mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,679
Kuna member wengi wamebadili Id zao hapa jf...sababu kubwa ni mahusiano ya mtandaoni......Nitawaletea info zaidi soon
Tunasubiri mkuu ila uje na facts sio umbea.
Sisi wote ni wamoja kwanini tunyimane?Usihofu mkuu kuna kina dada wameliwa sana umu...Na hapa wanapita viroho vinadunda maana leo nawalipua.
Mbona mimi sijabadili, teeh!!
Mbona mimi sijabadili, teeh!!
Usihofu mkuu kuna kina dada wameliwa sana umu...Na hapa wanapita viroho vinadunda maana leo nawalipua.
Nimepata safari ya wiki mbili sitakuwepo jf kuanzia sasakuna member wengi siwaoni humu
ila nakutana na ID mpya kumbe ndo zao
sasa nawe ufunguke kweli hapa
Nimepata safari ya wiki mbili sitakuwepo jf kuanzia sasa
goodbye.....
Nimepata safari ya wiki mbili sitakuwepo jf kuanzia sasa
goodbye.....
Uuuuuwiii ha ha ha penda hii
Best safar za kikazi au.....
Aaah Eve utani mwingine si mzuri ujue
Sisi wote ni wamoja kwanini tunyimane?