Siri nzito kuhusu kutoonekana kwa kiongozi wa UAMSHO Zanzibar

Vip Ally na Ali, mansur na mansoor.Reasoning zetu bwana ndo maana hawa wakristo huwa wanatuita sisi ni wa madrasa tu

Kwa sisi Wazanzibari ambao kiswahili ndio wenye kukimiliki kuna tofauti baina ya Ally na Ali na Mansur na Mansoor! Na hata Kiarabu ambacho kiswahili kimezaliwa na Lugha hiyo basi kuna utofauti hata wa kimaana katika maneno yale... Funguka wewe usitufanye tukazidi kuthibitisha kama JF kila siku zikisonga mbele inazidi kujionesha rangi yake halisi ya kwamba ni PAROKIA la Kidini. Naona sasa mumekua wabunifu munatumia majina ya kiislamu kuuchafua uislamu! Wewe Haija???
 
Huyo ndugu yako kwa hakika kama sio CCM mhafidhina ni Chadema!!! taarifa hizo ni za kichochezi! lengo kuu ni kutaka kuwagonganisha viongozi wa Uamsho na wafuasi wao!!! siasa za divide and rule!!! siasa za maji taka!!!!
Kwamba CCM Mhafidhina na Chadema pekee ndio wanaoweza kusema ukweli? Unataka kusema ndani ya CUF hakuna mwanachama mkweli? Ndio maana wanasema Uamsho ni Magaidi wa CUF wanaotekeleza maagizo ya Ismail Juha. Haiingi akili mtu atoke nyumbani kwake anafika mjini anapanda gari lingine halafu mseme ametekwa, anajua alikuwa anatafutwa aliendaje bila ulinzi?
 
hivi ndo mnavo fundishwa kanisani kuzua uongo na uongo then uandikwe na kundikwa lendo kufanya dhulma
vurugu za zanzibar zimesababishwa na kutekwa nyara na dola...KWA KIONGOZI WA UISLAM fARID hADI
wanajaribu kukanusha lakini ni wao...
tuchukue mfano kadinali pengo atekwe nyara na dola hali itakuwa vipi hapa?
acheni dhulma nchii hii yetu sote, kila mmoja ana haki sawa na mwenzake
hakuna aliye bora kuliko mwenzake wakati wa kujiona kwamba sie tupo bora umepita
keemeni dhula nchi itakaa salama lakini kinyume chake yanayotokea lebanon, nigeria na kwengineko si ajabu yakatokea hapa
inakuwaje mtu anakojolea quran....makanisa na wafuasi wao hakuna anaejali wala kukemea? BALI WANAFURAHIA ?
yalipo chomwa makanisa masheikh walikemea na kulaani...
inaonekana hali hii inapendelewa na kuchochewa
juzi kuna mtoto ana soma school ya katoliki forodhani alikua likizo ni jirani alakuja nyumbani basi alikua akimweleza mtoto wangu kuwa wanaambiwa wasipake perfum fulani kwa sababu imeendikwa kiarabu !!! ati ina majini!!! HUYU YUPO FORM 6 NI MKUBWA KIUMRI.
yule mtoto wangu akamwambia waongo...basi huyo mtoto anasema mambo mengi tunayoambiwa kuhusu uislam ni uongo ..tunafundishwa mambo mengi ya uongo lakini mie naona tofauti na tabia nzuri za majirani zangu ambao ni waislam
kuna propaganda chafu na brain wash katika SCHOOL ZA CHEKECHEA NA PRIMARY AMBAPO WATOTO HULETEWA CHOKLATE NA KUAMBIWA ZINATOKA KWA YESU NA PIA HULETEWA KITU KIBOVU AMA CHAKULA KILICHOOZA NA KUAMBIWA AMELETA MUHAAMAD WA WAISLAM...HIII NDIO HALI HALISI ..NA NDIO KWA WALE WASIOFIKIRI HUYACHUKULIA NI KWELI...
LAKINI CHA KUFURAHISHA HUYU MTOTO JIRANI AMENIOMBA NIMNUNULIE QURAAN NA TAFSIRI YAKE NA VITABU KUHUSU UISLAM....BAADA KUONA ANADANGANYWA
ALIKUA ANAHOJI INAKUWAJE MASISTA WANAVAA HIJAB ? LAKINI WAISLAM WANAPOVAA WANAKEJELIWA ? AKAULIZA MBONA WALE MAPADRE WANAVAA KANZU KAMA WAISLAM ? LAKINI WAISLAM WAKIVAA WANAKEJELIWA ?
NAAMINI MWANGA WA UKWELI ATAUONA BILA YA KUSHAWISHIWA...

SASA WEWE NI KATIKA HAO WAONGO WALO FUNDISHWA NA KANISA HIVYO MATUNDA YAKE NI CHUKI KATI YA WANA DINI HIZI
NA SIDHANI KAMA KUNA KUELEWANA AMA KUAMINIANA TENA KATIKA NCHI HII
MPAKA WANAODHULUMU WAKUBALI KWELI TUMEDHULUMU....
Asante mkuu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwa taarifa za uhakika nilizozipata kutoka kwa ndugu yangu wa karibu anayeishi zanzibar ni kwamba tukio la kutoonekana kwa kiongozi huyo wanayedai katekwa ni kwamba ni mpango maalum wa viongozi wa kikundi hicho kuwa wamfiche ili wapate kisingizio cha kufanya uharibifu zanzibar..na kikao hicho kilifanyika huku kiongozi mmmoja aliyesimamishwa kazi na rais shein akiwemo.hivyo wana uamsho wa ndani zaidi wanajua kuhusu tukio hili na kiongozi wao yupo anaangalia yanayojili huko.sasa wana uamsho wanatumia nafasi hii ili waweze kufanya uvunjifu wa amani eti kudai muungano uvunjike...pia kuna mtu anaitwa anajulikana kwa majina kifupi h.g huyu mwanazuoni elimu haijamsaidia ni hatari habari zaidi ntawajuza ndio wanasaidia fedha kutoka kwa wafadhili ili zitumike kufanya uhaini zanziabar...ntawarudia baadae..nyumba aliyokuwa amewekwa pia kaamishwa baada ya kuisi watashtukiwa.nawasirisha

Mkuu AL-SALAM

Polisi wanatafuta taarifa kama hizi, umeshawasiliana nao?

Wewe na ndugu yako ,kama mgetoa taarifa Polisi mapema mngesaidia kuepusha mengi mabaya ambayo yanaonekana yanachukua sura mpya hapa Tanzania kwa wiki hii.

Hujachelewa, kuwa msamaria mwema, mwananchi mwema isaidie Polisi.
 
Kwa sisi Wazanzibari ambao kiswahili ndio wenye kukimiliki kuna tofauti baina ya Ally na Ali na Mansur na Mansoor! Na hata Kiarabu ambacho kiswahili kimezaliwa na Lugha hiyo basi kuna utofauti hata wa kimaana katika maneno yale... Funguka wewe usitufanye tukazidi kuthibitisha kama JF kila siku zikisonga mbele inazidi kujionesha rangi yake halisi ya kwamba ni PAROKIA la Kidini. Naona sasa mumekua wabunifu munatumia majina ya kiislamu kuuchafua uislamu! Wewe Haija???
Alaaa! hivi katika maandishi yako hapa juu kuna maneno mangapi ya Kiarabu..
 
jamani wakuu zangu kwa jambo hili la kutoweka kwa shehe farid ki ukweli humu mjengoni tulijadili kwa makini kwanza kwa nini uamsho wamejificha ndani ya uislamu na wanakuja na mambo ya siasa? angalia madai yao? mwisho tusipuuze AL -SALAM kwani jamaa alikwenda na dereva said, aliachana naye vizuri tu na akapanda gari kama kungekuwa na utekaji mazingira ya awali si yangejionyesha labda dereva saidi hakuhusishwa katika kutengeneza filamu yao. daah inchi hii inahitaji watu makini kwa manufaa ya wengi sio kundi fulani kama alivo mla tende kwa sasa.
 
kwani kiarabu ni kiislam? We mbona ukiona chochote kimeandikwa kichina unasema ni feki. Je ikija kitabu cha dini yako kimeandikwa kichina itakibonda? Hao waarabu sio wote waislam, wapo hadi wapagani na wanaoabudu ngombe na mashetani, na wanataratibu zao na wameziandika kwa kiarabu. Elimika usikurubuke tu. Hata kama huoni, hadi kupapasa huwezi?
 
Vip Ally na Ali, mansur na mansoor.Reasoning zetu bwana ndo maana hawa wakristo huwa wanatuita sisi ni wa madrasa tu

Da Hadija umeona eenh! Una akili weye, hebu achana nao hao njoo huku kwetu kwa wenye akili zilizosimama
 
Hali inazidi kuwa tete, katika Kampuni ya Mabasi ya Mohamed Trans watumishi wote wamepewa sharti la kufuga midevu na kukata suruali kama huwezi sepa, yasemekana tajiri huyo ndiye mdhamini wa Ponda na mafungu mengine yanapelekwa Visiwani
 
Hivi kwa nini huu muungano hatuutolei tamko huku bara????
inasemekana mstahamilivu hula mbivu lakini sisi huku tunakula mbovu.
hatuuihataji kabisa kwani ukiondoa sifa ya kuwa ni muungano pekee katika afrika
uliodumu faid gani za ziada tunapata. Hivi mbona viongozi wakuu hawatoi tamko kuhusu hili.
Maoni yangu ni kuwa huu ufa hauzibiki ni bora kila mtu aende kivyake ila wazanzibari wote wa bara warudi kwao maana nina hakia watafukuza wabara. tuwaache na dhambi ya ubaguzi iwaumize.
 
hivi ndo mnavo fundishwa kanisani kuzua uongo na uongo then uandikwe na kundikwa lendo kufanya dhulma
vurugu za zanzibar zimesababishwa na kutekwa nyara na dola...KWA KIONGOZI WA UISLAM fARID hADI
wanajaribu kukanusha lakini ni wao...
tuchukue mfano kadinali pengo atekwe nyara na dola hali itakuwa vipi hapa?
acheni dhulma nchii hii yetu sote, kila mmoja ana haki sawa na mwenzake
hakuna aliye bora kuliko mwenzake wakati wa kujiona kwamba sie tupo bora umepita
keemeni dhula nchi itakaa salama lakini kinyume chake yanayotokea lebanon, nigeria na kwengineko si ajabu yakatokea hapa
inakuwaje mtu anakojolea quran....makanisa na wafuasi wao hakuna anaejali wala kukemea? BALI WANAFURAHIA ?
yalipo chomwa makanisa masheikh walikemea na kulaani...
inaonekana hali hii inapendelewa na kuchochewa
juzi kuna mtoto ana soma school ya katoliki forodhani alikua likizo ni jirani alakuja nyumbani basi alikua akimweleza mtoto wangu kuwa wanaambiwa wasipake perfum fulani kwa sababu imeendikwa kiarabu !!! ati ina majini!!! HUYU YUPO FORM 6 NI MKUBWA KIUMRI.
yule mtoto wangu akamwambia waongo...basi huyo mtoto anasema mambo mengi tunayoambiwa kuhusu uislam ni uongo ..tunafundishwa mambo mengi ya uongo lakini mie naona tofauti na tabia nzuri za majirani zangu ambao ni waislam
kuna propaganda chafu na brain wash katika SCHOOL ZA CHEKECHEA NA PRIMARY AMBAPO WATOTO HULETEWA CHOKLATE NA KUAMBIWA ZINATOKA KWA YESU NA PIA HULETEWA KITU KIBOVU AMA CHAKULA KILICHOOZA NA KUAMBIWA AMELETA MUHAAMAD WA WAISLAM...HIII NDIO HALI HALISI ..NA NDIO KWA WALE WASIOFIKIRI HUYACHUKULIA NI KWELI...
LAKINI CHA KUFURAHISHA HUYU MTOTO JIRANI AMENIOMBA NIMNUNULIE QURAAN NA TAFSIRI YAKE NA VITABU KUHUSU UISLAM....BAADA KUONA ANADANGANYWA
ALIKUA ANAHOJI INAKUWAJE MASISTA WANAVAA HIJAB ? LAKINI WAISLAM WANAPOVAA WANAKEJELIWA ? AKAULIZA MBONA WALE MAPADRE WANAVAA KANZU KAMA WAISLAM ? LAKINI WAISLAM WAKIVAA WANAKEJELIWA ?
NAAMINI MWANGA WA UKWELI ATAUONA BILA YA KUSHAWISHIWA...

SASA WEWE NI KATIKA HAO WAONGO WALO FUNDISHWA NA KANISA HIVYO MATUNDA YAKE NI CHUKI KATI YA WANA DINI HIZI
NA SIDHANI KAMA KUNA KUELEWANA AMA KUAMINIANA TENA KATIKA NCHI HII
MPAKA WANAODHULUMU WAKUBALI KWELI TUMEDHULUMU....[/

ONA AKILI ZAKO UNAWAZA VYAKULA TU UNAACHA KUSEMA VITABU ?ASA CHOKOLATE ITAKUFIKISHA WAPI WEWE.. MASUALA MADOGO YANAKUHUMIZA KICHWA UNAKAA KUYATAFAKARI THINK BIG AND RICH DADDY & POOR DADDY.
 
Yale yale,ya Mwaka 1994 kwa jirani zetu,yananukia nukia.Balaa gani ili linatujia WA-TZ.Mungu aliepushe mbali madhara yanatosha.Usishang'ae likiisha hili Mengine yanaibuka.Nyakati mbaya
 
Wakifute hicho kikundi,na vingine vya namna hiyo...wafungie radio imaan,wafute mihadhara yoote hadi itakapoamriwa vinginevyo!
 
Hahaaaa na vikao vya nyumba kwa nyumba wanafiki wakubwa nyinyi

using JamiiForums

kweli wewe ni sawa na futuzi kabisa

kumbe hujui hata maana ya jumuiya, hata wale mafirauni kwa ujamaa wa kawaida hukutana in a scheduled time kwenye kaya moja kubadilishana mawazo na kula pamoja na kumtukuza wanayemwabudu....

umesahau jamaa tunazokula pamoja na kukesha?? vipi vigoma vya daku unajua maana na historia yake?? wapi ile sunna ya kukaa na kula pamoja ?? unajua ustaarabu wa ku-share chakula kwenye sinia unatokana na nini?? si familia bali jumuiya

If you could only learn the meaning of brotherhood basi utajua wakristu na jumuiya hawafiki hata robo....
na kama umeishiwa kabisa tafuta borha hapa dar wakupe shule ya brotherhood

YOU ARE AS IGNORANT AS A POOP NDUGU YANGU

HEBU SOMA BASI HATA STADI ZA MAISHA MAANA INAONEKANA ELIMU YA DUNIA HUNA KABISA

NALAAABUK
 
Back
Top Bottom