Siri ya kutokukosa hela tena (Kutokufulia) hii hapa. Soma hutajuta...

Nar

Narudi kwenye comment ya juu kabisa.

"Tengeneza secondary/other source of incomes"

Mimi binafsi naishi mkoani Ila Nina nyumba ya kupangisha dar@kinondoni.

Kwa mwezi nakusanya si hapa.

Nataka kutengeneza nyengine G.Mboto (Bro kaniambia kasikia nyumba inauzwa pale G.Mboto mwisho)

Nimeajiriwa 2014 Ila nimepanga..!!

Kwasasa mkatengeneza MIFEREJI kwanza.

Hiyo MIFEREJI ndio ijenge nyumba za kuishi na inunue gari na sio mshahara wangu.

Lengo langu ikifike wakati niachane na mshahara ukae benki miaka

Yaani najaza standing order, mshahara ukitoka benki wapeleke saving account ukatengeneze return.

Achana na hizo liabilities, tengeneza kwanza asset za kukuingizia pesa, halafu hizo assets ndio zizalishe matumizi ya hizo liabilities

Nikupe mfano:- hiyo nyumba YAKO what if ingekuwa uswahilini mfano Mwananyamala na kule chumba 50k

Tuseme nyumba ina vyumba 6.
Inamaana wewe kila mwezi una laki 3.

Ungechukua hizo laki 3, ukajichanga na madili + mishahara, unatengeneza nyengine uswahilini kwengine.

Then baada ya miaka 5 - 10 hivi una nyumba 3 tuseme total vyumba 20.

Kwahiyo kila mwezi unaingiza Mil 1.

Halafu sasa ndio ujenge YAKO ya kuishi..!!!

#YNWA
Kumbe nyumba uko nazo hapo sasa nimekuelewa,mwanzoni nilikunukuu vibaya nikafikiri unasema kujenga ni ujinga.
Kama umejenga ukapangisha pia ni sawa,yaani ni kitu kile kile tu unapokea kodi ya nyumba kisha na wewe unailipa ulikopanga hakuna tatizo hapo hauwezi ukanyanyasika kwa sababu una uhakika wa kupokea kodi hata kama umeachishwa kazi.
Kimbembe ni pale haujajenga nyumba kabisa umepanga halafu kuna biashara unayoitegemea ikayumba au ikafilisika hapo ndio utajua kwa nini wimbo wa Taifa hauna video.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Nar

Narudia kwenye comment ya juu kabisa.

"Tengeneza secondary/other sources of incomes"

Mimi binafsi naishi mkoani Ila Nina nyumba ya kupangisha dar@kinondoni.

Kwa mwezi nakusanya si haba.

Nataka kutengeneza nyengine G.Mboto (Bro kaniambia kasikia nyumba inauzwa pale G.Mboto).
Nikuchukua hii nikaifanyia matengenezo nitatoboa (nyumba za ule mtaa hazina miaka zaidi ya 6)

Nimeajiriwa 2014 Ila nimepanga..!!

Kwasasa mkatengeneza MIFEREJI kwanza.

Hiyo MIFEREJI ndio ijenge nyumba za kuishi na inunue gari na sio mshahara wangu.

Lengo langu ikifike wakati niachane na mshahara ukae benki miaka

Yaani najaza standing order, mshahara ukitoka benki wapeleke saving account ukatengeneze return.

Achana na hizo liabilities, tengeneza kwanza asset za kukuingizia pesa, halafu hizo assets ndio zizalishe matumizi ya hizo liabilities

Nikupe mfano:- hiyo nyumba YAKO what if ingekuwa uswahilini mfano Mwananyamala na kule chumba 50k

Tuseme nyumba ina vyumba 6.
Inamaana wewe kila mwezi una laki 3.

Ungechukua hizo laki 3, ukajichanga na madili + mishahara, unatengeneza nyengine uswahilini kwengine.

Then baada ya miaka 5 - 10 hivi una nyumba 3 tuseme total vyumba 20.

Kwahiyo kila mwezi unaingiza Mil 1.

Halafu sasa ndio ujenge YAKO ya kuishi..!!!

#YNWA
Hongera!
 
Maisha yenyewe mafupi unaacha kujimwambafy unakunja kunja vinoti unaficha ya nini? Tùsipangiane maisha bwana!
 
