Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,604
- 3,163
Pumbaaaaaaa.......f zao!!!. Mtuhumiwa wa kwanza wa tukio hilo ni yule ambaye Dr. Ulimboka mwenyewe alimtambua na kumwambia amrudishie simu yake, huyu Mkenya ni danganya toto tu!. Kama kweli alihusika wasubiri Ulimboka arudi amtambue mwenye halafu akashitakiwe Kenya ikiwa ni kweli kahusika na sio serikali ya CCM kutuletea sanaa zao.
Hii picha itakuwa hivi, kabla Dr. Ulimboka hajarudi ili kumtambua mtekaji wake, huyo mtekaji fake atafia gerezani kwa ugonjwa wa Neumonia!!!!
Tiba