Capital
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,452
- 1,038
Hahaaa.. mkuu ulibahatika kufika hata darasa la saba kweli?Hata mm na support flat earth kwani kama dunia inazunguka kwa kasi hiyo si tunge pata kizunguzungu
Hahaaa.. mkuu ulibahatika kufika hata darasa la saba kweli?Hata mm na support flat earth kwani kama dunia inazunguka kwa kasi hiyo si tunge pata kizunguzungu
kweli kabisa theory ya flat earh is not sientific ni just orignated in biliefInteresting...!! hapana asee mtu anakwambia hamna aliyefika mwezini huyo sio mwana science ata kama ni mwana science anaichanganya na imani apo ndo hutokea confusion
hapo wana flat earth walisha shidwa hilo swali ktk debate wanaleta dhana kwa misingi ya kidini na hiyo theory yao ni ya kiimani zaidi sio kwa facts tha ki sayansiDuh! Hahahhaha, huyu jamaa kama sikosei ni msabato. Tena umbumbumbu wake unajipambanua kwa jinsi asivoweza kuandika kiswahili kwa ufasaha. Ni heri ya mjinga atafutaye elimu kuliko mbumbumbu ajifanyaye anajua, ni janga! Haiingii akilini katika karne hii ya sayansi na teknolojia, mpaka live feed kutoka ISS zipo kwa watu wanaotaka kushuhudia na kujifunza! Ni aibu sana.
Ndugu moudytunechi naomba nikuulize maswali moja tu kabla hatujaendelea kujadiliana!
- Unaweza ukatuonesha ramani ya dunia bapa, na magema ya ukingo wa dunia?
Acha dharau mimi ni zaidi ya hiyo la saba PGM ninaweza kustate physics laws mpaka ushangae,nilichokiandika hapo kinaeleweka tu,labda mbumbumbu ndio hataelewaHahaaa.. mkuu ulibahatika kufika hata darasa la saba kweli?
Hahaaa.. Unaongelea PGM karne hii.. pole. No wonder unashawishika kirahisi eti dunia ni flat.. kweli nchi hii ya viwonderAcha dharau mimi ni zaidi ya hiyo la saba PGM ninaweza kustate physics laws mpaka ushangae,nilichokiandika hapo kinaeleweka tu,labda mbumbumbu ndio hataelewa
Acha dharau mimi ni zaidi ya hiyo la saba PGM ninaweza kustate physics laws mpaka ushangae,nilichokiandika hapo kinaeleweka tu,labda mbumbumbu ndio hataelewa
Amini ndio hivyo mkuu...wapo waliothibitisha kisayansi mkuu,ndio maana kuna mabonde,milima n,k
Huwa nikiona hiz mada ndio huwa naukubali Ukweli na ubora wa kutabu chetu kitakatifu Quran "Mwezimungu aliposema tumeiumba dunia mfano wa umbo la yai la mbuni" neno lilitumika ni neno la kiarabu DAHAHA likiwa na maana kusambaza au linatokana na mzizi neno Duria likiwa linamana ya yai la mbuni na ukilitazama yai la mbuni halipo complete round but lipo spherical...Pia Quran imethitisha kuwa jua nalo linazunguka kwenye muhimili wake japo sisi tulisoma jua limetulia but baada ya sayans kua advance wamekuja kutibitisha kuwa jua nalo linazinguka linachukua siku 26 kumaliza mzunguko wako kuna kitu wanaita black sport.!....
kuendelea kubishana dunia flat kwenye ulimwengu wa leo ni hoja dhaifu ikiwa binadamua kashaanza kuchunguza sayari nyingine na kuna mpango wa kwenda mars had leo hakuna picha ya satellite ya flat earth lakin zipo za spherical...Hoja ya dunia tambarare inatetewa na wafia dini sababi biblia inasema dunia ni tambarare jambo ambalo halithitishwi kisayansi na wao wameamua kulipigania kwa kugengeneza hoja dhaifu.!
Ingekuwa flat basi mtu angeweza kusimama kwenye ufukwe wa bahari au ziwa akaona upande wa pili. Hiyo ya dunia ni flat ni hoja mfu yaani huwezi kuitetea kabisa. Mtu anatoka china anaenda marekani na hapiti Afrika au ulaya kwanini?Hata mm na support flat earth kwani kama dunia inazunguka kwa kasi hiyo si tunge pata kizunguzungu
Hawapingi kisayansi. Mtu anasema dunia ni flat kwasababu kwenye bendera ya UN wamechora mabara yote yanalingana yaani ni flat. Dunia ingekuwa flat basiKwani wanaopinga hawapingi kisayansi au haujabahatika kuwafuatilia?
Hata Quran yenyewe imeshindwa kuthibitisha hilo ndiyo maana inasema dunia ina umbo la yai la mbuni kwa sababu hata aliyeandika alikuwa hajui ameandika nini. Kwanini isiseme dunia ni duara moja kwa moja? Soma Biblia vizuri na siyo kuleta mihemko ya dini. Sasa na wewe unajiona mwarabu hata ikiletwa Quran ukaambiwa uisome unaanza kutumbua mimacho.Huwa nikiona hiz mada ndio huwa naukubali Ukweli na ubora wa kutabu chetu kitakatifu Quran "Mwezimungu aliposema tumeiumba dunia mfano wa umbo la yai la mbuni" neno lilitumika ni neno la kiarabu DAHAHA likiwa na maana kusambaza au linatokana na mzizi neno Duria likiwa linamana ya yai la mbuni na ukilitazama yai la mbuni halipo complete round but lipo spherical...Pia Quran imethitisha kuwa jua nalo linazunguka kwenye muhimili wake japo sisi tulisoma jua limetulia but baada ya sayans kua advance wamekuja kutibitisha kuwa jua nalo linazinguka linachukua siku 26 kumaliza mzunguko wako kuna kitu wanaita black sport.!....
kuendelea kubishana dunia flat kwenye ulimwengu wa leo ni hoja dhaifu ikiwa binadamua kashaanza kuchunguza sayari nyingine na kuna mpango wa kwenda mars had leo hakuna picha ya satellite ya flat earth lakin zipo za spherical...Hoja ya dunia tambarare inatetewa na wafia dini sababi biblia inasema dunia ni tambarare jambo ambalo halithitishwi kisayansi na wao wameamua kulipigania kwa kugengeneza hoja dhaifu.!
kwan kila ulicho aminishwa na mwalimu wako wa darasa la saba kina ukwer ndani yake kiongozi..?Hahaaa.. mkuu ulibahatika kufika hata darasa la saba kweli?
Unaweza ukaandika sana halafu ukitulia kuyasoma uliyoyaandika ukaanza kuona noma wewe mwenyewe.... ili hoja zako ziwe hoja ni lazima uzijue hoja pinzani sasa wewe haujui hata usiku na mchana unavyopatikana katika dunia tambarare na mbaya zaidi haujui hata hiyo tambarare ina umbo gani?Hawapingi kisayansi. Mtu anasema dunia ni flat kwasababu kwenye bendera ya UN wamechora mabara yote yanalingana yaani ni flat. Dunia ingekuwa flat basi
1. Mtu angesimama ufukweni wa bahari au ziwa akaona ng'ambo ya pili
2. Tusingepata usiku na mchana. Sasa hivi ni usiku lakini kuna nchi ni mchana au asubuhi na pia kuna nchi wanatutangulia masaa
3. Mtu anayeishi China akitaka kwenda Marekani ingemlazima apitie Afrika ndiyo afike Marekani. Hapo ulipo unaweza kwenda mashariki na ukajikuta umerudi palepale
4. Angalia angani, ukitazama angani unaona kama mawingu (blue sky) inakutana na milima kumbe hakuna