Siri ya macho katika kumtambua mtu

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
15,862
35,190
Kuna kitu kinanichanganya, wahalifu wakienda kuvamia sehemu uficha sehemu na kubakisha macho wakidhani hawatatambuliwa kwa kuonwa macho magazeti yakitoa picha yakitaka mtu asitambuliwe huficha macho

Sasa swali je macho yanaweza kumfanya mtu asitambulike au atambulike? wapi wako sahihi, wahalifu au magazeti?
 
macho, pua na mdomo ndio sehemu humfanya mtu atambulike kwahyo ukifunika mojawapo haitakuwa rahis kumtambua mhusika
 
kama hmjui hutamtambua ila kama unamjua hakuna kitu kama hicho kuna masikio nywele midomo na pua vyote hivyo ni vielelezo ndio maana tunatambuana hata kutokea nyuma
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom