Siri ya mafanikio ni kwenda kinyume na maandiko

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Sep 20, 2020
1,636
3,804
Rafiki!
Ili ufanikiwe lazima uwe tofauti na mtazamo wa watu wengine hasa katika njia za kutafuta pesa!

Sasa angalia watu wote wenye mafanikio makubwa hapa Tanzania na duniani kwa ujumla! Wengi wao wana uhusiano mzuri na Shetani!

Sasa basi chaguo ni lako, ufe tajiri uende motoni au ufe masikini uwende motoni.

Imagine unakufa masikini na hakuna Mungu
 
Mungu hadhihakiwi...!
 
Back
Top Bottom