Siri kubwa ya member wengi kubadili ID zao za zamani hapa JF

Status
Not open for further replies.
cant wait to hear and read that....do hurry basi loooh....
TUSIOIAMINI JF WANATUONA WASHAMBA haya saaasaaaa
 
Kumbe JamiiF yakuogopwa zaidi ya Dengua' kumbe watu wanaliwa humu? Mnyama gani anawala hao wadada?

Ni kitu gani kimekusukuma ufikirie wanaoliwa ni kina dada tu? Tunapozungumzia kuliwa ni pamoja na kuingizwa mjini baada ya kutuma hela kupitia mpesa na tigo pesa. Kwa taarifa yako wengi wanaojifanya vidume humu JF ndio wameliwa kishenzi.

Wewe mfumo dume bado unakuangaisha kwenye kichwa chako.

Tiba
 
Ni kitu gani kimekusukuma ufikirie wanaoliwa ni kina dada tu? Tunapozungumzia kuliwa ni pamoja na kuingizwa mjini baada ya kutuma hela kupitia mpesa na tigo pesa. Kwa taarifa yako wengi wanaojifanya vidume humu JF ndio wameliwa kishenzi.

Wewe mfumo dume bado unakuangaisha kwenye kichwa chako.


Tiba
Wameliwa pesa au mtandao wao ule
 
Eti mwenzenu mimi sioni kama tunaweza kujenga uchumi imara bila kuwa wazalishaji. Biashara sioni kama ni muhimili wa jishikilia.
Mimi nikiangalia nchi nilizochagua (sijui zingine) zimepanda kwa kusimamia vizuri rasilimali zake. Baada ya hapo biashara inakuja tu bila kupenda.
Mfano China ni mkakati mkubwa sana wa kilimo, viwanda vikubwa na migodi.
Urusi wali identify resources zao kama madini nk.
Marekani Waarabu, South Afirica etc.

Kwa kweli tusipokuwa wakweli kwa nafsi zetu tutaumbuliwa hadharani vibaya sana kama huu mradi wa TANESCO ambao hata hauvutii kujadili.

Wafanya biashara watakuja tu, serikali iweke mkazo kwenye uzalishaji.
Resources zetu ni ardhi kwa kilimo madini na mifugo pia utalii.
viwanda vitokane na hayo na visimamiwe na waadilifu wakijua hapo ndio pa kujengea nchi au pa kuiulia.
Ningependekeza jina la nchi yetu lijulikane kwa umaarufu wa hayo yote. Kila moja na uzito wa kutosha.
Mfano wasiwepo watu wasio na uwezo katika hizo sekta, kwa sasa panatakiwa uwajibikaji wa haraka na ufanisi wa hali ya juu kujitoa shimoni zilipo na kuanza kupanda.
Chonde chonde wanasiasa sikilizeni wataalamu,

Tuombe mleta mada afafanue.

Tiba
 
Naona Business Communications Conveyer yuko kazini au wewe ni Research Manager? maana tumeambiwa tuwape heshima zenu usisahau kuipitisha kwa Printed Document Handler hiyo document basi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom