Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    526
Flat earthers mnapotumia internet inayofanikishwa na satellite hizo hizo zinazowapa picha ya dunia iliyo duara mnanifurahisha sana.

Mngeikataa internet nayo kuwa si ya kweli ningewaona watu wa maana zaidi.
Wewe ndiyo unajiona wa maana? Kwa lipi zaidi? Kwa hoja ya internet?

Punguani wahed.
 
  • Thanks
Reactions: rbt
Kwanza sayansi haisemi kuwa dunia ni duara kwa asilimia mia moja kama ambavyo baadhi ya watu humu wanavyodhani(bila shaka wengi wao watakuwa ni wale waliosoma masomo ya arts).
 
Akili mgando haiko kwenye science aise. Ntasikitika sana kama kweli unaamini unakili timamu alafu bado unaamini science ya evolution kwa mfano ? Unaamini asili yako ulikua nyani ?
 
Interesting...!! hapana asee mtu anakwambia hamna aliyefika mwezini huyo sio mwana science ata kama ni mwana science anaichanganya na imani apo ndo hutokea confusion
Can u prove kwamba kuna mtu alifika mwezini ? Au nawe unatumia Imani kama tu watu wa dini ?
 
Mkuu usiseme tumeaminishwa.Ukianza kuwa na majibu ya hivyo na mimi ntasema umeaminishwa hivyo unavyosema.I am giving you facts.

Nnaanza kupata wasiwasi zaidi dhidi ya utafiti wako baada ya kuniambia kuwa hamna proof ya kuizunguka dunia from east to west.Je, unajua kuna flights from US zinahead west (mostly via polar norths for economical reasons)to reach Asia na wakati huo huo zipo flights zinahead east to reach Asia?This proves my point.
FaizaFoxy

Najua zipo, nilikua namchallenge mkuu.
 
ukishakua na akili mgando kwenye dini matokeo yake ndio hayaa............!! We binuka, jipinde, Science haidanganyii and u cant change reality.......... na ukwelii ni kwamba dini zinaharibu fikra za watu ata kama kitu kishakua proven kwasababu tuu kwenye vitabu vyenu visivokua na ukwelii ndani yake vimeeleza kivingine hamwezi kubali
[/QUOTE
Sayansi Isiyo danganya ni hii hii inayosema Binadamu alianza kuwa nyani?
 
Kama internet inafanikishwa na satellite, je cable zilizotembezwa baharini dunia nzima kazi yake ni nini?
Flat earthers mnapotumia internet inayofanikishwa na satellite hizo hizo zinazowapa picha ya dunia iliyo duara mnanifurahisha sana.

Mngeikataa internet nayo kuwa si ya kweli ningewaona watu wa maana zaidi.
 
Kama internet inafanikishwa na satellite, je cable zilizotembezwa baharini dunia nzima kazi yake ni nini?
Swali lako linajibika kwa kujua kwamba, kama vile simu zilivyo na mifumo ya landline na wireless (cellphone/satellite) na internet nayo ni hivyo.

Mikonga inayopita chini ya bahari ni michache, hivyo satellite zinatumika kuunganisha mabara tofauti kwenye internet.

Pia, vitu vya kwenye simu zenye internet kama GPS huwezi kupata kwa internet ya waya, kwa sababu GPS inahitaji satellite connectivity kupata high accuracy inayoendana na relativistic differences.
 
Kwanza sayansi haisemi kuwa dunia ni duara kwa asilimia mia moja kama ambavyo baadhi ya watu humu wanavyodhani(bila shaka wengi wao watakuwa ni wale waliosoma masomo ya arts).
Mimi sijasoma kabisa lakini naamini dunia ni elliptical na siyo spherical. Waombe radhi waliosoma masomo ya Arts mkuu
 
Swali lako linajibika kwa kujua kwamba, kama vile simu zilivyo na mifumo ya landline na wireless (cellphone/satellite) na internet nayo ni hivyo.

Mikonga inayopita chini ya bahari ni michache, hivyo satellite zinatumika kuunganisha mabara tofauti kwenye internet.

Pia, vitu vya kwenye simu zenye internet kama GPS huwezi kupata kwa internet ya waya, kwa sababu GPS inahitaji satellite connectivity kupata high accuracy inayoendana na relativistic differences.
Ok ila 90% ya mawasiliano ya simu na Internet yanategemea cable zilizopo chini ya bahari na bado ndio chaguo namba moja mpaka sasa thats why bado usambazaji wa cable hizo unaendelea.
 
Uongo mtupu, Wrong theories . Eti Bendera ya umoja wa mataifa. Hata mimi nikiamua kutenga uongo ka wako natunga,
 
Sisi tuko nje ya sayari dunia-ambayo ni duara,na ardhi tunayoikanyaga ni sawa na kukanya mpira
 
Mwanadamu atahangaika sana kujua namna Mungu alivyoumba huu ulimwengu..... ha ha ha ha
 
This is purely rubbish.. the proponent is just spewing rhetoric.. no evidence at all. He can't even comprehend a simple fact of day and night as a result of the earth's rotation.. another fact that these diehards are failing to see is the possibility of voyaging around the earth.. meaning one can fire up from Hawaii to Zanzibar via India (if one takes to the west) or to the same destination via Congo (easterl route).

Akawadanganye mbilikimo wenzake.. sie hatudanganyiki kizembe namna hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom