Siri kubwa ya kudumu katika mapenzi

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
601
500
Waungwa habari zenu.

Naomba nitowe darasa fupi na ni muhimu kulizingatia kwa kila mtu ambaye atahitaji kudumu katika mahuziano ama ndoa yake.

Kuna vitu vikuu 3 ambayo vinahitajika kila mtu avifanye kwa mwenza wake ili mapenzi ama ndoa idumu.

1. Utulivu
Utulivu ni jambo muhimu kwa wapendanao na utulivu mara nyingi hutolewa na Mwanamke kumpatia Mwanaume ingawaje na Mwanaume nae ana haki ya kumpa utulivu mke wake

Mume hurudi kazini ama katika mihangaiko ana vikwazo vingi ambavyo kakumbana navyo mpe maneno mazuri ya kumpa moyo na ya kumtoa machungu aliokutana nayo huko alikotoka

2. Mapenzi
Ni wengi wanaweza kua wagumu ukisema sehemu ya mapenzi lakini mapenzi ni hali ya kufurahisha ambayo hufanyiana wale wapendanao hapa kikuu inakua ni tendo la ndoa.

Tendo la ndoa ni jambo la msingi sana linaloimarisha mahusiano bila ya tendo la ndoa mahusiano hayo hayana maaana kwa hio kila upande ujitahidi kumpa mwenzie kila kilichokua kizuri kwa lenho la kua aridhike na yeye pia kumakarimu mwenza wako kwa kila utakachojaali wa na mungu.

3. Huruma
Bila shaka kila mtu anahitajika kumuhurumia mwenziwe kwani sote tunahitajiana na siku zote nafai inampenda yule anaitendea wema kwa hio huruma ni

Kumuhurumia mwenzako anapokutwa na majanaga na pale ambapo hali ya jambo fulani sio sawa isiwe badala ya wewe kua kimbilio lake wewe ndio unakua adui kwa kumfanya mwenzako kama mtaji ama kumfanyisha kazi na majukumu yasiokua saizi yake hiii huvunja upendo.

Hio ni kwa ufupu vitu ambavyo vinabitajika katika mahusiano mbila ya hivyo hakuna mahusiano.

Na hadi katika maandiko yamo wanawake yatumie ni yatakusaidieni.
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,720
2,000
1. Uvumilivu na kupuuza changamoto na vikwazo. Zingatia malengo

2. Uvumilivu na kupuuza changamoto na vikwazo. Zingatia malengo

3. Uvumilivu na kupuuza changamoto na vikwazo. Zingatia malengo

4. Uvumilivu na kupuuza changamoto na vikwazo. Zingatia malengo
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,720
2,000
nimujifunza kitu hapa, ila pesa ina sehemu yake kwenye mahusiano....

Ndoa hainunuliwi wala kudumishwa kwa pesa. Ndio maana ndoa za mashambani zinadumu kwa asilimia kubwa kuliko za wenye fedha mjini.

Ndo hudumishwa kwa
1. Mapenzi ya dhati

2. Kuvumilia vikwazo

3. Kuelewa malengo ya ndoa yako. Kwanini ulingia katika ndoa. Kama ulifata pesa ......
 
mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
601
500
Pesa haina sio msingi wa mapenzi bali ni msingi wa maisha tuuuu.

Wako watu hawana pesa ila wanafurahia mapenzi na matajiri huwafuata mafukara kama pesa i aweza kusimamisha penzi wangeenda kwa matajiri wenziwao
 
yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
4,808
2,000
mchawi ni pesa, hayo mengne mataka taka tu.....
alisikika mchungaj mmoja akinena
 
Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,247
2,000
Waungwa habari zenu.

Naomba nitowe darasa fupi na ni muhimu kulizingatia kwa kila mtu ambaye atahitaji kudumu katika mahuziano ama ndoa yake.

Kuna vitu vikuu 3 ambayo vinahitajika kila mtu avifanye kwa mwenza wake ili mapenzi ama ndoa idumu.

1. Utulivu
Utulivu ni jambo muhimu kwa wapendanao na utulivu mara nyingi hutolewa na Mwanamke kumpatia Mwanaume ingawaje na Mwanaume nae ana haki ya kumpa utulivu mke wake

Mume hurudi kazini ama katika mihangaiko ana vikwazo vingi ambavyo kakumbana navyo mpe maneno mazuri ya kumpa moyo na ya kumtoa machungu aliokutana nayo huko alikotoka

2. Mapenzi
Ni wengi wanaweza kua wagumu ukisema sehemu ya mapenzi lakini mapenzi ni hali ya kufurahisha ambayo hufanyiana wale wapendanao hapa kikuu inakua ni tendo la ndoa.

Tendo la ndoa ni jambo la msingi sana linaloimarisha mahusiano bila ya tendo la ndoa mahusiano hayo hayana maaana kwa hio kila upande ujitahidi kumpa mwenzie kila kilichokua kizuri kwa lenho la kua aridhike na yeye pia kumakarimu mwenza wako kwa kila utakachojaali wa na mungu.

3. Huruma
Bila shaka kila mtu anahitajika kumuhurumia mwenziwe kwani sote tunahitajiana na siku zote nafai inampenda yule anaitendea wema kwa hio huruma ni

Kumuhurumia mwenzako anapokutwa na majanaga na pale ambapo hali ya jambo fulani sio sawa isiwe badala ya wewe kua kimbilio lake wewe ndio unakua adui kwa kumfanya mwenzako kama mtaji ama kumfanyisha kazi na majukumu yasiokua saizi yake hiii huvunja upendo.

Hio ni kwa ufupu vitu ambavyo vinabitajika katika mahusiano mbila ya hivyo hakuna mahusiano.

Na hadi katika maandiko yamo wanawake yatumie ni yatakusaidieni.
Una ndoa wew? Ya miez/miaka mingapi?tuanzie hpo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom