Siri ya Maalim Seif kuhamia CHADEMA yafichuka: Muasisi wa CUF na KAMAHURU, Haji Kombo adai chanzo ni hofu yake ya kutoteuliwa tena na Chama 2020.

Daimler

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
556
973
IMG_8298.JPG


Muasisi wa CUF na mmoja wa Waanzilishi wa Kamati Huru ya Mageuzi (KAMAHURU), Mussa Haji Kombo, amesema kuwa, Maalim Seif Hamad anajiandaa kuhamia CHADEMA kwa sababu anajua kuwa, akibaki ndani ya Chama hicho hawezi kuteuliwa kuwa Mgombea pekee kama anavyotaka yeye. "Hakuna mwanachama wa CUF atakayeoitishwa kuwania urais kwa njia za kidikteta as kuwa Mgombea wa kudumu, hivyo wagombea ving'ang'anizi lazima waanze kutafuta vyama vipya vitakavyopitisha fikra na matakwa yao."
Kombo ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya CUF, alidai kuwa, amekuwa akifahamu kitambo mpango wa Maalim Seif kuhamia CHADEMA. Nia yake ni kupata nafasi ya kugombea Urais wa Zanzibar akiwa Mgombea pekee. "Ndani ya CUF sasa ni marufuku mtu kuwa wagombea wa maisha."
Kombo aliongezea kuwa, CUF haitayumba kwa sababu ya Maalim na Washirika wake kuhama.

IMG_8296.JPG


IMG_8295.JPG
 
Watwana wa mfalme wapo busy, wanatamani vyama vifutike.Ni dhambi kubwa kumwabudu binadamu mwenzio.
 
Siasa sasa zinaenda kwenye mkondo sahihi kabisa. Hongera cuf kwa mweleko sahihi. Sasa kuna mfalme mmoja pande za ufipa hatataka kusikia habari hizo, lazima aje na propaganda maji taka hapo
 
At least tunaelekea kwenye kuwa na vyama viwili tu vyenye nguvu yaani CCM na CHADEMA patamu hapo!
 
Back
Top Bottom