Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

View attachment 696264 kaorodhesha hapo kama upo instagram nadhan utakuwa umeona makampuni aliyotaja na forex ikiwemo

Forex trading is not scam dear

Just go and read the books , Internet and other journals you shall understand

Mange yuko sahihi sana kuhusu network marketing but not forex as a normal trader , ukifanya kurecruit watu then that is pyramidal scheme
 
Ukiona unaitwa kwenye fursa ujue wewe ndie fursa.

It does not take a genious to realize that. It wont even pass an ordinary man's smell test.

Huhitaji rocket science kuelewa kua kuna utapeli wa wazi kabisa.
siyo mchezo
 
Anakuwinda akupeleke wapi my dia
Anataka akanipige brush ya training hajui nishamshitukia kweli njaa mbaya sana....

Yaani kuna mdada mzuri alinirequest Facebook mimi bila hiyana nikamkubalia eeh bhana haikuchukua hata sekunde huyo inbox eti kuna mchongo anataka anipe wa kupiga pesa chap....

Fasta bila kupoteza muda nikaenda kwenye profile kumchunguza nikakuta ni wale alliance nikaishia kufurahi nimechat nae mara akatuma namba then akaniomba na za kwangu bila ubishi nikampa kwa kuwa nipo safari nilimwambia nitarudi jijini after two week naona kashaweka na appoitnment kabisa hapa akinitafuta akijitambulisha tu na block sitaki usumbufu kabisa
 
Anataka akanipige brush ya training hajui nishamshitukia kweli njaa mbaya sana....

Yaani kuna mdada mzuri alinirequest Facebook mimi bila hiyana nikamkubalia eeh bhana haikuchukua hata sekunde huyo inbox eti kuna mchongo anataka anipe wa kupiga pesa chap....

Fasta bila kupoteza muda nikaenda kwenye profile kumchunguza ni wale alliance nikaishia kufurahi nimechat nae mara akatuma namba then akaniomba na za kwangu bila ubishi nikampa kwa kuwa nipo safari nilimwambia nitarudi jijini after two week naona kashaweka na appoitnment kabisa hapa akinitafuta akijitambulisha tu na block sitaki usumbufu kabisa
Mbadilishie mada umgonge usimuache buree
 
Mambo ya usumbufu huwa sipendi kabisa .... Sio mtu wa kwanza huyu wa kwanza kwa kuwa nilikuwa naheshiana nae ikabidi niitikie wito tukaenda mahali naona anaishia kunicholea ma tree diagram kibao kwamba nikiwa serious ndani ya miezi kadhaa nitakuwa na mkwanja nitoe kiingilio cha kama laki tano hivi nikaitikia sawa.....

Baada ya hapo aliishia kunitafuta sipokei wala sijibu text zake ndio ukawa mwisho wa urafiki wetu.....
 
hawa watu noomaa!mi mwenyewe yashanikuta hayo!
 
Mange keshasema ukiitwa sehemu utoe kiingilio kimbiaaaaa
 
hawa watu noomaa!mi mwenyewe yashanikuta hayo!
Halafu members wanajipa moyo kuwa ipo siku watatoboa... Naona yale mapicha mapicha ya kwamba watu wanapata trip sijui za kwenda ufilipino kwa kina Yuri na lady butterfly zinawachachasha akili kwelikweli.....

Siku akinitafuta nitamwambia tu kwa upole mimi nimempenda yeye kama yeye kama yupo tayari kutoa gegedo tunaweza onana ila kama ni mambo ya alliance naomba afute namba yangu maana sitokuwa na muda wa kupokea simu wala kujibu text....
 
47 Reactions
Reply
Back
Top Bottom