Siri ya kuyumba kwa mapenzi/ndoa zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri ya kuyumba kwa mapenzi/ndoa zetu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Limbukeni, May 29, 2009.

 1. L

  Limbukeni Senior Member

  #1
  May 29, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapenzi ni kujitoa muhanga sio vinginevyo. Kujitoa muhanga ni kuwa tayari kwa lolote, yani hata shida ya aina gani iwatokee wapenzi penzi halivunjiki ndio kwanza linaimarika. Pasipo kujitoa muhanga hakuna mapenzi bali kupotezeana muda wakati mwingine hata maisha. Kagua upendo wako au ndoa yako uone kama ina kiwango hicho.
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  May 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Inawezekana kuna ukweli katika usemayo ila mie nilikuwa na mtazamo tofauti. Siri kuu ya kusimamisha ndoa yako ni Chagua yule unayeamini kuwa unampenda kwa moyo wako wote (naye anakupenda japo kwa kiasi flani uamini kuwa anakupenda) na awe mtu mwenye qualifications uzipendazo (inawezekana si zote but at least nusu yake).

  hii itakusaidia hata kujitoa muhanga huko unakosema limbukeni kwani huwezijitoa muhanga kwa mtu ambaye unaamini ulioana naye kimakosa na ukajagundua baadaye kuwa is not the one you wanted.
   
 3. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  mhhh! kuna shida na shida za kujitoa muhanga jamani, labda mwanaume kakuletea mwanamke mwenzio ndani then ujitoe muhanga?......
   
 4. L

  Limbukeni Senior Member

  #4
  May 29, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna sehemu tatu kwa mapenzi hayo yaani labda mimi , yeye na sisi. mfano mimi na yeye tunapendana lakini sisi hatupendani itakuwa ngumu kudumu, kama mimi nampenda yeye labda hanipendi lakini sisi tunapendana itadumu marekebisho kidogo. nakama mimi na yeye hatupendani lakini sisi tunapenda itadumu kw marekebisho makubwa. Mdau uko sawa kabisa hasa wakati wamajaribio ya mapenzi kujua nani anakufaa. kujitoa muhanga kunahusika na kupunguza masharti vile vile kwa kucompasate mapungufu
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  May 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Shost umenikumbusha leo asubuhi nlikuwa nasikiliza Hizi nazo wimbo mmoja (sikumbuki jina) mke analalamika mume ana gubu akikosea litasemwa hadi kesho yake akajibiwa ni kweli shemeji ana gubu kna hawezi acha kwa kuwa alizaliwa nalo so avumilie!! Nikacheka na yangu.

  Haya wajitoa muhanga kivije ndo kakuletea mke mwenza!! Labda ujitoe mhanga kwa kumrarua rarua huyo mumeo kwa kucha na meno!
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  May 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  .... Sacrifice you mean?

  Umeniacha nyuma na hiyo picha yako ya mimi na yeye tunapendana but sisi hatupendani naomba ufafanuzi tafadhali
   
 7. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  si ndio hapo shost wangu, halafu kujitoa muhanga mazima ina cost baadae....Lol
   
 8. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  sijui kama nakuelewa vzr but nadhani hii itakula kwa mmoja wapo, kuna ile mnataka kuweka mambo sawa lakini mwenzio yupo tofauti/hakuelewi/kukusikiliza/kukushauri kwa lolote....nadhani unayafanya mapenzi yawe magumu....mapenzi ni kati yenu wawili, kama mnapendana kwa dhati mapenzi yatadumu/shamiri...hayana formula.
   
 9. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  ndipo hapo nikamwambia mapenzi ni ya wawili tu,akiingizwa wa 3 tarajia mmomonyoko.
   
 10. L

  Limbukeni Senior Member

  #10
  May 29, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo ya sisi iko nje yenu ni mchanganyo wenu wa pamoja ndiyo inasababisha huo utatu.
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  May 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh haya limbukeni toa darasa zaidi mkuu.
  Nilikuwa nadhani mimi na wewe ndio inatengeneza sisi sasa sijaelewa iweje mimi na wewe tupendane wakati hatupendani sisi!! (mh sijui hata kama nimeuliza swali linalowezekana. ivo ivo bana!)
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145

  Mbona humwambii kama anaweza kujiexpress anaweza buni design tu.
   
