Siri Kali!

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,005
Tume haitatoa taarifa za fedha za EPA kwa sasa

2008-03-09 16:46:28
Na Radio One Habari

Timu iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kuchunguza upotevu wa fedha za Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje-EPA-ya Benki Kuu ya Tanzania imesema kwa sasa haitatoa taarifa ambazo zinaweza kuathiri kazi ya uchunguzi inayoendelea.

Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Tume hiyo ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bwana Johson Mwanyika imesema tume itaendelea kutoa taarifa ambazo inaamini hazitaathiri uchunguzi unaoendelea.

Timu hiyo ambayo wajumbe wengine ni Mkuu wa Jeshi la Polisi na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rusha, TAKUKURU, imesema pamoja na fedha zinazorudishwa ni vyema ikaeleweka kuwa kazi ya uchunguzi haijafika mwisho.

Taarifa hiyo ambayo imepewa kipindi cha miezi sita kukamilisha kazi yake huu ni mwezi wa pili tangu ianze kazi yake na kwa sasa imejikita katika kufanya uchunguzi wa kitaalamu na wa kina.

Kumekuja na hoja kutaka watuhumiwa wanaorejesha fedha watajwe majina yao.

SOURCE: Radio One
 
Hawa jamani waacheni... hawana mbele wala nyuma...!

Sidhani kama wana taarifa yeyote ya kutoa...! Wao wanawafanya watanzania wote kuwa watoto..iko siku kama ilivyokuwa kwa mwenzao...!

It takes time to cheat...!
 
Tume haitatoa taarifa za fedha za EPA kwa sasa

2008-03-09 16:46:28
Na Radio One Habari

Timu iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kuchunguza upotevu wa fedha za Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje-EPA-ya Benki Kuu ya Tanzania imesema kwa sasa haitatoa taarifa ambazo zinaweza kuathiri kazi ya uchunguzi inayoendelea.

Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Tume hiyo ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bwana Johson Mwanyika imesema tume itaendelea kutoa taarifa ambazo inaamini hazitaathiri uchunguzi unaoendelea.

Timu hiyo ambayo wajumbe wengine ni Mkuu wa Jeshi la Polisi na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rusha, TAKUKURU, imesema pamoja na fedha zinazorudishwa ni vyema ikaeleweka kuwa kazi ya uchunguzi haijafika mwisho.

Taarifa hiyo ambayo imepewa kipindi cha miezi sita kukamilisha kazi yake huu ni mwezi wa pili tangu ianze kazi yake na kwa sasa imejikita katika kufanya uchunguzi wa kitaalamu na wa kina.

Kumekuja na hoja kutaka watuhumiwa wanaorejesha fedha watajwe majina yao.

SOURCE: Radio One

Hivi aliyewaambia watoe taarifa in the first place ni nani? Si waliambiwa wamepewa muda wa miezi sita wa kuhakikisha hela zinarudi na wahusika wanachukuliwa hatua za kisheria? Sasa kimbelembele cha nini? Kama kazi hawajakamilisha waendelee; miezi sita ikikamilika watupe ripoti. That's it. Vinginevyo ni siasa tu hizi.
 
Je, ni lazima watumie miezi sita yote? Hakuna njia ya kuongeza tija/ufanisi na kumaliza kazi hiyo kwa miezi, say, minne halafu unaenda kwa bosi na kusema, ile kazi uliyonipa miezi sita nimemaliza kwa miezi minne, ukapata pongezi?
 
Mkuu,

Kuna midubwana mingi ya kufuatilia hapo ukizingatia kwamba mikono ya watu wengi imepitisha makabrasha ya kifisadi.

Kwa mfano kuhusu mabenki mengine kama CRDB si inabidi wale waliosaidia kufungua akaunti nao waulizwe?

Kwa hio kama ni miezi sita na tusubiri hivo na baada ya hapo ndipo kimbembe kianze.
 
Hivi aliyewaambia watoe taarifa in the first place ni nani? Si waliambiwa wamepewa muda wa miezi sita wa kuhakikisha hela zinarudi na wahusika wanachukuliwa hatua za kisheria? Sasa kimbelembele cha nini? Kama kazi hawajakamilisha waendelee; miezi sita ikikamilika watupe ripoti. That's it. Vinginevyo ni siasa tu hizi.

Ilongo, Watanzania wa 2008 si wale wa mwaka 47 wamechoka kuibiwa mchana kweupe wanataka info zote ziwekwe hadharani ili wajue nini kinaendelea katika uchunguzi wa mafisadi

EPA team's stance on news draws fire
By Mwanamkasi Jumbe and Levina Kato
THE CITIZEN

A furious reaction yesterday greeted the decision to restrict information on investigation into the irregular payment of Sh133 billion by Bank of Tanzania (BoT).

An outspoken Opposition politician, legal experts and several other activists all queried the decision by the team investigating scandal to hide the names of the chief suspects in the scam.

They further criticised the announcement by the chairman of the task force, Attorney General Johnson Mwanyika, that the investigation would largely be kept under wraps.

Mr Mwanyika said in a statement that team would restrict information in the next four months so as not to jeopardise investigations.

He said the team, which has reportedly recovered over Sh50 billion out of the Sh133 billion siphoned out of BoT, had not been able to fully identify individuals involved in the scandal.

But Dr Wilibrod Slaa, secretary-general of the Opposition Chadema, termed the move as retrogressive and lacking in transparency.

�This is unhealthy for a government that prides itself in good governance and transparency. They want to create double standards by protecting those involved,� said the Karatu MP who played a key role in exposing the massive looting of funds from BoT in recent years.

Dr Slaa accused Mr Mwanyika of �distorting the truth and precipitating lack of confidence in the Government.

He said there was no point in identifying the companies implicated in the scandal and keeping secret the names of people who owed the firms.

I don't understand why this team is diverging from priority issues to trivial matters. We need to hear how the team will hold accountable those responsible for the huge theft, he said warning the team to tread carefully lest they incur the wrath of the people and the donor community.

Dr Slaa repeated his claim that Finance permanent secretary Gray Mgonja and immediate former BoT governor Daudi Ballali, were directly responsible for the EPA scandal.

Mr Mgonja has since denied any wrongdoing while Mr Ballali has been out of the country since he was sacked earlier this year.

Dr Slaa said the public would demand the release of hundreds of people who were in jail for minor criminal offences if the �protection� of people involved in the EPA scandal continued.

The legislator said all those returning money to the central bank should be arrested and prosecuted.

Chairman of the standing law committee of the Tanganyika Law Society (TLS) Cornelius Kariwa, secretary-general of the Media Council of Tanzania (MCT) Anthony Ngaiza and director of the Legal and Human Rights Centre Helen Kijo-Bisimba all concurred with Dr Slaa.

Mr Kariwa said since the names of the companies were known, it was important for the task force to reveal the names of the culprits behind them, adding that it was illogical to say that the companies were on their own.

He was referring to Mr Mwanyika's assertion that the main culprits were the companies which could legally be held accountable alone.

Mr Kariwa and Dr Slaa concurred that there would be no need for protection of any kind in fraudulent transactions at BoT.

�I am insisting that the perpetrators of the offence should be known to the public like what has been happening to others,� Mr Kariwa said.

He said that it was not true that the probe committee had failed to nab the culprits since business registrations had all the particulars of the companies, including physical and postal addresses.

The advocate also said that it was not right for the probe commission to avoid media people and urged that there should be an arrangement of the commission to talk to the media on information that could not distort the investigation.

He said remaining silent violated the people�s right to be informed.

Mr Kariwa cautioned that hiding the names or other information would draw attention from the public, intensify speculations more harmful to the government politically and create double standards in the legal system.

Mr Ngaiza said by seeking to restrict the media, the Attorney General was trying to run away from his responsibilities.

This investigation is not for media's interests, it is the interest of the public in general and people should be informed through the media, he said.

He added that four months was too long a period for the members of the public to wait until the commission completed its tasks and added that there must be a problem.

He urged that at least the presidential commission should give the media updates every week on what is going on in the investigation instead of remaining quit for all the period.

The MCT secretary said that it was not fair for the task force to work silently while the task was for the benefit of the public and not otherwise.

But the Leader of the Official Opposition in Parliament, Mr Hamad Rashid Mohamed, said he supported the move if was intended to facilitate investigations.

I am experienced in investigations if public and media access to information jeopardises the process, then it is okay to restrict such information, he said.

He since the team has set a timeframe for concluding the task, should be given time to work out details uninterrupted.

This would justify information credibility upon release of their findings. He said he would however be concern if the team banned access to information for an indefinite period, Mr Mohamed added.

Mrs Kijo-Bisimba said that since companies do not operate on their own, and the issue is so sensitive the public has all the right to demand to know the faces involved in the saga.

She said that the names should be known and legal actions should also be taken against all the accused persons.

Advocate Clarence Kipogota from LHRC also supported his fellows and insisted the culprits should be revealed and prosecuted immediately.
 
Back
Top Bottom