Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuwa more specific?Maana sijakuelewa bado nini una try kusema hapo....
Mkuu Eiyer, umenisababisha niwaze sana... Hebu nisaidie, hivi yule kiumbe aliyetumika kumdanganga Eva alikuwa na umbo gani na alikuwa anatembeaje kabla ya kuadhibiwa kutembea kwa tumbo?!Sijui ni kwa mujibu wa maandiko ya dini gani inasemwa kuwa kosa la Adam lilikua ni ngono.
"
Jamani kwanini tusioneshe heshima angalau hata kidogo kwenye vitabu vyetu vitakatifu?
"
Hata kama huamini katika dini ni vyema ukajifunza kuheshimu vya wenzio.
"
Inaelezwa wazi kuwa Adam alikula tunda kama tunda la ujuzi wa mema na mabaya.
"
Sasa kama ni ngono,inahusiana vipi na ujuzi wa mema na mabaya?
"
Pia,Mungu aliwaambia "Mzaane mkaijaze nchi".
"
Kama alizuia ngono,wangezaana vipi?
"
Ni vyema tukajifunza tusichokijua ili tuepuke upotoshaji!
BADILI TABIA ukiona huelewi "the power of mchochomeo" we kumbuka tu unatakiwa ununue tunda sio juice. Yaani hapo lengo ni kufanikiwa kukabidhiwa mshahara wote! Ila somo la leo hata kipanga atapata below average. Lol!hizi tuition za Natalia mie zishanichosha, masomo ta nyuma hatajaeleweka analeta masomo magumu zaidi?
BADILI TABIA ukiona huelewi "the power of mchochomeo" we kumbuka tu unatakiwa ununue tunda sio juice. Yaani hapo lengo ni kufanikiwa kukabidhiwa mshahara wote! Ila somo la leo hata kipanga atapata below average. Lol!
Mkuu Eiyer, umenisababisha niwaze sana... Hebu nisaidie, hivi yule kiumbe aliyetumika kumdanganga Eva alikuwa na umbo gani na alikuwa anatembeaje kabla ya kuadhibiwa kutembea kwa tumbo?!