Tunaongeza liability badala ya assets
Me nimeajiriwa mwaka huu mwanzoni watu wananishangaa the way ninavyoishi Wengine wananicheka ninavyojibana
Sina TV wananiona mshamba japo kuwa hizo TV na takataka zake naweza nunua in in one month salary so nawacheki wanavyoshindana kununua mapambo ya ndani mwenzao huyo this month naanza kulipia kiwanja
Inshort vitu vya muhimu ninavyo Ila makorokoro ya kuuzia sura siyataki

Nahisi labda baada ya kunywa madini ya kiyosakiView attachment 1566775
HILI NI MOVIE LAKUTISHA SANA WAKUU IMENIFANYA NIANZE NA KUANZISHA BIASHARA ZAIDI YA MOJA, NIMEANZISHA BIASHARA KABLA YAKUJENGA NA BISHARA IMEKUA NIMEMUACHIA WIFE SASA ISHU ZA KODI CHAKULA NA MAMBO MADOGO MADOGO SIO ISHU ZAKUWAZA SASA NAFANYA PROJECT NYINGINE KUBWA BILA WASIWASI NA NIMESHANUNUA KIWANJA NYUMBA IKO KWENYE HATUA NZURI, MIMI NAMKUBALI MZEE WA RICH DAD, POOR DAD.

Kuna jambo moja niliweke wazi ishu sio kuishi kwa kujibana ishu nikuongeza njia zakipato nakupunguza matumizi yakizembe, kujionesha hapana. Jua flow yako ya fedha na anzisha au kuza kipato kwanza kabla yakuongeza matumizi.

Mfano: Unataka kununua gari basi kabla yakununua unaweza fungua biashara au uongeze elimu mshahara upande ndio ulinunue hilo gari maana ukilinunua na bado kipato chako hakija kua utajipa stress ya kuliudumia.
 
Umeongea sahihi Ila ngoja Nikupe mfano tu;

Ubahili ni nguzo ya utajiri kwa uliyezaliwa umasikinini ..
Kuna jamaa mmoja ni yatima ye alikuwa kwa kudra za Mungu na sasa ana ajira.

Aliajiriwa 2015 serikalini.

Akaanza kuwa bahili.
Ubahili wake umemfanya awe na nunue mashamba makubwaa, maana hutunza pesa mwaka mzima halafu December (likizo) huenda kununua mashamba.

Alivyofika Eka 100 aliamua kupanda parachichi, kaanza 2020.

Pia kwa ubahili wake, ameweza kupanda eneo kubwaa mara MOJA.

Anaamini sanaa kwenye kilimo na anakomaa nacho.

Hana source nyengine ya pesa na yeye anakwambia INVESTMENT IS BETTER THEN BUSINESS.

POINT YANGU NI KWAMBA:-
Wakati una source MOJA, ukiwa unatengeneza ya pili UBAHILI MUHIMU na ni nguzo ya kujenga hiyo ya pili.

#YNWA
Agreed ....kwa mtu alietokea ..maisha duni ..na Hana connection Ubahili ndo silaha pekee iliyobakia ...
 
Mkuu uko sahihi.
Lakini hata waliozaliwa kwenye utajiri pia ni wabahili tena zaidi ya maskini.
Mfano angalia wakina Mo dewji wanavyowafanyisha watu kazi ngumu kwenye viwanda vyao kisha wanawalipa elfu 6 kwa siku.
Huu sio ubahili?
Kwa mfano sisi watu wa kawaida wenye mishahara jamaa yako au rafiki yako akikusikitikia shida kumpa elfu 50 au laki ni kitu cha kawaida.
Au kukaa bar na kumnunulia kinywaji mtu mliyejuana siku hiyo hiyo ni kawaida.
Ila kwa matajiri hawatoagi hela kama hizi japo akaunti zao zinasoma bilioni kadhaa.
Huo ndio ubahili wenyewe sasa

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Watoto hufanya kile wanachokipenda ila mtu mzima kabarikiwa uwezo wa kuujua uhalisia, kubuni mipango na kuifata.

Kuna kitu muhimu ambacho hakikwepeki mimi na wewe tunapotumia pesa, si kingine bali ni "HESABU", yawezekana ni wengi tu tunazijua hesabu lakini hapa ni kuhusu kuzitumia.

Tunajiingiza katika matarizo, mawazo, umaskini, mikopo kwa sababu hatuna wito wa kufanya hesabu kabla ya kufanya miamala.

Si ajabu mtu akawa una uwezo wa kumsomesha mwanao shule za milioni 2 lakini misaada kwa ndugu ikaongezeka na hivyo kulazimika kumeta mtoto wako saint kayumba sababu ulipuuza hesabu.

Si ajabu kijana anaepokea laki 9 ya mshahara kwenda kukopa benki milioni 10 anunue gari ila akalipaki kwasababu mshahara umepungua kwajili ya makato mapya sababu alipuuza hesabu, Haiingii akilini utapata pumziko maridhawa la kuendesha gari bila stress kwa hii mbinu.

Mtu masikini wa mawazo yeye anaponunua kitu anachofikiria kinachompa tiketi ya kununua kitu ni "nina uwezo wa kununua hiki kitu (hata kwa mkopo) huku wakisahau kama wataweza kuvitunza bila stress.

Angalia hali yako jabla ya kufanya maamuzi ya fedha na sio baada ya kufanya muamala, hesabu ni hizi za kawaida tu za shule ya msingi, usiwe nyuma bali uwe mbele ya hizi hesabu.

Una miaka 30 lakini hali yako ni mbaya vile vile tangu uajiriwe ukiwa na miaka 25 na pengine ikawa mbaya zaidi, kila unaporejesha deni baada ya miaka mingi ya mateso ya marejesho unarudia tena kukopa ili ununue gari au ufanye anasa, nakwambia ya kwamba hadi uote mvi utamtafuta mchawi kumbe ni wewe.

Unaponunua vitu ambavyo huvihitaji ama havina umuhimu sana katika maisha yako basi jua kuna siku utashindwa kununua vitu muhimu utavyohitaji. hesabu nuepesi hii.

Anza kujengga tabia ya kuchukia kutumia pesa, jifunze kutengeneza pesa hata kama ni kutunza hazina, wewe kunja noti yako mara mbili irudishe mfukoni uone ndani ya mwaka umeweza kutunza ngapi, kwa maana hii achana na matumizi yasiyo na umuhimu/

Usiishi maisha ya mboga saba kwenye kipato cha tembele

Usiishi maisha ya kufurahisha wengine au kufanya ujulikane unazo, wewe una ex wako mshamalizana ya nini kujaza lita za ziada kwenye gari ili tu ujipitishe anaposhindaga akuone?
Topiki yako inawahusu watu wenye shida. Mimi binafsi chakula, mavazi, malazi, mafuta ya gari, ada za watoto hela za kusaidia ndugu sio shida tena so so si fit kwenye kanuni zako
 
Hakuna tajiri bahili ubahili ni hulka ya masikini asiye na kitu siri ya utajiri haipo kwenye ubahili bali ipo kwenye kutengeneza pesa nyingi na kuwa na vyanzo vingi vya mapato acheni kudanganya watu maskini wengi ndo hutumia pesa kwa ubahili na kujinyima sana hakuna tajiri bahili wengi ndo huongoza kwenye kufanya masherehe, kumili magari makali, nyumba nzuri, watoto kusoma shule nzuri, kusaidia etcetc in short wao ndo huongoza kwa expenditures. Kamwe usimshauri masikini ubahili. Ubahili hauleti utajiri, ubahili unaleta kuridhika na uvivu ubahili humfanya mtu asipende kufanya kazi.

Shauri watu kufanya kazi kwa bidii na kuongeza vyanzo vya mapato pesa iwe mingi expenditures ziwepo lakini pesa iwe iwe inaingia zaidi usishauri watu ubahili
Huu ndio ushauri sasa
 
Tunaongeza liability badala ya assets
Me nimeajiriwa mwaka huu mwanzoni watu wananishangaa the way ninavyoishi Wengine wananicheka ninavyojibana
Sina TV wananiona mshamba japo kuwa hizo TV na takataka zake naweza nunua in in one month salary so nawacheki wanavyoshindana kununua mapambo ya ndani mwenzao huyo this month naanza kulipia kiwanja
Inshort vitu vya muhimu ninavyo Ila makorokoro ya kuuzia sura siyataki

Nahisi labda baada ya kunywa madini ya kiyosakiView attachment 1566775
Leta pdf ya hichi kitabu
 
Umeongea sahihi Ila ngoja Nikupe mfano tu;

Ubahili ni nguzo ya utajiri kwa uliyezaliwa umasikinini ..
Kuna jamaa mmoja ni yatima ye alikuwa kwa kudra za Mungu na sasa ana ajira.

Aliajiriwa 2015 serikalini.

Akaanza kuwa bahili.
Ubahili wake umemfanya awe na nunue mashamba makubwaa, maana hutunza pesa mwaka mzima halafu December (likizo) huenda kununua mashamba.

Alivyofika Eka 100 aliamua kupanda parachichi, kaanza 2020.

Pia kwa ubahili wake, ameweza kupanda eneo kubwaa mara MOJA.

Anaamini sanaa kwenye kilimo na anakomaa nacho.

Hana source nyengine ya pesa na yeye anakwambia INVESTMENT IS BETTER THEN BUSINESS.

POINT YANGU NI KWAMBA:-
Wakati una source MOJA, ukiwa unatengeneza ya pili UBAHILI MUHIMU na ni nguzo ya kujenga hiyo ya pili.

#YNWA
duuu! Eka Mia parachichi Kama namuona upcoming tajiri.
 
Back
Top Bottom