Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    493
Hili bandiko pamoja na yote limenifungua fikra za kujitegemea yaani kuchukulia elimu na kuifanya kuwa assumptions ili kutengeneza theory yako mwenyewe, anyway hongera.
 
Interesting...!! hapana asee mtu anakwambia hamna aliyefika mwezini huyo sio mwana science ata kama ni mwana science anaichanganya na imani apo ndo hutokea confusion
kweli kabisa theory ya flat earh is not sientific ni just orignated in bilief
 
Duh! Hahahhaha, huyu jamaa kama sikosei ni msabato. Tena umbumbumbu wake unajipambanua kwa jinsi asivoweza kuandika kiswahili kwa ufasaha. Ni heri ya mjinga atafutaye elimu kuliko mbumbumbu ajifanyaye anajua, ni janga! Haiingii akilini katika karne hii ya sayansi na teknolojia, mpaka live feed kutoka ISS zipo kwa watu wanaotaka kushuhudia na kujifunza! Ni aibu sana.
Ndugu moudytunechi naomba nikuulize maswali moja tu kabla hatujaendelea kujadiliana!
  • Unaweza ukatuonesha ramani ya dunia bapa, na magema ya ukingo wa dunia?
hapo wana flat earth walisha shidwa hilo swali ktk debate wanaleta dhana kwa misingi ya kidini na hiyo theory yao ni ya kiimani zaidi sio kwa facts tha ki sayansi
 
Acha dharau mimi ni zaidi ya hiyo la saba PGM ninaweza kustate physics laws mpaka ushangae,nilichokiandika hapo kinaeleweka tu,labda mbumbumbu ndio hataelewa
Hahaaa.. Unaongelea PGM karne hii.. pole. No wonder unashawishika kirahisi eti dunia ni flat.. kweli nchi hii ya viwonder
 
Ukijiuliza kati ya kushuhudia na kuhadithiwa kipi kina uthibitisho ulio dhahiri utajibu nini.

Unaambiwa dunia inazunguka na jua limesimama, je kwa macho yako na hisia zako unaona jua limesimama au linatembea?, na je unajihisi upo katika dunia inayotembea au iliyosimama.?

Mimi binafsi nayaamini macho yangu na hisia zangu juu ya kile na hisi au kukiona kuliko kuadithiwa.

Mbaya zaidi nawaza kwanini elimu tunayofundishwa juu ya umbo na tabia za dunia inapingana na kile tukionacho au kukihisi sisi wenyewe.

Nani anauwezo wakuyathibitisha tuliyofundishwa juu ya umbo la dunia.

Hata tukiambiwa kuna watu wamefanikiwa kufika katika Jua ni nani atabisha ikiwa tumeambiwa watu wamefika mwezini na tumeamini.

So nimeisoma dunia tambarare kama nilivyoisoma dunia mviringo, then nimebaki na yangu yakuthibitisha kipi ni kipi.

Kwahiyo kama haujapitia kuwasoma wanaoamini dunia ni tambarare kama ulivyowasoma wanaotuaminisha dunia ni mviringo basi lazima upinge hta ukipewa ukweli wote.
 
Huwa nikiona hiz mada ndio huwa naukubali Ukweli na ubora wa kutabu chetu kitakatifu Quran "Mwezimungu aliposema tumeiumba dunia mfano wa umbo la yai la mbuni" neno lilitumika ni neno la kiarabu DAHAHA likiwa na maana kusambaza au linatokana na mzizi neno Duria likiwa linamana ya yai la mbuni na ukilitazama yai la mbuni halipo complete round but lipo spherical...Pia Quran imethitisha kuwa jua nalo linazunguka kwenye muhimili wake japo sisi tulisoma jua limetulia but baada ya sayans kua advance wamekuja kutibitisha kuwa jua nalo linazinguka linachukua siku 26 kumaliza mzunguko wako kuna kitu wanaita black sport.!....

kuendelea kubishana dunia flat kwenye ulimwengu wa leo ni hoja dhaifu ikiwa binadamua kashaanza kuchunguza sayari nyingine na kuna mpango wa kwenda mars had leo hakuna picha ya satellite ya flat earth lakin zipo za spherical...Hoja ya dunia tambarare inatetewa na wafia dini sababi biblia inasema dunia ni tambarare jambo ambalo halithitishwi kisayansi na wao wameamua kulipigania kwa kugengeneza hoja dhaifu.!
 
We umbo la yai umeshuhudia wapi???

kwanini dunia ni flat??

:kwasababu kwenye nembo ya UN imechorwa flat

:kwa sababu hamna picha ya dunia ikiwa duara

:kwa sababu ingekua duara na speed yake hii maji yangemwagika

kuna conspiracy afu kuna stupidity yaan mtu una kaa kwenye keyboard unaandika izo ndo strong points za kutetea nadharia yako kua dunia ni flat!
 
Hata mm na support flat earth kwani kama dunia inazunguka kwa kasi hiyo si tunge pata kizunguzungu
Ingekuwa flat basi mtu angeweza kusimama kwenye ufukwe wa bahari au ziwa akaona upande wa pili. Hiyo ya dunia ni flat ni hoja mfu yaani huwezi kuitetea kabisa. Mtu anatoka china anaenda marekani na hapiti Afrika au ulaya kwanini?
Ingekuwa ni flat, mtu akisimama kwenye ufukwe wa bahari angeiona Zanzibar
 
Kwani wanaopinga hawapingi kisayansi au haujabahatika kuwafuatilia?
Hawapingi kisayansi. Mtu anasema dunia ni flat kwasababu kwenye bendera ya UN wamechora mabara yote yanalingana yaani ni flat. Dunia ingekuwa flat basi
1. Mtu angesimama ufukweni wa bahari au ziwa akaona ng'ambo ya pili
2. Tusingepata usiku na mchana. Sasa hivi ni usiku lakini kuna nchi ni mchana au asubuhi na pia kuna nchi wanatutangulia masaa
3. Mtu anayeishi China akitaka kwenda Marekani ingemlazima apitie Afrika ndiyo afike Marekani. Hapo ulipo unaweza kwenda mashariki na ukajikuta umerudi palepale
4. Angalia angani, ukitazama angani unaona kama mawingu (blue sky) inakutana na milima kumbe hakuna
 
Huwa nikiona hiz mada ndio huwa naukubali Ukweli na ubora wa kutabu chetu kitakatifu Quran "Mwezimungu aliposema tumeiumba dunia mfano wa umbo la yai la mbuni" neno lilitumika ni neno la kiarabu DAHAHA likiwa na maana kusambaza au linatokana na mzizi neno Duria likiwa linamana ya yai la mbuni na ukilitazama yai la mbuni halipo complete round but lipo spherical...Pia Quran imethitisha kuwa jua nalo linazunguka kwenye muhimili wake japo sisi tulisoma jua limetulia but baada ya sayans kua advance wamekuja kutibitisha kuwa jua nalo linazinguka linachukua siku 26 kumaliza mzunguko wako kuna kitu wanaita black sport.!....
kuendelea kubishana dunia flat kwenye ulimwengu wa leo ni hoja dhaifu ikiwa binadamua kashaanza kuchunguza sayari nyingine na kuna mpango wa kwenda mars had leo hakuna picha ya satellite ya flat earth lakin zipo za spherical...Hoja ya dunia tambarare inatetewa na wafia dini sababi biblia inasema dunia ni tambarare jambo ambalo halithitishwi kisayansi na wao wameamua kulipigania kwa kugengeneza hoja dhaifu.!
Hata Quran yenyewe imeshindwa kuthibitisha hilo ndiyo maana inasema dunia ina umbo la yai la mbuni kwa sababu hata aliyeandika alikuwa hajui ameandika nini. Kwanini isiseme dunia ni duara moja kwa moja? Soma Biblia vizuri na siyo kuleta mihemko ya dini. Sasa na wewe unajiona mwarabu hata ikiletwa Quran ukaambiwa uisome unaanza kutumbua mimacho.
 
Kuruka kwa ndege bila ya kushuka chini kwa kila baada ya dakika kadhaa ili kuweza kufuata mkunjo wa dunia,inatosha kuthibitisha dunia siyo duara.
 
Hahaaa.. mkuu ulibahatika kufika hata darasa la saba kweli?
kwan kila ulicho aminishwa na mwalimu wako wa darasa la saba kina ukwer ndani yake kiongozi..?
 
Attachments

  • ernestfirmament2.0-20190715-0003.jpg
    ernestfirmament2.0-20190715-0003.jpg
    19.5 KB · Views: 23
Hawapingi kisayansi. Mtu anasema dunia ni flat kwasababu kwenye bendera ya UN wamechora mabara yote yanalingana yaani ni flat. Dunia ingekuwa flat basi
1. Mtu angesimama ufukweni wa bahari au ziwa akaona ng'ambo ya pili
2. Tusingepata usiku na mchana. Sasa hivi ni usiku lakini kuna nchi ni mchana au asubuhi na pia kuna nchi wanatutangulia masaa
3. Mtu anayeishi China akitaka kwenda Marekani ingemlazima apitie Afrika ndiyo afike Marekani. Hapo ulipo unaweza kwenda mashariki na ukajikuta umerudi palepale
4. Angalia angani, ukitazama angani unaona kama mawingu (blue sky) inakutana na milima kumbe hakuna
Unaweza ukaandika sana halafu ukitulia kuyasoma uliyoyaandika ukaanza kuona noma wewe mwenyewe.... ili hoja zako ziwe hoja ni lazima uzijue hoja pinzani sasa wewe haujui hata usiku na mchana unavyopatikana katika dunia tambarare na mbaya zaidi haujui hata hiyo tambarare ina umbo gani?

Ndio maan nasema unaweza kupinga na ukajiona umepinga kisayansi kweli kumbe si sawa.. tafuta muda wako soma tena ni vitu gani vinavyothibitisha kuwa dunia ni mbiringo kama mpira kisha wasome wanaopinga kupitia uthibitisho wako, hapo utakuwa unajibu unachokijua.

Kwa msaada wanaoamini dunia ni tambarare na wao wanaamini ni ya Duara ila sio mviringo kama mpira ila ni ya duara kama sahani au cd... so kusema nembo ya umoja wa mataifa ndio uthibitisho hilo ni lako isipokuwa wanadai kutokana na ukweli wa umbo la dunia ndio maan na logo ikadizainiwa kuendana nayo.

Kuhusu kuiona zanzibar jaribu kugumia darubuni ya kuona mbali umbali wa Dar Zanzibar then siku bahari imetulia katafute pozi ufukweni usawa wa dar zenji uje na majibu kama umepaona au lah.. ukishindwa hivyo kaa kimya.
 
Similar Discussions

69 Reactions
Reply
Back
Top Bottom