siri ya mafanikio ya CHADEMA uchaguzi uliopita!

mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
19,784
2,000
uongozi wa chadema ulipata maono kwamba nchi yetu inahitaji mabadiliko makubwa kimfumo kwa kufumua bila huruma (kumkoma nyani gilad) mfumo uliopo sasa Licha ya kuwa Mfumo uliopo una malengo mazuri ya kutupeleka nchi ya ahadi kwa kuondoa ujinga umaskini na maradhi lakini Umeshindwa HAKIKA Bila shaka yeyote CDM Wametueleza bila Woga wala kutafuna maneno sababu halisia kwa nini taifa limekwama na njia gani zitumike kulikwamua Ukisikiliza hotuba na ilani Zao kwa wale wanaopenda maendeleo na mabadiliko ndipo wakagundua CDM Wana maono MBADALA na Wakaiipigia kura CDM Na kuna wengine dhamira zao ziliwashuhudia kwamba ilani na wanachosema CDM Ni halisia lakini kwa sababu za kishabiki woga rushwa chuki binafisi hawakuipigia Kura CDM
 

nickname

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
524
225
Ndugu mgen,ama ubadili content iendane na title yako au ubadili title iendane na content yako.

Kitu kimoja ni kuwa content yako haieleweki,unaongea yaani maudhui/maana ya content inabaki inaelea hewani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom