Siri nzito kuhusu kutoonekana kwa kiongozi wa UAMSHO Zanzibar

Kuna kitu najiuliza... Kwa nini maeneo yanayoathrika na vurugu za UAMSHO ndo yale yale yaliyokuwa yakiathirika na vurugu za CUF (unguja)?
 
kalagha bao ulitakaje sasa?unadhani watu jamii hatujuani?identity yangu humu ni gold ila sikupenda kujulikana na ukweli ndio huo we angalia lini nimejoin na sio ujumbe ila ukweli ntauweka wazi nakamilisha tu leo watamwamishia wapi niwajuze kwa majina ya wote wana mtandao wa uamsho huku wakijafanya sio

Hapo nilipo-bold ndio maana nikasema mtu anaanzisha ID mpya kwa sababu maalumu (huenda habari bado ina utata bado chanzo uhakika hakijapatikana), kamilisha tu kazi utujuze kwa undani ila tumia ID hii hii tu inatosha kwani ukitumia ile uliyozoea maana yake wewe upo kwa ajili ya ku-share vitu vizuri tu vyenye evidence ila visivyo na evidence inaonekana kama utaonekana wa ajabu
 
huyo ndugu yako kwa hakika kama sio ccm mhafidhina ni chadema!!! Taarifa hizo ni za kichochezi! Lengo kuu ni kutaka kuwagonganisha viongozi wa uamsho na wafuasi wao!!! Siasa za divide and rule!!! Siasa za maji taka!!!!
uamsho wnyenyewe wana hila niaje!
 
Acha kuchanganya mambo wewe, hicho ni kiarabu huna hiyari ya spelling kama ulivyoonyesha. Unataka kusema weak na week ni sawa? Halafu madrassa maana yake ni shule! Uko kwenye siku zako nini? Pole!

hadija1 yuko sawa kabisa, reasoning ya wengi wenu ni ya kitoto, kama unazidiwa kete ya kufikiri huna haja ya kutukana .
Hapo ndio unadhihirisha udhaifu wako wa kichwani.
 
Kwa taarifa za uhakika nilizozipata kutoka kwa ndugu yangu wa karibu anayeishi zanzibar ni kwamba tukio la kutoonekana kwa kiongozi huyo wanayedai katekwa ni kwamba ni mpango maalum wa viongozi wa kikundi hicho kuwa wamfiche ili wapate kisingizio cha kufanya uharibifu zanzibar..na kikao hicho kilifanyika huku kiongozi mmmoja aliyesimamishwa kazi na rais shein akiwemo.hivyo wana uamsho wa ndani zaidi wanajua kuhusu tukio hili na kiongozi wao yupo anaangalia yanayojili huko.sasa wana uamsho wanatumia nafasi hii ili waweze kufanya uvunjifu wa amani eti kudai muungano uvunjike...pia kuna mtu anaitwa anajulikana kwa majina kifupi h.g huyu mwanazuoni elimu haijamsaidia ni hatari habari zaidi ntawajuza ndio wanasaidia fedha kutoka kwa wafadhili ili zitumike kufanya uhaini zanziabar...ntawarudia baadae..nyumba aliyokuwa amewekwa pia kaamishwa baada ya kuisi watashtukiwa.nawasirisha

Hii inaweza kuwa kweli. Maana kwa maelezo ya dereva wa Sheikh ni kwamba wakiwa kwenye gari na mida ya saa 5 usiku, walikutana na gari jingine wakasimama na Sheikk akatoka kwenye gari yake na kuingia kwenye hiyo gari nyingine ambayo dereva 'haifahamu'. Kuanzia hapo Sheikh haijulikani alipo - well haijulikani anapunga upepo pwani ipi!
 
..... Kwa taarifa za chini kabisa nasikia leo usiku kuna mpango kabambe wa wafuasi wake kuingia nyumba hadi nyumba ili kumpata kiongozi wao.
Source:
Dw_swahili
 
Agreed. Na nimesoma eti vurugu za juzi za kuchoma baa na maduka vijana walikuwa wanakimbia na makreti ya bia !! That tells you a lot, yaani wanakimbia nazo kwenda kuzichimbia shimo au kuzimwaga matumboni mwao... !!! Serikali dhaifu ingetumia nguvu za vyombo vyake kama polisccm kama wanavyofanya against chadema, hawa wangeshapotezewa siku mingi sana...!! Sasa wanaula wa Chuya na kudhiirisha wazi duniani kuwa inji haina uongozi, mwenyewe yupo Oman kuuza madini na wanyama zaidi, na kuchukua advances zake !! Viongozi wengine kwa hali hii ya nchi ungesikia wamekatiza ziara za utalii na kurudi nyumbani haraka !!!!!!!
Kwenye urais tumelamba garasha!Mkuu wa nchi hataki responsibilities.Yeye anajuwa kuwa hata vurugu zikitokea akuwa salama tu na atakuwa akiendelea kuzitumbua za kifisadi na mikataba anayoingia.Ni kwamba wakoloni weusi tunao hivi sasa.Kaazi kweli kweli.
 
Kwa taarifa za uhakika nilizozipata kutoka kwa ndugu yangu wa karibu anayeishi zanzibar ni kwamba tukio la kutoonekana kwa kiongozi huyo wanayedai katekwa ni kwamba ni mpango maalum wa viongozi wa kikundi hicho kuwa wamfiche ili wapate kisingizio cha kufanya uharibifu zanzibar..na kikao hicho kilifanyika huku kiongozi mmmoja aliyesimamishwa kazi na rais shein akiwemo.hivyo wana uamsho wa ndani zaidi wanajua kuhusu tukio hili na kiongozi wao yupo anaangalia yanayojili huko.sasa wana uamsho wanatumia nafasi hii ili waweze kufanya uvunjifu wa amani eti kudai muungano uvunjike...pia kuna mtu anaitwa anajulikana kwa majina kifupi h.g huyu mwanazuoni elimu haijamsaidia ni hatari habari zaidi ntawajuza ndio wanasaidia fedha kutoka kwa wafadhili ili zitumike kufanya uhaini zanziabar...ntawarudia baadae..nyumba aliyokuwa amewekwa pia kaamishwa baada ya kuisi watashtukiwa.nawasirisha

nasikia kakamatwa na wagalatia walioko unguja kwa niaba ya pengo..ili wapate raundi nyengine ya kuua waislam huko visiwani kama ilivo zoeleka
 
Huyo ndugu yako kwa hakika kama sio CCM mhafidhina ni Chadema!!! taarifa hizo ni za kichochezi! lengo kuu ni kutaka kuwagonganisha viongozi wa Uamsho na wafuasi wao!!! siasa za divide and rule!!! siasa za maji taka!!!!

siku za uamsho mbona zinahesabika!! bado kidogo jeshi la wananchi litapewa kazi ya kuwashughulikia.
 
nawezekana kukawa na ukweli ndani yake hapa, kwa sababu wanawajua wafuasi wao walivyo na akili finyu wanaweza kuamua kumficha tu kiongozi mwenzao halafu wazushe kuwa katekwa ili vurugu zianze watu wauane hali iwe chafu huko, lakini mie naona bora tuwaache tu kama syria wauane weeeee, wakimalizana ndio twende kujenga nyumba huko kwa sababu kutakuwa hakuna watu
 
Cuf ni chama cha haki sawa kwa wote!!! sio chama cha kufitinisha watu!!!! hata kama Uamsho wote ni mashabiki wa CUF kuna ubaya gani? ni kinyume cha katiba? mbona wagalatia wote mlihimizwa Makanisani kuipigia kura Chadema uchaguzi wa 2010?

Maneno haya ni kama yanatokea kule ambako huwa tunaenda ku-diposit cheki bila kupata pesa!
 
Cuf ni chama cha haki sawa kwa wote!!! sio chama cha kufitinisha watu!!!! hata kama Uamsho wote ni mashabiki wa CUF kuna ubaya gani? ni kinyume cha katiba? mbona wagalatia wote mlihimizwa Makanisani kuipigia kura Chadema uchaguzi wa 2010?
Kauli zako mbona za utata na wewe ni mmoja wao?
 
Kwa taarifa za uhakika nilizozipata kutoka kwa ndugu yangu wa karibu anayeishi zanzibar ni kwamba tukio la kutoonekana kwa kiongozi huyo wanayedai katekwa ni kwamba ni mpango maalum wa viongozi wa kikundi hicho kuwa wamfiche ili wapate kisingizio cha kufanya uharibifu zanzibar..na kikao hicho kilifanyika huku kiongozi mmmoja aliyesimamishwa kazi na rais shein akiwemo.hivyo wana uamsho wa ndani zaidi wanajua kuhusu tukio hili na kiongozi wao yupo anaangalia yanayojili huko.sasa wana uamsho wanatumia nafasi hii ili waweze kufanya uvunjifu wa amani eti kudai muungano uvunjike...pia kuna mtu anaitwa anajulikana kwa majina kifupi h.g huyu mwanazuoni elimu haijamsaidia ni hatari habari zaidi ntawajuza ndio wanasaidia fedha kutoka kwa wafadhili ili zitumike kufanya uhaini zanziabar...ntawarudia baadae..nyumba aliyokuwa amewekwa pia kaamishwa baada ya kuisi watashtukiwa.nawasirisha

hivi ndo mnavo fundishwa kanisani kuzua uongo na uongo then uandikwe na kundikwa lendo kufanya dhulma
vurugu za zanzibar zimesababishwa na kutekwa nyara na dola...KWA KIONGOZI WA UISLAM fARID hADI
wanajaribu kukanusha lakini ni wao...
tuchukue mfano kadinali pengo atekwe nyara na dola hali itakuwa vipi hapa?
acheni dhulma nchii hii yetu sote, kila mmoja ana haki sawa na mwenzake
hakuna aliye bora kuliko mwenzake wakati wa kujiona kwamba sie tupo bora umepita
keemeni dhula nchi itakaa salama lakini kinyume chake yanayotokea lebanon, nigeria na kwengineko si ajabu yakatokea hapa
inakuwaje mtu anakojolea quran....makanisa na wafuasi wao hakuna anaejali wala kukemea? BALI WANAFURAHIA ?
yalipo chomwa makanisa masheikh walikemea na kulaani...
inaonekana hali hii inapendelewa na kuchochewa
juzi kuna mtoto ana soma school ya katoliki forodhani alikua likizo ni jirani alakuja nyumbani basi alikua akimweleza mtoto wangu kuwa wanaambiwa wasipake perfum fulani kwa sababu imeendikwa kiarabu !!! ati ina majini!!! HUYU YUPO FORM 6 NI MKUBWA KIUMRI.
yule mtoto wangu akamwambia waongo...basi huyo mtoto anasema mambo mengi tunayoambiwa kuhusu uislam ni uongo ..tunafundishwa mambo mengi ya uongo lakini mie naona tofauti na tabia nzuri za majirani zangu ambao ni waislam
kuna propaganda chafu na brain wash katika SCHOOL ZA CHEKECHEA NA PRIMARY AMBAPO WATOTO HULETEWA CHOKLATE NA KUAMBIWA ZINATOKA KWA YESU NA PIA HULETEWA KITU KIBOVU AMA CHAKULA KILICHOOZA NA KUAMBIWA AMELETA MUHAAMAD WA WAISLAM...HIII NDIO HALI HALISI ..NA NDIO KWA WALE WASIOFIKIRI HUYACHUKULIA NI KWELI...
LAKINI CHA KUFURAHISHA HUYU MTOTO JIRANI AMENIOMBA NIMNUNULIE QURAAN NA TAFSIRI YAKE NA VITABU KUHUSU UISLAM....BAADA KUONA ANADANGANYWA
ALIKUA ANAHOJI INAKUWAJE MASISTA WANAVAA HIJAB ? LAKINI WAISLAM WANAPOVAA WANAKEJELIWA ? AKAULIZA MBONA WALE MAPADRE WANAVAA KANZU KAMA WAISLAM ? LAKINI WAISLAM WAKIVAA WANAKEJELIWA ?
NAAMINI MWANGA WA UKWELI ATAUONA BILA YA KUSHAWISHIWA...

SASA WEWE NI KATIKA HAO WAONGO WALO FUNDISHWA NA KANISA HIVYO MATUNDA YAKE NI CHUKI KATI YA WANA DINI HIZI
NA SIDHANI KAMA KUNA KUELEWANA AMA KUAMINIANA TENA KATIKA NCHI HII
MPAKA WANAODHULUMU WAKUBALI KWELI TUMEDHULUMU....
 
mwambieni huyo jamaa ajitokezee mwenyewe achana na dola wakitaka kumpata watampata tu. hata hao wanaochonga mipango pamoja ni UWT baadaye watamuungiza king atajuata kuzaaliwan zanzibar.
 
The government agencies are well informed of all UAMSHO is doing.RELAX YOU GOOD CITIZENS.
 
Ukweli utatuweka huru, mimi ni mkristo na naipenda sana dini yangu, na hata muda huu nakwenda kusali, nataka niulize ni wapi ilitamkwa wakristo wamchague mkristo mwenzao? Kipindi chote cha uchaguzi ule mimi nilikuwa nahudhuria ibada sikuwahi kumsikia mchungaji, askofu au kiöngozi yeyote wa dini yetu akihimiza watu kumnyima kura kikwete eti kwa kuwa ni muislam! Mnataka kusema wakristo waliasi dini zao mpaka kikwete akashinda? Au mna mnamaana alichaguliwa na waislamu peke yake? Hivi nyinyi watu mbona mna tabia za kibaguzi namna hiyo?

Hahaaaa na vikao vya nyumba kwa nyumba wanafiki wakubwa nyinyi

using JamiiForums
 
Back
Top Bottom