Siri kifo cha Mkemia mkuu wa serikali... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri kifo cha Mkemia mkuu wa serikali...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by inyi, Oct 4, 2010.

 1. i

  inyi Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wandugu, niwieni radhi jamani, me naomba kujua hili suala, hivi kilichokua behind kifo cha mkemia mkuu ni nini?

  Poleni kwa kutokwa na mchapakaz wetu.
   
 2. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa haraka haraka, mkemia mkuu alifariki kutokana na shinikizo la damu lililomkuta wakati akiwa amelala Lodge huko Tanga alikoenda kuhudhuria maafali ya mtoto wake. Pia rejea thread moja inaelezea vizuri sana. Pole kwa kutokuwa jamvini muda mrefu.
   
 3. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Taarifa zilizotolewa awali ni shinikizo la damu
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hapa ngoja nisichangie.
   
 5. R

  Reyes Senior Member

  #5
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kifo cha mkemia ni habari ya a UCHAGUZI 2010?
   
 6. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  ni shinikizo la damu kwa mujibu wa madaktari
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,499
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  inyi
  Junior Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Join DateSat Oct 2010
  Posts8
  Thanks0
  Thanked 0
  Times in 0 Posts  Nyie members wa August, September na October sijui mna nini in common..................I am still trying to find out.......!!!!
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Hapa siyo mahali pake
   
 9. MANI

  MANI Platinum Member

  #9
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Kupiga kura kwenye mtandao kuongeza kura kwa mkulu
   
 10. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Inahusianaje na uchaguzi wa 2010 mkubwa wewe? Hebu tuwekane sawa vizuri? Au unataka kutuambia zile kura ni lazima zifanyiwe DNA ili mgombea apata kufahamu kama aliyemhonga kampigia kura au? Kweli nimecheka sana.
   
 11. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Avatar yako ezan
   
 12. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Kama mnakumbuka ripoti ya kwanza ya polisi walisema marehemu alikula WALI NA CASTLE akaenda kulala, Lakini walipovunja mlango asubuhi walikuta kuna makopo ya HEINKEN chumbani.

  sasa tujiulize inawezekan mtu akanywa CASTLE NA HEINKEN?
  na sote tunajua wanao kunywa HEINKEN ni waaina gani.

  HAYO MASHINIKIZO YA DAMU HUWA MENGI SANA HASA HUKU BUNGENI WABUNGE WANAKUFA HOTELINI TUNAAMBIWA NI SHINIKIZO, sawa limesababishwa na nini?

  NB: Msichukue DOGODOGO kutegemea VIAGRA mtakufa!
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280

  wala usinhangaike mkuu hao wa septemebr na october ni walevi tu hao
   
Loading...