Siri nzito;sali usiku wa leo kukemea kikao cha freemassons kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri nzito;sali usiku wa leo kukemea kikao cha freemassons kesho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 29, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,351
  Likes Received: 5,653
  Trophy Points: 280
  Hakika kama kuna asieamini mungu basi mungu yupo kuna waraka waliouona wana freemassons
  wamepanga tar 30 july 2011 kufanya kikao cha kuyaangamiza makanisa ya kiroho yanayosumbua
  uliomweengu wa mashetan...kama ulikuwa aujui hii iko live

  ndugu wapendwa shetan ni mbaya na mjanja klama hutomuwahi shetani atakuwahi so usiku wa leo
  usilale amka usiku kemea nguvu zote walizopanga kwa ajili ya kuyaribu na kuyafarakanisha makanisa na wachungaji
  ili nguvu za mungu zisitende kazi naamini mungu alie hai atawavuruga in jesus name...natangaza upofu na kila atakaeongea kuhusu hilo mungu akamuangamize kuanzia mguu aaliosimamia mpaka mdomo atakaoongea

  soma

  zab 24,97,99 usiku wa leo pambana ndugu mashetan awalali hao wanakuangamiza kesho usipowawahi wanakumaliza wewe

  mungu awaabariki siku zote sisini washindi
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu mbona sijakupata?
  mbona migogoro imejaa makanisani long time ago?
  au sijakuelewa vizuri
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  ni wakati wetu mimi na wewe kuanzisha huduma ya kiroho sasa!maeneo ya kkoo,upanga,masaki yanalipa maana fungu la 10 litakua kubwa!
   
 4. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii ni topic ya kiroho zaidi, aliye na Yesu Kristu wa kweli anaweza kuelewa. Kumbukeni sisi tunaomuamini na kusadiki kuwa Kifo cha Yesu Kristu pale msalabani ni ukombozi na ushindi kwetu basi shetani siku zote anapigana kila namna. Ni mimi kitu ambacho huwa nafurahi siku zote ni pale tu ninapotambua kuwa ktk vita hii sisi (wafuasi wa Yesu Kristu ni washindi siku zote=kwa damu ya Yesu Kristu pale msalabani) au mfano ni kama mtu anaangalia mechi ya marudio (recorded) basi hufahamu mshindi ni nani basi shabiki huwa na furaha,
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,819
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kuna mikesha mingi usiku wa leo, hata ktk kanisa la kwetu kunao, hakika Kristo ni mshindi siku zote. Haleluya!
   
 6. upele

  upele JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wote tunaishia ktk udongo bro usiwe na wasiwasi ni dunia inawasumbua acha ujinga sali kwa ajili ya nafsi yako sio hao kifo ndiyo mwisho wa yote,
  remember:money cant buy life.
  Conquest-shetani atawakataa hiyo siku.
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Pepo! Shindwa na ulegee! Hakuna awezaye zaidi ya huyu MUNGU mmoja 2nayemwamini na aliyemtuma mwanae pekee ulimwengu huu kwa ajili ya ukombozi na si mwingine zaidi ya YESU KIRSTO aliyehai sasa na hata milele. Asiyemwamini ameumia.
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  No weapon that is formed against you will prosper; And every tongue that accuses you in judgment you will condemn. This is the heritage of the servants of the LORD, and their vindication is from Me," declares the LORD.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  huu wote ni umaskini kuamini amini vitu vya ajabu ajabu... Who the hell is freemasoni? Umewaona kwa macho?hivi ni vitu vya kusadikika .
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  hata kama freemasons wapo hawana mpango wowote na wewe mtanzania .. Kwanza hampo hata kwenye ramani yao.. You damn pooor country even without electricity hii ni adhabu tosha ..
   
 11. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tarehe 30 ya leo ndio siku yangu ya kuzaliwa, nadhani basi na hicho kikao mie nahusika..
  Freemason kitu gani bwana..,! Amini mungu tu, ndio kila kitu eti ukae uombee kikao kisifanyike cha watu usiojua e wala bee yao!
  Sali sana mwombe mungu wako sana, tubu zambi zako sana, kuwa na upendo na wanadamu wenzio na usimshirikishe mungu wako na miungu wengine.
  Kila kitu kipo katika vitabu na ni haja yako weye muumini wa kweli kutafakari.
  Freemason kwa mungu hatii mguu...

  Mungu atuongoze katika unyoofu..
  Si katika ya wale wa upotofu,.
   
 12. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #12
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Tutashinda na zaidi ya kushinda in Jesus name,the name above all
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Freemasons principle yao moja kubwa ni kutengeneza some sort of a world religion which will be inclusive of all religions under a vaguely defined god.

  Sasa hawa anaowasema ni kina nani sijui kwa sababu Freemasons claim to be rooted in enlightenment ideals.

  A little knowledge is dangerous indeed.

  Inanikumbusha enzi za utoto, tulikuwa tunaambiwa yale magari ya Red Cross ni ya "nyonya damu" au ma buddhist monks ni "wachawi".
   
 14. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #14
  Jul 30, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Tutashinda na zaidi ya kushinda in Jesus name,the name above all
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  i hate those damn stories about freemasons...i can say they dont exist.. why we africans behaving like this? look!! missionaries came in africa with bible and at period we had land.. but now they left us with bible and they have land.. ndio maana sipendi hizi scary stories..waafrica tunapenda sana kumezeshwa vitu especcially kama hicho kitu kimetoka kwa wazungu.. i have beenliving in europe na sijawahi kuwaoana wazungu wakienda kanisani na wengine wanasema kabisa hakuna Mungu na wanaishi raha mustarehe wengine wanathubutu kusema kabisa kuwa waafrica ni maskini wa kutupwa ndio maana wanamwamini Mungu ili kujifariji... i dont believe in this shit(freemasons)
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jul 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  who wrote those freemason books? is whiteman....damn!!
   
 17. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tunaomba source ya information hii mkuu au ni hao tunaotaka watupe hesabu za mapato na matumizi ?
   
 18. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #18
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  .......... mungu mmoja (si wa3?)! aliyemtuma mwanae (aliyetumwa nae MUNGU?)! Yesu Kristo aliyehai (alipata kufa ?)!
  Wagalatia kwa kulikoroga hamjambo, ndio maana taarifa yenyewe imekaa kipagani pagani!
   
 19. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Hapa waislam hawaruhusiwi kuomba maana aya zao zinasema majini ni viumbe wa mungu wao,ambao ndo wanatumiwa na freemasons!
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,351
  Likes Received: 5,653
  Trophy Points: 280
  Na sheikh mkuu awaomba wagwlwatia kuacha kutumia vunja jungu kuhalalisha dhambi
  soma habari leo
   
Loading...