Elections 2010 Siri si Siri: Pamoja na kauli za kujiamini - CCM wamejiandaa na kuukosa Urais

Ogah

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
6,227
1,548
..................habari nilizozipata za ndani kabisa ya CCM ni kuwa........... CCM wamejiandaa.............yaani kuna kushindwa au kushinda........sikutegemea kabisa bwana huyu MZITO SANA NDANI YA CCM kunipa maelezo hayo..............awali i.e. kampeni zikianza aliniambia kuwa "CCM hatuna wasiwasi tutashinda USHINDI WA KISHINDO"..................nimezungumza naye leo tena nimempata kwa bahati sana (ilikuwa shida kumpata).........akaniambia..........MAMBO NI MAZITO lolote laweza kutokea............hivyo tumejiandaa kwa matokeo............

nimeshikwa na butwaa.................Dr. Slaa hii ngoma ni yako.........All the best!
 
Rafiki vita vyetu si vya damu na nyama......Acha dunia ijue kuwa yuko Mungu aliye hai mpaka sasa nafurahia kumshinda Shekhe Yahaya kwani hakuna aliyekufa na uchaguzi hau
kuahirishwa....Ahimidiwe Jehova Nisi...Silali leo na asubuhi nipo namba moja kituoni kupiga kura yangu adui yangu mkubwa akiwa mnajimu na nguvu zake na wapili ufisadi!
 
Jamani hii ya Slaa ni Tsunami! Mwamko wa watanzania toka kila kona ya nchi, hii si bure, kuna nguvu ya Maulana!, baadhi ya madiwani, wajumbe wa CCM, kwa midomo yao wana nishuhudia kwamba kampeni za CCM wanafanya kama ajira yao, lakini kura kwa Dr. wa ukweli.

Ndani ya chama wengi pia wanahasira ya "chama cha kifamilia" let us keep our finger crossed!
 
Najiuloiza tu, hivi na mwamkom huu wote, ikitokea Slaa akashindwa ( na nimaanmini kuwa kama kushindwa itakuwa ni kwa hila), itakuwaje?
 
Habari hii inanipa MWANGAZA, NA NIMEKODOLEA MACHO PC, kama vile nataka kuimeza
avatar15469_7.gif
...Aksante mkuu!
 
Hivi slaa ataoa kwanza au ataapishwa kwanza? Bei ya sementi ikiwa elfu tano chips mayai itabakia 1500? Au huu ni usanii kama mwingene tena huu umepita mipaka? Great thinkers mpo?
 
Najiuloiza tu, hivi na mwamkom huu wote, ikitokea Slaa akashindwa ( na nimaanmini kuwa kama kushindwa itakuwa ni kwa hila), itakuwaje?

Mpita Njia,

Unasema ikitokea? Ukweli ni kwamba Slaaa anashindwa kwasababu pembezoni mwa nchi hana wabunge wala madiwani wa kulinda kula zake.

Hakuna mabolozi wala watendaji wa vijiji wa kuwashawishi wananchi mpaka dakika za mwisho wakapige kura. Viti vya mjini Slaa atapata kura nyingi lakini sio vijijini.
 
Hivi slaa ataoa kwanza au ataapishwa kwanza? Bei ya sementi ikiwa elfu tano chips mayai itabakia 1500? Au huu ni usanii kama mwingene tena huu umepita mipaka? Great thinkers mpo?
Ulihitaji akuoe ?
 
Ndipo nimemaliza kumsurubu JK, lakini huku Kagera niliko mambo ni bambamu; vijana safari hii wamejitokeza kwa wingi sana, karibu wote wanasema "kieleweke". Hata majimbo ambayo wagombea ubunge wa ccm wana nguvu kama vile Bukoba (v), Muleba (k na kas.) lakini watu walio wengi, hata vikongwe wanasema kwa urais chaguo lao ni Dr. wa kweli. Huko Karagwe usiseme Jk akiambulia chini ya asilimia moja sitashangaa.
 
I don`t know any Law and i don't understand Economics, but i know when my stomach is empty

inakuwasha unataka umpe? hana muda na wewe!! chafu chafu!!
 
Hivi slaa ataoa kwanza au ataapishwa kwanza? Bei ya sementi ikiwa elfu tano chips mayai itabakia 1500? Au huu ni usanii kama mwingene tena huu umepita mipaka? Great thinkers mpo?
Kapige kura wewe CLM!
 
I don`t know any Law and i don't understand Economics, but i know when my stomach is empty

inakuwasha unataka umpe? hana muda na wewe!! chafu chafu!!
Rafiki haya matusi ya nini tena...Ignore the fool lest you become fooler than he is!
 
Sokomoko,we ulitakaje,akuoe kwanza kabla hajaapishwa?au baada! however dini yake haimruhusu kuoa mitala
 
Kanipigia aunt yangu toka tabora,yeye ni msimamizi wa uchaguzi ktk kata na ni kada wa ccm.jina lake ni la ukoo wa waziri mkuu mstaafu ambaye mwaka huu amepigwa chini kura za maoni pale kanda ya katikati.kaniuliza 'unakuja kupiga kura? nikamwambia niko njiani nakuja.'unampigia nani? nikamwambia 'dr slaa.Skuamini nlichokiskia,ameshangilia na kuniambia'big up aunt,tunataka mabadiliko.AMIZING!!!!!!!
 
Mpita Njia,

Unasema ikitokea? Ukweli ni kwamba Slaaa anashindwa kwasababu pembezoni mwa nchi hana wabunge wala madiwani wa kulinda kula zake.

Hakuna mabolozi wala watendaji wa vijiji wa kuwashawishi wananchi mpaka dakika za mwisho wakapige kura. Viti vya mjini Slaa atapata kura nyingi lakini sio vijijini.

Labda vijiji vya kwenu. Kwetu wamebadilika siku nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom