Siri ya JK kutomteua Naibu Waziri wa Ulinzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri ya JK kutomteua Naibu Waziri wa Ulinzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mutabora, Feb 17, 2011.

 1. M

  Mutabora Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Baada ya mlipuko wa mabomu Gongo la Mboto Waziri wa Ulinzi Hussein Mwinyi anatakiwa kujiudhuru kwa kuendelea kuvurunda hata baada ya milipuko ya Mbagala.Siri ya kutomteua naibu waziri wa Wizara hiyo bado ni siri ya JK.
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  Baada ya mbagala alisema haitakuja rudia tena na ikijakurudia basi ataachia ngazi labda ni suala la kumkumbusha tu...................ila kwa ccm hii ya kikwete haiwezekani....nakumbuka aliyekuwa waziri wa elimu kabla ya huyu kawambwa dhaifu aliwahi kutamka kuwa mitihani ikivuja atajiuzuru haikuchukua muda ikavuja na hakujiuzuru na hakuna chochote kilichofanyika dhidi yake...................hii ndiyo tz nchi nzuri tuipoendayo kwa dhati
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Title inavovutia kuwa kuna siri kumbe hakuna kitu ndani yake aahhh
   
 4. F

  Fahari omarsaid Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serekali inafanya upumbavu wa hali ya juu hongera{KIKWETE,PINDA,MWINYI,MAKINDA,AUGUSTINO RAMADHANI,VUAI NAHODHA}coz masikini wanaongezeka na vilema MUNGU ibariki CCM na ibariki TZ
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :sick:!
   
 6. m

  mzambia JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  :coffee::coffee::coffee::coffee:
   
Loading...