Siri kubwa ya member wengi kubadili ID zao za zamani hapa JF

Status
Not open for further replies.

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,679
Kuna member wengi wamebadili Id zao hapa jf...sababu kubwa ni mahusiano ya mtandaoni......Nitawaletea info zaidi soon
 
Ni kweli lakini yanakuhusu niniiii....unashindwa na yako unafata ya wenzako
 
kuna member wengi siwaoni humu
ila nakutana na ID mpya kumbe ndo zao
sasa nawe ufunguke kweli hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom