa na Watanzania wenzetu hapa hapa Bongo Lkn upatikanaji wake ni wa shida sana.

4. Nina ndoto ya kuanzisha library ya watoto tu, na vitabu vya watoto.
 
Hongera kwa kujenga tabia ya kusoma vitabu na pole kwa changamoto unazakabiliana nazo
 
Monk who sold his Ferrari.
Richest man in Babylon
Hard copies bei gani mkuu?

Nimeshasoma soft copies Nataka nitengeneze kalibrary uchwara chumbani kwangu mkuu
 
Salute bosses!!!

Habari mkuu , Leo nipo kwenye moody kabisa wa kukuletea uzi ambao hujawahi kufundishwa shule, chuo ama nyumbani!!!

Haya tuanze chacha ety..... Hahah

Hivi kwenye maisha yako ushawahi kujiuliza kwanini maCeo ama Matajiri ama watu waliofanikiwa hupenda sana husoma vitabu??

Ushawahi kumsikia mtu anasema watanzania wengi hawapendi kujifunza..
..
ujuwe kamanisha nini?
..

Kamaanisha vitabu!! Mmmh

Vitabu tena...

Yess Vitabu

Twende taratibu...

Wengi mabillionaire kama vile Bill Gates, Mark Zuckerberg, Elon Musk, Mo Dewji, Warren Buffet na wengine wengi wanatabia ya kusoma vitabu.

Je vitabu hufanya wafanikiwe??

= Bill Gates amesema "Kila kitabu kinanifundisha jambo jipya na kunisaidia kuona vitu kwa utofauti".
= Elon Musk amejifunza mwenyewe kutengeneza rocket kwa kusoma vitabu. Heh bac wabongo watanibishia..
= Warren Buffet husoma pages zaidi ya 500 kwa siku.
= Mark Cuban Husoma maasa 3 kwa siku na vitabu 50 kwa mwaka.

Vitabu vina faida nyingi lukuki.. Kama vile

- Kuongeza uwezo wa ubongo : Kwamba kama kazi ama mazoezi huongeza uwezo wa misuli, basi ndivyo hivyo kitabu huongeza uwezo wa ubongo katika kufanya kazi.

- Kuongeza Maarifa : Kila jambo unalolisoma hukupa taarifa mpya. Huwezi fahamu ni wakati gani maarifa yatakusaidia katika kutatua changamoto katika maisha yako. Kua na utajiri wa maarifa ni nyenzo muhimu sana katika kakabiliana na changamoto pindi zinapojitokeza maishani mwako, kumbuka kwamba katika maisha, unaweza kupoteza vitu vingi, kazi, cheo, pesa, marafiki hata afya lakini huwezi kupoteza Maarifa.

- Kupunguza msongo wa mawazo: Haijalishi unapitia magumu kiasi gani katika maisha yako, hayo yote hupungua kadri unavyozama katika kusoma simulizi kandanda zinazosisimua hasa riwaya iliyoandikwa kiustadi, huweza kukusafirisha Katika ulimwengu mwengine na kukuondoa katika hali ya sasa uliyonayo hivyo hukupa nafasi ya kuburudika kiakili.

- Huleta Burudani: pia vitabu ni burudani bwana, kusoma kitabu huleta raha, unaposoma kitabu kizuri huleta hisia za amani na utulivu moyoni mwako.

Watu wengi wanatamani sana kupata muda wa kusoma kitabu walau kimoja kwa siku ila tatizo muda, mudaa bosi mudaaaa watu hukosa, hivyo wazungu wakaja na solutions ya ebook au (Electronic book).,
Ebook ni mfumo wa kitabu ambao unaweza kusoma kwa kutumia kifaa cha kielektroniki, kama vile Simu, Tablet ama compyuta.

Mpaka apo Tumeelewana!!!

but ebook ni gharama sana ukinunua kwenye Amazon Kindle ni ghali sana ( kitabu kimoja (ebook) kwenye Amazon.com start at
$8 na kuendelea) duh!! hivyo kwa gharama iyo sisi watanzania wengi hatuwezi kuilipia kwa kitabu ki moko tu eboo.!!

Changamoto hii nikaja na wazo la

Kitabuflix

Kitabuflix ni huduma ambayo mimi kama mtanzania mzalendo nakuletea vitabu (ebook) vi3 unavyo vipenda kuvisoma for FREE yaani Kitabuflix inakupa wewe rafiki yangu vitabu(Ebook) 3 yoyote ile uitakayo KUJIFUNZA BUREE . I just like watanzania TUJIFUNZE.

Amazon Kindle min price ya ebook kimoja ni Tsh 21,000 × 3 = Tsh 64,800

Kitabuflix; ebook 3 JUST 4 FREE
What's an Offer.
I AM BLESSED to BLESSED YOU.

Jinsi ya Kupata ebook Kitabuflix.

- Ingia Gmail au Yahoo mail.

- Nitumie title ya Ebook unayotaka KWENDA
Kitabuflix@yahoo.com
"mfano. Nitumie kitabu cha I CAN, I MUST, I WILL." then Tuma kwenye email ya Kitabuflix@yahoo.com

- Then nitakutumia Vitabu (ebook) kwa mfumo wa pdf within 30 minutes for FREE. FREE. FREEEEEEEEEEE.

FOR More
Wasiliana nami
Kitabuflix@yahoo.com

We have so many ebooks.

Sample za vitabu tulivyonavyo.
View attachment 1582726View attachment 1582727View attachment 1582728View attachment 1582724View attachment 1582725View attachment 1582729View attachment 1582731View attachment 1582730View attachment 1582732View attachment 1582734View attachment 1582735View attachment 1582736View attachment 1582737View attachment 1582741View attachment 1582743View attachment 1582745View attachment 1582746View attachment 1582747View attachment 1582748View attachment 1582750View attachment 1582749View attachment 1582751View attachment 1582752View attachment 1582753View attachment 1582754View attachment 1582755View attachment 1582756View attachment 1582757View attachment 1582758View attachment 1582760View attachment 1582759View attachment 1582761View attachment 1582762View attachment 1582763View attachment 1582764
Naomba unitumie kitabu cha oxford english dictonary advanced learners
 
Vitabu vya mambo ya afya,diet ,home remedies example encyclopedia of herbs or natural remedies unavyo? Au ni hivi vya ujasiriamali tu?
 
NEW ARRIVAL: sasa unaweza kukipata kitabu pendwa cha Benjamin William Mkapa (My life, My Purpose).
Nitakutumia kitabu hili na vyengine 3 kwa Softcopy mfumo wa pdf kupitia WhatsApp yangu kwa Tsh 10,000
KARIBU SANA
My_Life_My_Purpose_FrontCover_eFile.jpg
 
Back
Top Bottom