 13. Sambah

  Sambah Member

  #13
  May 29, 2009
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  kaka hilo nalo la kweli kwa wale wasemao eti nampenda hanipendi mna matatizo mtafute akupendaye ?? unajua usimpende mtu eti kwakua anakupenda bali kwakuwa mnapendana na mkipendana ndo kule kujilipua yaani wewe mavuli juu yako na wewe mwavuli juu yake . umeona sasa? kumbe mnategemeana !!! mkitegemeana mmejitoa mhanga pamoja maana yake lenu moja hapo mmependana kinyume na hapo onja onja na mwisho wake wizi mtupu???!!!
   
 14. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Soma "Love Economics Theory" google au tafuta kitabu hicho na utajua why we get to coexist together as men and wife or break as ex-wifes and ex-husbands. Ukikosa nijulishe nikupatie patches za theory hiyo.
   
 15. L

  Limbukeni Senior Member

  #15
  May 29, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imetulia hiyo asante sana
   
 16. L

  Limbukeni Senior Member

  #16
  May 31, 2009
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  imekuwa ngumu kujibu hii hoja niliingia msituni kidogo majibu yangu ni kama ufuatavyo. Ukijihusisha kimapeni na mtu asiye wako unajicheat mwenyewe humcheat mwezi wako. Kazi ya kila mmoja ni kuhakikisha hajicheat mwenyewe. Ukiangalia haya mambo ya mapenzi kwa undani wake mfano mwanaume anayejisifia ametembea na wanawake wengi ni kwamba anajisifia amelaaniwa na wanawake wengi. Maana mwanaume akisha maliza heshima yake kwa hao wanawake inapungua hivyo husababisha manung'uniko kwa akinadada aliotembea nao hapo ndipo hiyo laana inakuja. Sina uhakika kuhusu wakina dada kujisifia wametembea na akina kaka. Kama unavyojua jinsi wazazi wakitoa radhi kwa wanao wanavyofanya.
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,768
  Likes Received: 83,097
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha MJO! isije tu ikawa yeye ndio akakuraruararua. Ndoa pamoja na kuwa zinataka uvumilivu wa hali ya juu kutoka kwa wote waliomo katika ndoa hiyo, lakini kuna manyanyaso mengine hayastahili kabisa kujitoa muhanga. Life is too short kuishi katika ndoa ambayo kila siku iendayo kwa Mungu ni manyanyaso tu tena ya hali juu na tabia ambazo hazikubaliwi ndani ya ndoa.
   
 18. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Limbukeni;

  Ieleweke kuwa Kihistoria na uzoefu Mapenzi hupanda na kushuka except katika few cases.

  Mimi nadhani ni vyema sasa Mapenzi au ndoa nyingi zijengwa kwanza katika foundation ya urafiki zaidi kuliko mapenzi. Ikiwa hivyo, hata inapofikia wakati mapenzi yanayumba, urafiki unabaki kama muhimili.

  Vitu kama kuwa na common interests na hobbies vinasaidia sana achilia mapenzi yenyewe ambao wahenga walishasema mwanzoni ni matamu mwishoni . . . . .

  Pia, Mkifanikiwa kiuchumi hilo pia ni jambo jema. Kitu kikubwa kinachoyumbisha ndoa ni upungufu wa mahitaji ya kifedha ambayo baadhi wanashawishika kuvuka mipaka na kutoka nje.

  Mwishoni peaneni nafasi za kupumua. Zero distance kila wakati na ushushushu haufai.

  If u love somebody, set him/her free! If he/she comes back to you, she is yours!
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  Jun 1, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Lovely this has been my motto for quite a long time until nilipomsoma limbukeni kuwa ukifanya hivyo ni undividualistic nikachoka!!
   
 20. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #20
  Jun 1, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana nawe asilimia 102! kwa kuongezea pia katika suala la ukuaji wa uchumi wengine hujiona wanazo za kukifu so ili kufanikisha matumizi ndo huanza kuzitafuta nyumba ndogo na ving'asti. mpaka inafikia hatua ya mwenzi wake kuomba bora asingekuwa nazo.

  Muhimu ni kufanikiwa kwa kiasi cha kutimiza mahitaji muhimu (but who doesnt like money, money and more money?)
   
Loading...